Sitta: Tuna wakati mgumu

Sitta: Tuna wakati mgumu

Nimekuelewa. Wewe ni mmoja wa wabunge wa BMK mlioko Dodoma na kuwa u mjumbe wa moja ya kamati ulizozitaja.....Kura utakayopiga kuhusu katiba hii pia utwambie....
 
Huyu Mzee ni mtu wa ovyo Sana sijapat kuona pia nilimuheshimu Sana ila kajiharubia
 
Kama ni ktk bunge hakusema hivyo unapotosha wananchi ambao hawakusikiliza wala kuangalia, alichosema ni kwamba chadema wameweka namba yao ya simu ktk mitandao na kuna wahuni wanamtumia msg za kumtukana, na akaahidi hajari wanaendelea na mchakato na katiba itapatikana.

Umeambiwa katika vikao na kamati za uongozi siyo bungeni, kama na wewe umejitishwa ucciemu polen sana. Warioba leo ametangaza rasmi kwenda kuungana na wananchi kuitetea rasimu ya S3 kama yalivyo maoni yao na kuikataa katiba ya ccm. shame upon u!
 
Kama ni ktk bunge hakusema hivyo unapotosha wananchi ambao hawakusikiliza wala kuangalia, alichosema ni kwamba chadema wameweka namba yao ya simu ktk mitandao na kuna wahuni wanamtumia msg za kumtukana, na akaahidi hajari wanaendelea na mchakato na katiba itapatikana.

Mzee anachanganikiwa kweli. Yeye ndiye atakayeipigia kura hiyo rasimu haramu au wananchi?
 
Kama ni ktk bunge hakusema hivyo unapotosha wananchi ambao hawakusikiliza wala kuangalia, alichosema ni kwamba chadema wameweka namba yao ya simu ktk mitandao na kuna wahuni wanamtumia msg za kumtukana, na akaahidi hajari wanaendelea na mchakato na katiba itapatikana.

Atapata katiba ya kumuongoza yeye na mke wake uko urambo na siyo watanganyika na wazenj
 
Sasa mkuu mimi nikudanganye ili iweje? kabla rasimu haijatoka nilileta hapa jamvini mambo ambayo rasimu imeyapendekeza ikiwamo waziri mkuu wa Tanzania kuwa makamu wa rais wa muungano kinyume na taratibu kwani anachaguliwa na watu wa jimbo moja, nikaleta lile la rais wa Zanzibar kuwa makamu wa kudumu wa Jamhuri ya muungano hali inayosambaratisha Zanzibar kama nchi yenye maslahi katika muungano achilia mbali kupoteza cheo chake cha mkuu wa nchi ya Zanzibar, pia nikatoa yale Kikwete na UKAWA waliyoongea kabla hayajawekwa hadharani, juzi nikaripoti namna Wazanzibar ambao wapo BMK wanavyotishwa..hujayaona hayo yakiripotiwa baadaye? pia ile thread ya Kikwete kuahirisha BMK hadi maridhiano wakati akiwa Marekani hukuona matokeo alipokuja? hili limetokea leo na Sitta anaonekana dhahiri kukata tamaa ingawa akija kwenu haonyeshi hivyo!

Tunashukuru mkuu kwa taarifa zako,mi nakiri nimekuwa nikizisoma zote tangu uanze kuzitoa,keep it up!
 
atajuta sana Warioba amesema anajiandaa kuzunguka nchi kuewaleza wananchi maoni yao yameweka kando na kuingiza maoni ya ccm bado UKAWA maandamano nchi nzima yanaendelea ccm kwisha habari yao
 
na mambo mengi yanakuja tunasubiri na tutaona
 
Kama ni ktk bunge hakusema hivyo unapotosha wananchi ambao hawakusikiliza wala kuangalia, alichosema ni kwamba chadema wameweka namba yao ya simu ktk mitandao na kuna wahuni wanamtumia msg za kumtukana, na akaahidi hajari wanaendelea na mchakato na katiba itapatikana.

