Situmii tena Facebook na Instagram kwa ubaguzi huu

Situmii tena Facebook na Instagram kwa ubaguzi huu

Mkuu Kibo10,

Kama issue ni "Like" na unaona ubora wa JF kwa ajili ya hizo Like basi niseme tu kwamba Jamii Forums ni zaidi ya uijuavyo!!! Si kila "Like" unayoipata humu inaonesha mtu ame-appreciate... wengine watakupa "Like" kama njia ya kuku-ignore!!!

Katika siku zangu za mwanzo kabisa hapa JF, kuna post niliandika mtu aka-comment "cra'p!" Na hiki kizungu changu cha Division 5 ya Mulugo nikadhani jamaa kanipigia makofi; mwenyewe wacha ninenepe bichwa kujiona nimedondosha full masi nondo... maskini ya mungu nikidhani cra'p ndio clap! Kwahiyo, hata hizo Like za JF inabidi uzisome mara mbili mbili...

Daaaaah!mwana hiyo kaliiiiiii!
 
Last edited by a moderator:
mm na washkaji zangu kabla ya kupost tunaambizana ili kujiweka tayar kwajil ya stori coment..... watu wanafataga sana upepo kule
 
Mie nishazoea like zangu tisa ya kumi najiongezea mwenyewe ila ndio nisha post
 
Back
Top Bottom