Ndio maana nchi haiendelei, tumekuwa tukiongozwa na watu wenye ubingwa wa kupiga siasaMaarifa ya Sitta kwenye siasa ni makubwa ukilinganisha na ya Dr. slaa
Ndio maana nchi haiendelei, tumekuwa tukiongozwa na watu wenye ubingwa wa kupiga siasa
Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
Unafikiri ccm watampa 6 agombee?Wadau,
Sitta ni nguli wa siasa na yuko vizuri sana. Dr. Slaa analijua hili.
Alitamani sana kumpa Sitta nafasi yake 2010...
Wadau,

Dr Slaa hakuwahi kuwaza urais kipindi hicho hadi aliposhtukizwa akiwa tayari amechukua fomu za ubunge.
Sasa mtoa mada mtu ambae alikuwa hata wazo hana atatoa wapi wazo la kumuachia Sitta?
Dr Slaa hana tamaa
Kwa hiyo wewe uko kwenye kambi ya Sitta..
Tunawasubiri wa kambi ya Mende..
Kambi ya Lowassa yuko Pasco.. Anawakilisha..
Mtauana decade hii..
inaonesha mna watu eeh hiyo ni dekrasia?? kwa mtu anaejali demokrasia hawezi kupredict wazi namna hiyo vp kuhusu ZZK??Duh,gahfla tu imekuwa hivi?kwanini Sitta na si Dr.Slaa au candidate mwingine atakayekuwa nominated through democratic process? To me,Dr.Slaa is still the best
He is an outstanding leader; he's very tough, knowledgeable, focused and has a clear vision.
mtu mnafiki kama sitta hawezi kugombea urais kwa tiketi ya ccmwana jf natamani sitta angegombea urais kupitia chadema 2015 awe rais halafu dr slaa akagombee ubunge ateuliwe kuwa pm. Mawaziri akina mwakyembe, ole sndeka, kilango, mnyika, mdee, lissu nk. Nadhani hiyo timu ingefanikiwa sana.
Sitta na dr ni watu wakali, wanaichukia rushwa, wana busara na ni waadilifu.
Ukimwangalia sitta na ukirudi ukimwangalia dr slaa, unauona unyerere ndani yao. Pamoja na hawa mabwana kuwa na maadui wengi, ulishawahi kusikia wanatuhumiwa au kuzushiwa rushwa? Hawa maadui wangekuwa hata na chembe ya ushahidi wa rushwa wangeutumia.
Waulizeni watu wanaotokea hanang au urambo na pia chunguza mwenyewe utagundua hawa mabwana ni kati ya rare breeds zilizobaki tz.
Wana JF natamani Sitta angegombea urais kupitia Chadema 2015 awe Rais halafu Dr Slaa akagombee ubunge ateuliwe kuwa PM. Mawaziri akina mwakyembe, Ole Sndeka, Kilango, Mnyika, Mdee, Lissu nk. Nadhani hiyo timu ingefanikiwa sana.
Sitta na Dr ni watu wakali, wanaichukia rushwa, wana busara na ni waadilifu.
Ukimwangalia Sitta na ukirudi ukimwangalia Dr Slaa, unauona unyerere ndani yao. Pamoja na hawa mabwana kuwa na maadui wengi, ulishawahi kusikia wanatuhumiwa au kuzushiwa rushwa? Hawa maadui wangekuwa hata na chembe ya ushahidi wa rushwa wangeutumia.
Waulizeni watu wanaotokea Hanang au Urambo na pia chunguza mwenyewe utagundua hawa mabwana ni kati ya rare breeds zilizobaki Tz.
inaonesha mna watu eeh hiyo ni dekrasia?? kwa mtu anaejali demokrasia hawezi kupredict wazi namna hiyo vp kuhusu ZZK??
Mimi binafsi nawakubali wote wawili -- Sitta na Slaa. Yeyote kati yao akiwa Rais nina uhakika Tanzania itakuwa tofauti kabisa. Hawa watalinda raslimali za nchi yetu kwa manufaa ya Watanzania wote. Watakata mirija yote ya unyonyaji.
chachu kidogo uchachua donge zima, hapo umechemshaWana JF natamani Sitta angegombea urais kupitia Chadema 2015 awe Rais halafu Dr Slaa akagombee ubunge ateuliwe kuwa PM. Mawaziri akina mwakyembe, Ole Sndeka, Kilango, Mnyika, Mdee, Lissu nk. Nadhani hiyo timu ingefanikiwa sana.