Inaonekana sasa Sitta anampango wa kukihama CCM. Gazeti za leo la Tanzania daima limemkariri akisema kuwa hivi sasa hana mpango wa kuhama CCM: Kwa maneno yake: Kwa sasa sina mpango huo wa kuhama, labda wananchi watake nichukue nafasi nyingine, alisema Sitta.
Hivyo 'nafasi nyingine' anayoisema yamkini ni URAIS. Kwa kauli hii. Ni dhahiri huyu jamaa atahama chama. Hivi sasa anapima upepo tu.
Tanzania Daima ni gazeti la Chadema hilo kwahiyo inawezekana walimwelewa vibaya. Alichomaanisha Sitta ni kuwa hawezi kuhama CCM labda akiahidiwa nafasi nyingine na chama kingine.

Join Date : 11th October 2011
Posts : 39
Rep Power : 0
Hakuna mlango wa kutokea ukishaingia CCM..
Tanzania Daima ni gazeti la Chadema hilo kwahiyo inawezekana walimwelewa vibaya. Alichomaanisha Sitta ni kuwa hawezi kuhama CCM labda akiahidiwa nafasi nyingine na chama kingine.
Sitta tayari ameshajitengenezea mazingira ya kuhama CCM and the most likely destination ni CDM.
Hivyo angalieni CDM msije kula matapishi yenu kama CCM na Rostamu walivyofanya huko Igunga.
Sitta amejiapiza kama Lusinde alivyojiapiza kwamba CCM ikishindwa Igunga atakunywa sumu. Sitta
amesema kwamba ataendelea kupinga malipo ya downs kwa nguvu zake zote.
Sasa imagine kama baraza la mawaziri likaridhia kuilipa downs which is most likely decision kwa sababu ndiyo
mkakati wa EL, RA from the word go. Je Sitta ataendelea kupinga malipo ya Downs?
Remember collective responsibility, ubashiri wangu ni kwamba Sitta ataendelea kupinga, hivyo aidha atafukuzwa
na JK, lakini kama ni smart unlike Mrema atajiuzuru uwaziri na kupinga malipo Downs. Mwisho wake atafukuzwa CCM
na hapo ndipo atakapoangukia CDM kwa ahadi ya kugombea urais 2015, Kama Mrema na Chavda na NCCR-Mageuzi 1995.
Swali la kujiuliza Je ni nani CCM ataweza kupambana na Sitta wa CDM 2015? Be the juror yourself! Najua CCM hawataki
kusikia kabisa kitu hiki, kwani watalazimika kumsimamisha Magufuli ambaye sio changuo la JK na Ridhwani.
Mbona sioni tofauti ya kilichonukuliwa na gazeti na hii tafsiri yako? Au wewe ndio hukuelewa? Halafu unatudanganya eti Tanzania Daima ni la Chadema!!!! Uelewa wako mdogo sana. Hivi mlevi akikwambia njia unayoenda ina simba utampuuza kwa sababu ni mlevi? Tofautisha Tz Daima na Uhuru bwana!!Tanzania Daima ni gazeti la Chadema hilo kwahiyo inawezekana walimwelewa vibaya. Alichomaanisha Sitta ni kuwa hawezi kuhama CCM labda akiahidiwa nafasi nyingine na chama kingine.