Josephmnyonzi
Member
- Aug 6, 2014
- 74
- 6
Pole sana,mzee sita.sasa bac kumbuka ushauri wa mh:Lema kwamba umetupiwa ndoano na mafisadi na wewe bira soni ukaipokea,nasasa imeku kwamia shingoni pekeyako na sasa subili kitoke kindoano (liishe bmk la katiba)ufe vizuri kisiasa tukuzike,maana hutakuwa na cha kutuambia wananchi wako.na ndo hapo mafisadi yalio kutanguliza uaibike itakuwa kicheko na kukuponda pia,"pole sana mzee" sisi wanyonge tunasema mungu atutangulie,na awaumbue wanafiki wote wa aina 6t tuwajuwe mapema uovu wao!!