Situmii tena Facebook na Instagram kwa ubaguzi huu

Situmii tena Facebook na Instagram kwa ubaguzi huu

Mkuu kama ni hivyo hata JF jitoe tuu,,hapa umetupia Thread hadi sasa hivi una Like 1 tu na page 3 sijui lakin kuna watu wakitoa Uzi humu Like za kumwaga na Page za kutosha tu.
Hah hah hah wabongo wana msemo mpya "Kama tatizo ni NYOTA basi bonyeza RELI"

Nahisi kunakutokuelewana au kuelewa kwenye hili!
 
ukiandika undava huwezi pata like! usikimbie Bali jaribu kupost mambo ya muhimu halafu si lazima wakomenti we unatakiwa kuona umemaliza deni la kusema jambo hilo la msingi hata kama hawajacomment watakuwa wameona ukweli!
 
Kama una ujumbe wa maana we tupia tu, wasipolike au kucomment watausoma tu. Hizo likes na comments hasipaswi kukuumiza kichwa,maana wengi tunaongozwa na emotion badala ya logic.
 
Tatizo facebook kumeingiliwa mpaka watoto wadogo wamo sio kama zamani watu walikua na umoja

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
Eeh MankaM umeamua kupiga karimix kwa kutumia jina langu?

Mkuu pole sana mimi nilikuwa natumia fb ni muda kidogo nikaacha twitter sijawah jiunga kabisa insta nipogo kuangalia yanayojir dunian..... Ktk mitandao nipo kwa sasa hivi ni jf + insta..... Pole kwa yaliyokukuta ndugu
 
Last edited by a moderator:
wenzio wanauza sura insta ww unaweka status unataka likes na comments umechelewaa
 
Mkuu samahani sijui jins yako..lakini kuna vitu viwili inatakiwa ujue
moja..fb ni mtandao wa wanafunzi sana (i mean unapendwa na wanfunzi sana 15-25 by ages) sasa hawa vijana,wale wakiume watatoa like kwa wanawake tu na coment zao..mara chache watoe kwa wanaume or else uvae kama wao(swaaga sijui-yaani kama wa kiume vaa touser ya njano kijani au nyekundu) utapata like japo hazitakuwa nyingi..au jitoe fahamu kama Lemutuz uwe unatupia picha na mabeeebz tu..utazipata hizo like..ila kama wewe ni wa old school uje ujishindie humu Pm ubembelezane na wazee wenzako
mbili-pia huku fb na Ig kuna watu waheshima japo wanaweza wakawa wachache ambao watatoa like kwa vitu constructive only mkuu..sasa wewe unaandika status "am sick" then what? si uende hospital?
And the thread is closed.
 
tatizo ni hiyo mitandao au ni hao marafki zako ulio nao huko?
 
Mkuu mbona rahisi sana ukizihitaji hzo like na comment we jitoe ufaham! facebook, instagram, jf we cha kufanya badilisha majina kwenye a/c zote na utumie jina la kike hapo usipo pata tena like+comment we uza tu hyo smartphone ununue nokia torch! IG sijawah kufikiria kujiunga huko
 
Tukilihusisha hili jambo na wivu naweza kukuelewa mkuu
Maana haiwezekani Shilole au Linex wapige picha za kijinga na caption ya ovyo mtu ana Like the akishuka chini nakuta picha yangu na caption ya akili "eti"ananiruka kisa tunafahamiana kama sio wivu ni nini?

Jaribu kutizama hii youtube uone kama wewe nawe ni muadhirika wa marafiki usiowajua.

[url]https://www.youtube.com/watch?v=I_DGK-WSNkE





[/URL]
 
inategemea na watu unaowasilina nao.
Kuna watu wana-make money kupitia social network hadi utajilaumu kuwa wewe unapoteza muda tu.
Kupitia Facebook nilishapata vitu vingi ila vya kununua so nimewapa watu faida( nami nimepata faida maana sikupoteza muda wa kuzunguka madukani, nimeona kitu nikasema niwekewe nakifata saa fulani)
hata hapa jf wapo time westers na hawafaidiki na chochote yaaani yeye ni kivuruge tu, na wapo wanaopata mafunzo na kupata solution za shida zao na hata kufanya biashara pia.
Kila kitu kinafaida inategemea unakitimiaje

Kweli mkuu umenena, watu hawaelewi, unajua tatizo ni matumizi tu, ni kama vile kisu lengo lake ni kutumia kwa mambo ya maana kama vile kumenyea ndizi, kuchunia mbuzi n.k,lkn mpumbavu anatumia kwa kumchoma binadamu mwenzake.
 
Back
Top Bottom