The Wolf
JF-Expert Member
- Sep 10, 2013
- 9,468
- 20,877
Na wanaume ndo chanzo cha wake zao kuchepuka, hafu mwanaume malaya mke akichepuka Ana mkodia mwanaume mwenzako mijemba hyo ni akili matope
Mkuu acha kabisa kuchapiwa inauma sana, hasa ukifikiria vile unawafanya wake za watu, mpaka wanaamua kuchepuka