kiongozi wa bora sasa atatoka wapi; bora lowassa tu ;;; hana kashfa
 
Mnaishi kwa ndoto.
Na ndoto zenu hazina athari kwa 6,ccm wala watanzania. Uzuri ni kwamba, mnatunga uongo kisha mnajidanganya then mnauamini uongo huohuo.
We keep on keeping on. Tunawatungia katiba

Kwa hiyo aliyeanzisha uzi huu si Mtanzania? 6 ameshaathirika tayari, na CCM pia. Kuweni mkitazama ukweli na mkiri. Acheni ushabiki. SAMUEL SITTA ameathirika sana kisiasa. Ni afadhali angekataa uenyekiti mapema.
 
Mungu anisamehe ila Sitta namchukia sana kwa sababu ya mambo aliyoyafanya Dodoma.
 
Kwa hiyo aliyeanzisha uzi huu si Mtanzania? 6 ameshaathirika tayari, na CCM pia. Kuweni mkitazama ukweli na mkiri. Acheni ushabiki. SAMUEL SITTA ameathirika sana kisiasa. Ni afadhali angekataa uenyekiti mapema.

Kwa mwenendo huu wa 6 muda si mrefu mtasikia kalazwa Milembe kama pre-counselling hatipata.Hebu anglia maoni kipima joto ITV 88% wamesema rasmu ya six ni ya ovyo kabisa na ni 9% tu ndo walimuunga mkono. Hapo kwa nini asilazwe Milembe!!!?
 
Kati ya watu ambao wamepoteza mvuto kwa Watanzania. Sita ni wa kwanza.
 
Samweli sitta hakumbuki kwamba ni ccm na wenzake waliomuondoa katika kugombania uspika baada ya kuwaumbua na kashfa ya richmond kwa kumtengenezea zengwe hivyo alitakiwa kujifunza kwa hilo lakini kutokana na kiherehere chake akajivika tena balaa baada ya kujitokeza kugombea uenyekiti wa bunge maalumu na kwasababu walikuwa wanataka kumlipizia kisasi wakamsapoti maskini sitta wa watu pasipo kufahamu akaingia kichwa kichwa sasa kitakachomtokea sijui!!!
 
Kwa mara ya kwanza hapa Dodoma, Samwel Sitta kiongozi wa bunge maalum la katiba amekiri kwamba wana wakati mgumu.

Hayo ameyaongea wakati akiwa na kikao na kamati ya uongozi pamoja na ile iliyoandaa rasimu ya tatu ya katiba, nimethibitisha.

"Kwa kweli muda unavyozidi kwenda na kila jambo tunalofanya tunakumbana na upinzani mkali kinyume kabisa na matarajio yetu" alisema Sitta.

Sitta pia katika kikao hicho amesema kuwa anajiuliza sana ni kwa nini upepo unawabadilikia hivyo na anaonekana kukata tamaa kama rais Kikwete ataridhia rasimu ipigiwe kura mapema.

Sitta kwa mara ya kwanza tangu aanze mchakato huu wa katiba amesikika akisema kuwa ana wasiwasi huenda akageukwa siku za usoni na mahasimu wake kisiasa ndani ya CCM kwa lengo la kulipa kisasi ingawa hakugusia ni kisasi cha aina gani.

Ni ukweli usiopingika kuwa Samwel Sitta amejikuta akipoteza kabisa mvuto aliokuwa nao kisiasa baada ya kulingoza bunge la katiba na kujikuta akikosolewa na kutupiwa shutuma nzito waziwazi kama msaliti mkubwa wa wananchi kwa sasa.

KAINGIZWA mkenge.

KARIKOROGA NA ALINYWE TU.
 
Mnaishi kwa ndoto.
Na ndoto zenu hazina athari kwa 6,ccm wala watanzania. Uzuri ni kwamba, mnatunga uongo kisha mnajidanganya then mnauamini uongo huohuo.
We keep on keeping on. Tunawatungia katiba

Ni kweli kabisa, unajua watanzania hawamuono 6 kwenye TV wala kumsikia anachoongea
 
Back
Top Bottom