Mkuu unadandia watu pasipo sababu sitta yuko sahihi utalaumu bure.
Mkuu unadandia watu pasipo sababu sitta yuko sahihi utalaumu bure.
chama kinachokosa mwelekeo huzuia mambo ya msingi yasijulikane kwa wananchi, Kutojua mambo kwa wananchi ndiyo mtaji pekee wanaobaki nao.hata me niliona leo amenishangaza sana lile somo la jana limewauma sana walikuwa hawataki tujue ukweli wa mambo. viva itv endeleeni hivyo hivyo
Kauli za Spika wa Bunge la Katiba mnafiki Samwel Sitta kulalamikia Kituo cha ITV kukubali kuendesha Mijadala ya Kikatiba ya kuwaelimisha wananchi kuhusu Maudhui na mambo mengi yanayolenga kufichwa na kundi la CCM ili wananchi wasiyajue ni ishara nyingine ya jinsi Sitta asivyofaa kusimamia kiti, amewekwa kulinda genge la CCM na mkakati wake lilivyokusudia kuudhulumu umma haki na uwazi unaotakiwa ktk kuielewa Rasimu ya 2 ya Katiba yao Mpya. Hii ni dalili wazi kuwa CCM ipo pabaya, Samwel Sitta anahaha kulinda tamaa zake kuelekea Urais hivyo analazimishia umma unyamaze kimya kumwachia na kundi la CCM wajiendee bila kuhojiwa!! Wanachokifanya akina Warioba ktk Mjadala wa Kigoda cha Mwalim ni somo ambalo wangetakiwa walitoe ndani ya Bunge endapo wadhalimu hao CCM wasingeivunja tume na kuifungia Tovuti ya Tume. Ni Makosa ya makusudi. Hivyo hakuwa kundi la kuwazuia akina warioba kama Watanzania, wananchi huru kuwaelimisha umma wa watanzania kuhusu Rasimu yao kwa sasa. Yafaa walindwe kwa njia yoyote.
My take:
Kauli ya Sitta ni ishara na Dokezo kamili kwa Wanaharakati, Wanasheria na makundi ya kulinda ustawi wa taaluma na Uhuru wa habari wachukuwe tahadhari kubwa kwa maneno ya Samwel Sitta, na endapo ITV itakemewa (na Waziri Fenella) au kutishwa, au kuzuiwa kuendesha Midahalo ya kuwaelimisha wananchi ukweli, iwe ni mwanzo wa kuchukua hatua, hata ikibidi kufungua kesi kuzuia Mijadala ya Bunge ambalo linatakiwa liwe kwa maslahi ya Umma na sio kundi la CCM. Ndio maana mwada wa Habari nao Serikali inaufichaficha, inachelewesha!! Tusikubali, tusikubali, tusikubali kamwe!
Anasema "kuna chombo kimoja kinajifanya chenyewe ndio kinajua sana kuitisha midahalo,kazi yao ni kushambulia,kupambana na mbaya zaidi wahudhuriaji wengi ni wa upande mmoja wanashambulia,wanazomea na kushangilia.Sasa serikali muangalie hili nadhani waziri Fenela Mkangara upo hapa .Maana haiwezekani wafanye haya kisa ni chombo binafsi tu"
maneno ya sitta hayo! unategemea nini toka kwake!
expect nothing less but the real samwel sitta!
Anasema "kuna chombo kimoja kinajifanya chenyewe ndio kinajua sana kuitisha midahalo,kazi yao ni kushambulia,kupambana na mbaya zaidi wahudhuriaji wengi ni wa upande mmoja wanashambulia,wanazomea na kushangilia.Sasa serikali muangalie hili nadhani waziri Fenela Mkangara upo hapa .Maana haiwezekani wafanye haya kisa ni chombo binafsi tu"
maneno ya sitta hayo! unategemea nini toka kwake!
expect nothing less but the real samwel sitta!
amesahau mdahalo wa juzi wa tbc ndio ulijaa pumba tupu anataka kupotosha mambo.
100% agreed, mdahalo wa Jpili ndio ulikuwa mbolea ya samadi, uliandaliwa na CCM na UDASA kwa kuwalisha 'panya road wa kisisasa' fedha ili wazomee kundi linalosema yaliyo kweli kwa Rasimu ya Umma, Mnafiki Sitta hakuliona hilo....!
HAKUNA WA KUZUIA MABADILIKO...KATIBA YA WANANCHI ITAPATIKANA...hata wafanye hila kiasi gani!
JANA PROF Kabudi alishawataja kwa tabia zao,mi sipat shida na wanasiasa,midahalo ni haki ya wananchi,sasa tatizo ni nini?TBC ni channel ya umma haitak kutuonesha,sasa mtu amerusha mnaanza kumsimanga jamani,hivi wanajua Good governennce hawa,mbona DK 45 alikua anahudhuria?wapinzani si wameanza kuonekana hivi karibuni?mbona hatukusikia wapinzani wakilalamika?Anasema "kuna chombo kimoja kinajifanya chenyewe ndio kinajua sana kuitisha midahalo,kazi yao ni kushambulia,kupambana na mbaya zaidi wahudhuriaji wengi ni wa upande mmoja wanashambulia,wanazomea na kushangilia.Sasa serikali muangalie hili nadhani waziri Fenela Mkangara upo hapa .Maana haiwezekani wafanye haya kisa ni chombo binafsi tu"
maneno ya sitta hayo! unategemea nini toka kwake!
expect nothing less but the real samwel sitta!
Mnafiki hatufai hii ni nchi yetu sote tumpuuze kabisa.
Ummm hapana mkuu, lowasa, Samuel Sita wote ni kundi moja.hakuna mwenye nafuu