Sitta,kapuya,kaboyonga,selelii.

MotoYaMbongo

JF-Expert Member
Jan 7, 2008
2,146
884
Wote hawa ni mkoa wa Tabora. Jamani unganeni muangalie mkoa wenu wa tabora na wilaya zake. Uko nyuma sana na nafasi mnazo. Usipojenga kwako nani atakujengea? Unganisheni Kigoma na Tbr kwa barabara tena kwa vitendo na sio maneno matupu. Mkicheza mtakuja hukumiwa na wapiga kura wenu wa Tabora na vizazi vijavyo. Hamuoni aibu?
 
Kama ingekuwa hivyo nadhani makao makuu ya serikali yangekuwa Butiama na Chuo Kikuu pia kingekuwa huko huko! Ni kweli wanatakiwa kufanya kazi kwa bidii ili kuendeleza maeneo waliyotoka BUT not at the expense of others! Ni mtazamo tu
 
Waungane.......... wanafungu gani la kupeleka maendeleo unayoyataka huko kwao zaidi ya mgawanyo unaotoka serikalini? Usiwe na mtazamo finyu, maendeleo hayaji kizembe namna hiyo
 
Wote hawa ni mkoa wa Tabora. Jamani unganeni muangalie mkoa wenu wa tabora na wilaya zake. Uko nyuma sana na nafasi mnazo. Usipojenga kwako nani atakujengea? Unganisheni Kigoma na Tbr kwa barabara tena kwa vitendo na sio maneno matupu. Mkicheza mtakuja hukumiwa na wapiga kura wenu wa Tabora na vizazi vijavyo. Hamuoni aibu?
Du. Huna habari wewe? Mheshimiwa Seleli sasa jicho lake liko katika jimbo la uchaguzi la Zanzibar hapo itakapokuwa Ka-Mkoa tu ka Tanzania.
 
Rostam Aziz mwanaume......igunga ya sasa sio ile ya mwaka 94.......full lami,umeme,maji,shule,zahanati.............what more would u ask for????
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom