Sitta+Mwakyembe=unafiki
Ni afadhali ya mchawi
Sitta+Mwakyembe=unafiki
kwani mwakyembe si alishawah kutamka kwa mdomo wake mwenyewe akiwa na sitta na anna kilango kuwa amelishwa sumu? There's something wrong mahali,
kwani mwakyembe si alishawah kutamka kwa mdomo wake mwenyewe akiwa na sitta na anna kilango kuwa amelishwa sumu? There's something wrong mahali,
scleroderma, information about scleroderma
most cases of scleroderma occur with no recognizable initiating event. Some cases, however, have been traced to poisonous (toxic) exposures. For example,coal miners and gold miners (both of whom have a lot of exposure to silica dust) have higher than normal rates of scleroderma. Other types of chemicals that have been associated with scleroderma include polyvinyl chloride, benzine,toluene, and epoxy resins. In 1981, 20,000 people in spain were stricken with a syndrome similar to scleroderma when a toxic substance accidentally contaminated cooking oil. Some claims of a scleroderma-like illness have been madeby women with silicone breast implants.
Hao wanao eneza uongo ni wanafiki wenyewe na sio SITTA umewapatia,wasubirini majibu kutoka APOLOKuna uchunguzi unaendelea. Nyie mlitegemea mwakyembe atasema nimelishwa sumu!!??? Pia mfahamu kulishwa sumu si ugonjwa. Ila kunapelekea ugonjwa. Hivyo nothing is proved wright or wrong.
Huyu ndo wa kushitakiwa kabisa. Kumbe riport ya Manumba ilikua ya kweli kwa mtindo huu. kwa sababu tunaamini anayejua ukweli wa ugonjwa ni Mwakyembe mwenyewe na tayari ameshafunguka kwamba hamna sumu ni ugonjwa tu mwingine ambao chanzo chake hakieleweki.
sitta umedanganya nchi kuhusu ugonjwa wa rafiki yako Mwakiembe. sasa amekuruka na kukuacha uchi, jiuzulu mara moja kwa faida ya nchi.
hatutaki viongozi wanafiki na waongo!
sitta umedanganya nchi kuhusu ugonjwa wa rafiki yako Mwakiembe. sasa amekuruka na kukuacha uchi, jiuzulu mara moja kwa faida ya nchi.
hatutaki viongozi wanafiki na waongo!
Sitta+Mwakyembe=unafiki