Sitta: Tuna wakati mgumu

Sitta: Tuna wakati mgumu

dhambi kubwa aliyoifanya Sita ni kule kuonekana anashangilia kila mjumbe wa bunge la katiba aliyekuwa anatoa maoni ya kuponda mawazo ya wananchi yaliyotolewa ndani ya katiba waliyokuwa wanaiita eti katiba ya Warioba. hapo ndipo atatukumbuka sisi kina gogo la shamba tulikuwa tunamuambia nini
 
Six is F**ckin Craizy.

Thats what we call political asassination..!!

Alijitia kujifanya yeye ni mzalendo sanaa leo kiko wapi??

To hell with his ugly ass..
 
Mzee huyu kwanza analaana za watu wa Urambo,hapa nilipo sasa nimelala gesti moja ipo kama mita 100 hivi kutoka nyumbani kwa sita,yeye mwenyewe ndo ana nyumba dizain kama ilitakiwa ijengwe ghorofa ila hakupanda,Urambo watu wanakunywa maji ya kisima,na nikasikia kuwa kuna internal conflicts kati yake na mkewe,wanagombea nani agombee ubunge!tehteh;mzee wetu tunakuheshimu sana,rudi kwenu Urambo,japo mgawane marupurupu ya BMK

Tatizo wanaopiga Kura pamoja na masaibu yote hayo Watamchagua tena,,,! mimi sielewagi cc watu weusi tumelaaniwa? manake mtesi wetu ndo anakuwa Rafikietu
 
Kama ni ktk bunge hakusema hivyo unapotosha wananchi ambao hawakusikiliza wala kuangalia, alichosema ni kwamba chadema wameweka namba yao ya simu ktk mitandao na kuna wahuni wanamtumia msg za kumtukana, na akaahidi hajari wanaendelea na mchakato na katiba itapatikana.

uwe unatumia akili saa zingine mtoa uzi amesema aliyasema hayo kwenye kamati ya uongozi

kwa nini unakuwa mvivu wa kusoma lakini ?
 
Hata kama ni kweli kwamba mzigo mzito mbebeshe mnyamwezi,SITTAuwe makini siku zingine au laana ya viboko vya Mwal Nyerere vya 1967 baado vinakuandama?.TUTAKUTATANA BARABARANI KWENYE KURA ZA MAONI
 
Kama ni ktk bunge hakusema hivyo unapotosha wananchi ambao hawakusikiliza wala kuangalia, alichosema ni kwamba chadema wameweka namba yao ya simu ktk mitandao na kuna wahuni wanamtumia msg za kumtukana, na akaahidi hajari wanaendelea na mchakato na katiba itapatikana.

itapatikana katiba ya CCM au katiba ya WANANCHI?
 
Huyu mzee 6 lazima aishie pabaya, na hakika jk akimaliza na yeye ndo utakuwa mwisho wake maana el au ukawa mmoja anaingia ikulu. Na hapo ndo historia itachukuwa nafasi. Lakin pia mkakati wakumuondoa huyu mzee sio leo! Mkumbuke asingekua jk sasa hivi angekuwa na kadi ya CCJ na sio CCM. Hooo! Sita politiko dayz are numbered goodbyee.
 
kiongozi wa bora sasa atatoka wapi; bora lowassa tu ;;; hana kashfa
Kweli we mkuu nawe umetumwa...kule kwishney juma juma dede!! Akuna mtu kule,labda kwa mbali naona mzee wa data aka nyata, magufuri....kijana anaweza japo haungwi mkono na wanachama wenzie
 
Kweli we mkuu nawe umetumwa...kule kwishney juma juma dede!! Akuna mtu kule,labda kwa mbali naona mzee wa data aka nyata, magufuri....kijana anaweza japo haungwi mkono na wanachama wenzie

Ndani ya CCM hakuna yoyote mwenye nafuu,,,,!! Kabla ya Bunge la Katiba 6 alikuwa anafikiriwa ne nini kimetokea dawa nikutoa CCM mamlakani hii kumtaja cjui nani huko maGAMBAANI nikujipotezea muda wametalawa NCH hii zaidi ya 50 yrss nw kuna lipi wamefanya ikiwa hata madawati ni shida
 
Kwa mara ya kwanza hapa Dodoma, Samwel Sitta kiongozi wa bunge maalum la katiba amekiri kwamba wana wakati mgumu.

Hayo ameyaongea wakati akiwa na kikao na kamati ya uongozi pamoja na ile iliyoandaa rasimu ya tatu ya katiba, nimethibitisha.

"Kwa kweli muda unavyozidi kwenda na kila jambo tunalofanya tunakumbana na upinzani mkali kinyume kabisa na matarajio yetu" alisema Sitta.

