Sitta Amvaa Kapuya, Lowassa

Anachosema mh.sitta ni kweli usiopingika m.mungu ampe nguvu mzee huyu
..Ansema nini huyu mzee cha maana zaidi ya unafik. Ivi huyu sita ana washtakia watt shutuma za viongozi wenzanke na wanachama wenzake wa ccm na wabunge wenzake wa bunge la jamhuri. ivi hivyo vitoto vita wachukulia hatua gani Luwasa na kapuya mm nadhani hao wtt hata kuwajua hawa Luwasa na kapuya hawawajui.. ivi kwanini asiwashtaki mbele ya bunge mbele ya vikao vya chama chao asiwashitaki kwenye baraza la mawaziri asiwashitaki kwa wadhamini wa ccm mote humo hakuona ameona vitoto nadio vinastahiki kujua uchafu wa luwasa na kapuya.sasa anataka vifanyeje au wawazomee tu..Mm huwa namshangaa sana huyu mzee siju hajijui au amechanganyikiwa kila kukicha nyimbo ni hiyohiyo tu luwasa luwasa ivi hajajua kama luwasa hamuwezi Mm naamini hapa tz hapana mtu anaemuweza luwasa iwe kwa mazuri au mabaya.. na kama haamini ngoja luwasa aghairi kugombea urais aamuwe kugombea ubunge tena kwa jimbo la urambo ndio 6 atatia akili na upuuzi wake wa kila siku ndio utakuwa umekwisha. Ukienda jimboni kwa 6 utadhani kulikuwa na vita wikimbili zilizo pita kumechakaa hakuna hata km 1 ya lami dispensary zimechakaa mashule mabovu wananchi wake wanyonge wamejinamia kama wametoka kuchukuwa majibu ya vvu wako hoi kama hukujui urambo na ukimsikia mbunge wa urambo 6 unaweza kufikikiri urambo nizuri sana mbunge baada ya kuimarisha jimbo lake amekuwa mtu wa mipasho tuu tena nyimbo yenewe 1 Luwasa tu. sijui kwanini komba na kopa hawamchukui tot.. badilika mzee umeshakuwa ww fuata taratibu za uwongozi na za chama chako usiwe kama lema na cdm unatutia aibu wanachama wenzako. Mzee gani usie jua kutatua migogoro kwa njia stahiki mpaka ukakae na watt wa shule usimange wazee wenzio na chama chako na serikali yako..mm nadhani hata hivo vtt vimekucheka wamekwita kwenye sherehe yao wanafuraha zao ww unawananga wazee wenzio umewatoa furaha waliokuwa nayo wtt wa watu siku nyingine hawakualiki tena.
 
mheshimiwa sita we hufai pia kuwa rais,maana unamajungu na ubinafsi!,kwa nn kila siku unamwandama lowasa!??ama unamapungufu??kwa nn usieleze mambi yako??,afu kwenye mialiko ya graduu,ndo majukwaa ya kujibizana siasa??,kwa nn usiite waandishi ukawaambia??,nani alikwambia pale wanataka kuja tofauti zrnu??
 

hizo share alizipata pata vipi?na kwa hela ipi? maana yaake hakuwa waziri wa uwekezaji wala fedha na uchumi wala mawasiliano na teknolojia au PM wakati voda inakuja nchini...
 
Siku ikifika wananchi watawangalia wanasiasa kama Mh. Sitta usoni na kusema , huyu kweli ataweza kupambana na Rushwa, Umasikini, Udini na Ukabila.

Kwa sasa nikiyaangalia matendo ya Mh. Sitta nina muona ni mwanasiasa mnafiki na mfa maji ambaye kuna watu wana mdanganya kuwa anaweza kuwa Rais wa Tanganyika au Tanzania.

Huyu binadamu anawalaumu wenzake kwa matendo fulani halafu yeye mwenyewe anenda na kuyafanya.

Wenzake wanatenda, yeye anapiga maneno ndani ya siasa za matukio. So sad.
 
I am tired with 6's mouth, he is a minister, do some, again Mr. Sitta do something
 
Mkuu Mtoboasiri, wala huko kwa kushitakiana mpaka kwa Mungu, hatutafika!, kila siku nasema humu jf, tena natambulika rasmi kama mfuasi No.1 wa EL, nasema hivi, EL ni "sauti tuu iliyo nyikani ikiyanyoosha mapito yake yeye yuajaye!".

Mwanzo hata mimi nilimtaka EL apitishwe ili atumike kama "pace maker" kwenye mbio za kuelekea Ikulu, 2015!. Kufuatia hali ya afya yake, nikajiridhisha, kumbe hata huko ndani ya CCM, yeye "sauti tuu iliyo nyikani!".

Pasco.
Pasco
 

fedha anayoingiza lowasa kwa siku ndiyo inayokutoa mate mpaka unamuunga mkono. Acha njaa utaliangamiza taifa
 

Ina maana kwa Mwaka Anainfiza zaidi ya bilioni 380?Bado vyanzo vingine?Kwa Miaka 4 alitakiwa awe kwenye list ya Jarida la Forbes maana hata Bakhresa hakufikisha zaaidi ya Trilioni 1.2 kwa mujibu wa list ya Juzi

Acha uongo.Kadanganye watu huko vijiweni kwenu huko
 

So kwa sifa ulizotaja ni na kuangalia usoni basi ni nani anafaa kwa maoni yako?
 
Sitta ni vuvuzela na mtu anayependa sana majungu.mbona hajisemi yeye kajenga ofisi ya spika urambo kwa 3 bilioni? atupishe kule ..huna hela huwezi kuwa rais ...kaa pembeni
 
Taarifa mheshimiwa. Lowassa hana hisa Vodacom.
 

ebu twambie kati ya marais waliotangulia ukimwondoa nyerere nani kapambana na hayo? sanasana wametengeneza mitandao ya kimaslahi kupitia taasisi ya urais!
 

Lowassa kwa kuwa alitabiriwa na TB Joshua kuwa ndiye atakaye kuwa Rais wa Tanzania 2015 anajiamini hivyo hata maneno ya Sitta nadhani yanapenya kutoka upande mmoja wa sikio na kutokea upande wa pili wa sikio la pili. Mungu hutoa lakini Mungu huyo huyo hutwaa anayedhani amesimama aangalie asije akaanguka, Lowassa do you get me?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…