functional
JF-Expert Member
- Sep 13, 2018
- 738
- 794
Ilikuwa inatakiwa aanzishe Uzi wake
Sema ameweka mahali sipo..uzi unawataka walionusurika
Sema ameweka mahali sipo..uzi unawataka walionusurika
Nakumbuka, tena ulitabiria kwenye ubuyu wangu wa tuliowahi kugongewa wake zetuUzi za namna hii nilishawahi kutabiri hatimaye zimetimia sasa
Mambo ya ajabu hayo mwanaume unawezaje kuleta mada kama hiyo alafu anajiamini kabisa kama sio tangazo ni nini?WanaJf hamna jema. Mtu akisema alinusurika mnasema uongo sema vizuri, mtu akisema kweli mnamnyanyapaa daah
Mimi pia siwaelewi, mimi nikimfumania mwanamke wangu, wahusika siwafanyi chochoteHahaaaaa bwabwa lilikuwa lina washwa hivi ni lazima mukomeshane kwa hicho kitendo si bora fine ya hela
Sasa Chalii kama jamaa wa watu kweli alifiruwa afanyaje? Amekiri kuwa alitatuliwaMambo ya ajabu hayo mwanaume unawezaje kuleta mada kama hiyo alafu anajiamini kabisa kama sio tangazo ni nini?

Ww itakuwa ni tabia yako ukakubali kbs kuwapa ushirikiano mtu aliekutafuna?!...Mimi jaman niwe mkwel kabisa, miaka kama mitatu nyuma niliwah kukutana na malaya fulan hv kwenye fiesta huku Tanga. Ni kweli nilimsugua KITANGA mpaka akapagawa. Ila sasa yule bint hakuwa mwenyeji wa Tanga mjini bali yeye alitokea sehemu inaitwa Maramba kwa alikuja tu ajili ya Fiesta. Bas kidume nikawa nina mazoea ya kumfuata huko Maramba nakula mzigo nasepa. Cku 1 nikaenda tena na mwenzangu 1, tulikuwa na pikipiki yy kaniacha nje mie nikazama ndani kujipigia. Mara nikasikia makelele funguaaa funguaaa cjakaa sawa mlango ukavunjwa jamaa 5 wakaingia ndani. Wakaniamuru nivue nguo zangu maana nilishanza kuvaa baada ya kusikia purukushan, wakanilazimisha kulamba koni zao mbele ya yule malaya wa Fiesta dah!! Nikajarib kugoma huku napiga makele ili nipate msaa lakin nilikutana na kipigo cha mbwa khokhoh. Bas tena nikainamishwa nikatiwa mashne ( inauma sana ), ila jamaa mungu anamuona yaan mashine yote ile unamtandika nayo mtt wa watu? Mungu si Athuman jmn,huwez amin walikuja wananeshi fasta jamaa hata hajakojoa ndo ikawa nusura yangu. Ndo nilipogundua kua wanajeshi ni watu wazur na wenye huruma. Ile mibaba ingenitoa roho. Bas nikapelekw polis,nao wakaniletea dactar anipime ili kama nikithibitika jamaa wafunguliwe kesi lkn ikanibid mm na wafirani tushirikiane kumhonga daktari kwa manufaa yetu. Kwangu ni kuficha aibu wakati kwao ni kukwepa kifungo
Mi nakumbuka jamaa walianza kugonga mlango mi fasta nikavaa fulu kisha nikabeba stuli nikamwambia dem fungua.alipofungua nilishusha stuli na nguvu laki.ashukuru stuli ilizama katikati kichwani nikaskia mabega yamelia kaaa wengine kuona hivyo kila mtu alishika njia yake mi kushoto wao kulia.