Sitta pia katika kikao hicho amesema kuwa anajiuliza sana ni kwa nini upepo unawabadilikia hivyo na anaonekana kukata tamaa kama rais Kikwete ataridhia rasimu ipigiwe kura mapema.

Sitta kwa mara ya kwanza tangu aanze mchakato huu wa katiba amesikika akisema kuwa ana wasiwasi huenda akageukwa siku za usoni na mahasimu wake kisiasa ndani ya CCM kwa lengo la kulipa kisasi ingawa hakugusia ni kisasi cha aina gani.

Ni ukweli usiopingika kuwa Samwel Sitta amejikuta akipoteza kabisa mvuto aliokuwa nao kisiasa baada ya kulingoza bunge la katiba na kujikuta akikosolewa na kutupiwa shutuma nzito waziwazi kama msaliti mkubwa wa wananchi kwa sasa.
Hilo libaga (pombe) amelikoroga, ajiandae kulinywa. Liwe tamu au chungu laizima atalimeza tu
 
Sitta, hii ilikuwa kete yake ya kumpeleka Ikulu moja kwa moja bila vikwazo kama angeliicheza vizuri. Angetumia fursa ya uenyekiti wa BMK kutafuta maridhiano badala ya ubabe na kiburi katika uwanja wa kampeni aliokuwa amepewa Mwaka mzima kabla ya wenzake, asingekuwa na haja ya kuunda tume ya kampeni wala hofu ya kuenguliwa ndani ya ccm.

Hii ingempa kibali kwa Watanzania kwa kuona uwezo wake wa kuliunganisha taifa, kuweka maslahi ya Watanzania mbele, kujali na kuthamini utaifa zaidi na uwezo wa kutatua migongano ya ki itikadi na kimitazamo kwa njia za kidemocrasia. Ingempa sifa ya ukomavu wa ki uongozi na kisiasa lakini pia ingemdhihirisha kwamba ni mzalendo anayejali Nchi na hivyo, hata kama ccm wangelimwengua, alikuwa na uwezo wa kukubalika hata kama angeliamua kujiunga na chama chchote kingine ama kugombea binafasi.

Lakini sasa amekosa mwana na maji ya moto wanasemaga waswahili. Kakosa katiba, kakosa jina kwa watanzania na bado hajajenga umaarufu wowote wa kukubalika katika ccm zaidi ya kuonekana ni mnafiki, dictator, mzandiki, na asiye na uchungu na maslahi ya taifa zaidi ya kujipendekeza kwa watawala. Sasa ccm wala hawamtaji hata katika potential candidates, ha hata wakimtaja lazima wapoteze maana watz wote wameshamfahamu ni mtu ya aina gani, na tena kapoteza hata lile jina alikuwa nalo kabla hajawa mkit wa BMK.

Pole sana Sita. Umetumiwa kilevi cha madaraka vibaya, pumzika kwa amani.

Kwa mara ya kwanza hapa Dodoma, Samwel Sitta kiongozi wa bunge maalum la katiba amekiri kwamba wana wakati mgumu.

Hayo ameyaongea wakati akiwa na kikao na kamati ya uongozi pamoja na ile iliyoandaa rasimu ya tatu ya katiba, nimethibitisha.

"Kwa kweli muda unavyozidi kwenda na kila jambo tunalofanya tunakumbana na upinzani mkali kinyume kabisa na matarajio yetu" alisema Sitta.

Sitta pia katika kikao hicho amesema kuwa anajiuliza sana ni kwa nini upepo unawabadilikia hivyo na anaonekana kukata tamaa kama rais Kikwete ataridhia rasimu ipigiwe kura mapema.

Sitta kwa mara ya kwanza tangu aanze mchakato huu wa katiba amesikika akisema kuwa ana wasiwasi huenda akageukwa siku za usoni na mahasimu wake kisiasa ndani ya CCM kwa lengo la kulipa kisasi ingawa hakugusia ni kisasi cha aina gani.

Ni ukweli usiopingika kuwa Samwel Sitta amejikuta akipoteza kabisa mvuto aliokuwa nao kisiasa baada ya kulingoza bunge la katiba na kujikuta akikosolewa na kutupiwa shutuma nzito waziwazi kama msaliti mkubwa wa wananchi kwa sasa.
 
adhabu yake inamsubili kwa mungu wake,maisha ya dunia ni mafupi sana
 
Kama ni ktk bunge hakusema hivyo unapotosha wananchi ambao hawakusikiliza wala kuangalia, alichosema ni kwamba chadema wameweka namba yao ya simu ktk mitandao na kuna wahuni wanamtumia msg za kumtukana, na akaahidi hajari wanaendelea na mchakato na katiba itapatikana.

Umemwelewa mtoa maada? Anakwambia alisema ndani ya kamati ya uongozi na ya kuandika katiba,wewe unaongelea alichosema bungeni
 
Back
Top Bottom