Situmii tena Facebook na Instagram kwa ubaguzi huu

Situmii tena Facebook na Instagram kwa ubaguzi huu

Kitu kimoja najivunia, sina instagram wala fb account. Yaani picha zangu hazijasambaa kwenye mtandao hata kidogo ilhali nina digital photo kibao. Naona kama huko ni kwa wauza sura!

We sail in the same boat mkuu. mimi naisikia tu hiyo mitandao, mimi JF YATOSHA sana, na wala sijawahi kujuta kuwepo hapa JF mwaka wa tano huu!
 
Mkuu samahani sijui jins yako..lakini kuna vitu viwili inatakiwa ujue
moja..fb ni mtandao wa wanafunzi sana (i mean unapendwa na wanfunzi sana 15-25 by ages) sasa hawa vijana,wale wakiume watatoa like kwa wanawake tu na coment zao..mara chache watoe kwa wanaume or else uvae kama wao(swaaga sijui-yaani kama wa kiume vaa touser ya njano kijani au nyekundu) utapata like japo hazitakuwa nyingi..au jitoe fahamu kama Lemutuz uwe unatupia picha na mabeeebz tu..utazipata hizo like..ila kama wewe ni wa old school uje ujishindie humu Pm ubembelezane na wazee wenzako
mbili-pia huku fb na Ig kuna watu waheshima japo wanaweza wakawa wachache ambao watatoa like kwa vitu constructive only mkuu..sasa wewe unaandika status "am sick" then what? si uende hospital?
 
Unafanya "Like" kama mswahili anavyofanya ugali?

Una matatizo gani wewe?
 
Kufahamiana kwa wengi kuna leta shida sana. Kama hamfahamiani mtu anakuwa anashauku ya kukufahamu akishazoea uongo wako na vitabia vyako vya ujanja ujanja ndiyo pale unajikuta unapata kukaushiwa. Embu jaribu kufanya tukio uone utakavyofahamika iwe kwa baya au zuri.
 
Kama mitandao a kijamii ni wapenzi,basi nitadumu na JF, Hao kina FB na Insta iwataki.FESIBUKU nasikia ni ya wanafunzi siku hii
 
mbona wajaja tushaligundua mapema hilo, wengine hata whatsapp hatutumii tunajifajari jf vyakutosha nikitoka hapa naenda yahoo answer kutafuta thread za kuanzisha. yaani wewe uwezo wa kufikiri amekushida shy land alieishia la saba, kweli kazi unayo

whatsap pia hawakupi like na comments ndo maana hujajiunga? teh teh teh teh
 
whatsap pia hawakupi like na comments ndo maana hujajiunga? teh teh teh teh

Whatsapp ni mtandao wa kibeya unafanana na text sms za mitandao ya simu kama voda n.k lakn haiwezi ikakubadili na kukuongezea wazo yoyote kama hapa jf au yahoo answer
 
Kuna watu facebook tangu 2011 walipojiunga hawajawahi ku update status ila daily wapo online wazee wa underground movement kama Luddism vile
 
mimi npo twita na FB ni mitandao mizuri ukichati na watu vizuri.
 
Kama mitandao a kijamii ni wapenzi,basi nitadumu na JF, Hao kina FB na Insta iwataki.FESIBUKU nasikia ni ya wanafunzi siku hii

Facebook mpaka Obama yupo kule ni mwanafunzi????
 
Whatsapp ni mtandao wa kibeya unafanana na text sms za mitandao ya simu kama voda n.k lakn haiwezi ikakubali wa kukuongezea wazo lolote kama hapa jf au yahoo answer

mtu mwenyewe unatumia simu za kuazima kuingia humu JF whats app utaijulia wapi ???
 
Kuwa huru kujiwasilisha bila kujali sana "likes"
Ukishajenga confidence kwa jinsi ulivyo kweli naamini wapo watakaovutika kweli na kukupa sincere"likes"
Lakini hizi likes unazolilia zina maana gani kweli?
 
Whatsapp ni mtandao wa kibeya unafanana na text sms za mitandao ya simu kama voda n.k lakn haiwezi ikakubali wa kukuongezea wazo lolote kama hapa jf au yahoo answer

shy land ni pm nw
 
Back
Top Bottom