Hahhahaha, jamaa alikuwa na genye balaa za watu zaidi ya mmojaSikuizi kuna mambo mm nilikuwa na Demu wangu nikachezewa mchezo ili na mm nicheze mchezo ilikuwa hivi--- nilianza kutumiwa SMS na MTU nisiye mfahamu kuwa Demu wangu anachepuka na jamaa furani nisiye mjua .nikamwomba anipatie ramani ni niweze kufumania tukio kama ni kweli Demu wangu ni mchepukaji ,jamaa akaniambia yupo tayari kunisaidia tena akaniambia huyo jamaa anapenda sana wake za watu hivyo inafaa nimkomeshe Kwa kumfumua malinda ,basi akanipa ramani yote nikatafuta njemba 3 tukatengeneza mtego kwenye gest mida ya jioni tukamuona jamaa anaingia na Demu wangu gest basi wazee tukazama ndani chumbani bila kuuliza tukawataiti yeye na yule Demu jamaa mwenyewe alikuwa soft soft mweupe yank mayaimayai Toto la mama furani hivi ,,,,sasa mijamaa niliyo endanayo ikambananisha imfumue malinda Mimi nikachukua Simu ya Demu wangu na yayule njemba nikatoka kwenyetukio jamaa wakafumua malinda KUMBE TUMECHEZEWA MCHEZO NA YULE NJEMBA TULIYE MFUMANIA NI SHOGA ni lenyewe ndiyo lili tengeneza mchongo likinitaharifu kuwa Demu wangu anachepuka niliyajua hayo kwenye Simu niliyo chukua na Kwa waliomfumua malinda walikuja wanalalamika kuwa wamefumua bwabwa
Duuh...! Wewe ni kiboko. Kwanza tu story yako kadri nilivyokuwa naendelea kuisoma mapigo ya moyo yangu yalikuwa yanienda kasi,kama nilikuwa naomba kikombe hicho kikuepuke. Halafu kweli bado unaendelea kuchat nae mtu kama huyo kweli? Unajua kitu ambacho kingekupata? “Kifo lakini baada ya kupitishwa mzigo”. Sasa huyo mwanamke alishakuua bado unataka akufufue tena?,una roho ngumuKatika hali ya kawaida binadamu tunapitia vipindi vingi sana.ngoja niingie moja kwa moja kwenye mada
Hiyo siku siiwezi kusahau, ni miaka 4 imepita, ilikuwa ni dem ambaye nilisoma naye tangu primary na sekondari tukiwa darasa moja, na mahusiano yetu yalianza tukiwa kidato cha kwanza, demu alinisaidia sana kuepukana na kile chama pendwa cha Chaputa mpaka namaliza sekondari,ijapokuwa nilikuwa na show nyingine za nje lakini huyu hatukuwahi kuachana mpaka tunamaliza
Tulikuja kupotezana mara baada ya kumaliza sekondari, kila mtu aliendelea na masomo na mimi baada ya kumaliza elimu ya chuo nikapangiwa kwenye mkoa mmoja, baada ya miaka 5 nikahamia mkoa ambao ndipo tukaja kukutana, na yeye akaniambia ana familia 2 na ni mwajiriwa wa idara fulani kwenye local government. Ikabidi tuachiane contacts ili baadae tuwasiliane, katika kuendelea kuwasiliana akaniambia mume wake ni mtumishi wa jeshi la wananchi kikosi cha huduma.
Katika kuendelea kuchati binti alionyesha nia ya nguvu ya kutaka kupasha kiporo ,kitu ambacho sikuwa tayari mwanzoni. Lakini siku zilivyokuwa zinaenda nikashawishika kula mzigo,na tukawa tunafanya hivyo. Sasa kuna siku moja aliwahi niambia mume wake ameonyesha hisia ya kwamba mali yake inaibiwa, nikaanza kuwa na hofu kumbe alikuwa ametuwekea mtego, na mimi bila kujua.
Mpaka leo naendelea kuamini ule mtego lazima mwanamke alinisaliti kwa sababu mwanamke mara zote tulipokuwa tunakutana yeye ndiye alikuwa anatangulia gest na ananipa taarifa njoo chumba namba fulani.
