Sitta: Tuna wakati mgumu

Sitta: Tuna wakati mgumu

Anavuna alichopanda! Huwezi ukapanda mtama ukavuna mahindi! Kwa sasa Sitta hana budi kujiuliza kilichomfanya kupongezwa alipokuwa Spika wa Bunge la Tisa la Tanzania, ni nini, na kwa nini sasa anatukanwa na watu walewale waliompongeza awali !!!!?????
 
Anavuna alichopanda! Huwezi ukapanda mtama ukavuna mahindi! Kwa sasa Sitta hana budi kujiuliza kilichomfanya kupongezwa alipokuwa Spika wa Bunge la Tisa la Tanzania, ni nini, na kwa nini sasa anatukanwa na watu walewale waliompongeza awali !!!!?????

ningepata number yake ningemfowadia hii comment
 
Wekeni namba yake hapa ili nasi tumsalimie huko aliko. Ana uhakika gani kwamba ni viongozi wa chadema?,. Mzee huyo anafikiri wanaopinga hiyo rasimu yao ya posho ni Chadema tu?. Kweli mzee huyo mnafiki hazimtoshi kichwani.
 
Na mimi naungana na hao wanatukana ................. ila sina namba yako ila namimi kimoyomoyo ndo hivyo......
 
Mwenye namba yake aweke hapa na Mimi nimtukane huyu fisi mwenye tamaa yake ndiyo maana amezeeka hadi kapinda mgongo eti wadau umeishamwona akitembea
 
Huyo jamaa ameshamalizwa na wagombea uraisi wa sisiemu.Mwenyewe wakati anakabidhiwa majukumu ya kuwa mwenyekiti wa bunge la katiba aliona keshamaliza kila kitu kumbe amekalia kisu chenye makali ya pande mbili na anajikata mwenyewe.Kwa lugha yetu ya kimawia "lIBYALE MWENE SITTA".
 
Kama kuna wasaliti...huyu mzee 6 ni wa aina yake. baada ya kupata pesa zote hizo..leo siku ya mwisho ndo agudue wanaupinzani!

Ni kwa upole wetu tumenyanyasika...ni kwa upole wetu maliasili zimetoroshwa na kwa upole huo huo polisi inasimamia ccm watunge katiba waitakayo watawala.

Natambua jambo moja tu kuwa Mungu hanaupendeleo. Jeshi liitwalo WAKATI litatukomboa na udharimu huu wa massiemu.
 
Back
Top Bottom