Sasa siku hiyo nimefika eneo la tukio nikashtuka kukutana sura ambazo nilizitilia shaka lakini nikapotezea, nikapitia receiption nikasabahi nikaingia ndani, nilipofika room nikamkuta mama amesaula amelala, machale yakanicheza nikatoka nje nikamwambia mhudumu atubadilishie chumba akanipa funguo nyingine nikaenda room nikamwambia mama hiki chumba kina hewa nzito tuhame akawa anagoma,nikamzoa kwa nguvu tukahamia chumba cha mwishoni kabisa.lakini nikaona utofauti fulani kama vile mama hakulidhika, halafu story zikawa nyingi wakati mimi nataka tuanze game yeye anasema subiri tuongee kwanza. Kitu ambacho kilisaidia ni mara tu tulipohamia chumba kile simu zote yake na yangu zilikuwa mezani.mara nikasikia sauti za wanaume wakimlazimisha mhudumu afungua kile chumba tukichohama, huku mhudumu akigoma kwamba hawezi kwani wao sio wateja, baada ya kumtisha mhudumu akawapa sharti kama mnayemtaka hayupo msinisumbue tena, mhudumu akawafungulia na chumba kilikuwa hakina mtu, sasa wakawa wanamlazimisha afungue na vingine mhudumu akakataa na bahati nzuri wageni 2 waliokuwa vyumba vya pembeni wakatoka wakawaambie wale wakaka 4 wawe wastaarabu , kama vipi waende polisi ndio waje wafungue vyumba vingine na sio wao.jamaa wakagoma kwa kuona kwamba wakienda polis lengo lao halitatimia . Kipindi hicho chote tumekaa tu kitandani na binti ananiambia mume wangu huyo, shauri yako, halafu anaomba kutoka,akawa kama amepagawa flani hivi.nikamwambia marafuku ,nikamlaza kitandani nikamlalia juu ili kuhakikisha hata akipiga kelele hazisikiki.wakati huo simu yake nimeshazima mdaa.baadae wakaondoka kwa maelezo ya mhudumu kwamba hao watu wanao watafuta ni kweli walifika ila hawakukaa wameondoka walisema hawajaridhika na mazingira. Jamaa wakasepa, baada kama ya nusu robo saa mhudumu akaja kuniambia wameondoka tunaweza kuondoka. Wakati nafungua mlango ili niondoke akawa ananivuta mkono akijidai anataka gemu kwa maelezo anajua kwamba hiyo ndiyo mwisho wetu. Nikagoma nikaondoka nikamwacha yeye akijiandaa kuondoka, wakati natoka nikapita mlango wa nyuma nikaenda dirishani nikamwambia ampigie simu mshua wake amwambie tena chumba alichokuwepo.
Mpaka leo sitasahu hilo tukio, ijapokuwa mpaka kesho bado tunamawasiliano na huwa namuuliza kwa nini alifanya vile huwa ananiambia kwamba alibanwa sana na ili asalimishe ndoa yake ilibidi lazima afanye hivyo, lakini alimhakikishia kwamba hatanidhuru ndio maana akakubali kula njama.
Hawa wanawake tuwaone tu, kama na wewe umewahi kutana na mazingira kama hayo karibu tushare experience ni wapi nilikosea, kwa sababu pamoja na kunusurika bado naendelea na huo mchezo lakini siku hizi nakuwa makini sana.
Mimi pia siwaelewi, mimi nikimfumania mwanamke wangu, wahusika siwafanyi chochote
Hiyo inakuwa tiketi ya kuachana
Mambo ya ajabu hayo mwanaume unawezaje kuleta mada kama hiyo alafu anajiamini kabisa kama sio tangazo ni nini?
Sichezi hiyo league dingoo ni league ya washamba hunikuti humo mimi hata siku moja.Hapa ndo pakuambiana ukwel, kama huamin mchukue mke wa mtu halafu jianike nae ndio utaelewa
Anatangaza ili apate wakuendelea kumfukua huyo huoni hata hajutii chenye kilitokeaSasa Chalii kama jamaa wa watu kweli alifiruwa afanyaje? Amekiri kuwa alitatuliwa![]()
![]()
Aliesoma yote anisaidie kufupisha story
Aaahgh " mzigua acha masihara " inategemea hao watu/? mtu uliye nae amewekeza nguvu zake kwa kiasi gani kwako .... kuna watu tumeshawahuhudia wakipatwa na mabalaa kwakutoka na mademu wa watu tu ..achilia mbali wake za watu
Kama angekuwa mwanaume hiyo ni grave secret. Ila inaonekana ameupenda mchezo ndio maana anatangazia watu wapande dauMimi nawashangaa sana ujue, kipi cha ajabu? Mtu kaelezea kwa masikitiko hadi nimemuonea huruma
Ww itakuwa ni tabia yako ukakubali kbs kuwapa ushirikiano mtu aliekutafuna?!...
Mimi nafikiri huyo jamaa ameitendea haki bylaw ya JF kuandika ukweli wake kwamba alilawitiwaSema ameweka mahali sipo..uzi unawataka walionusurika