Sitosahau niliponusurika 'kufumuliwa marinda'

Sitosahau niliponusurika 'kufumuliwa marinda'

Sikuizi kuna mambo mm nilikuwa na Demu wangu nikachezewa mchezo ili na mm nicheze mchezo ilikuwa hivi--- nilianza kutumiwa SMS na MTU nisiye mfahamu kuwa Demu wangu anachepuka na jamaa furani nisiye mjua .nikamwomba anipatie ramani ni niweze kufumania tukio kama ni kweli Demu wangu ni mchepukaji ,jamaa akaniambia yupo tayari kunisaidia tena akaniambia huyo jamaa anapenda sana wake za watu hivyo inafaa nimkomeshe Kwa kumfumua malinda ,basi akanipa ramani yote nikatafuta njemba 3 tukatengeneza mtego kwenye gest mida ya jioni tukamuona jamaa anaingia na Demu wangu gest basi wazee tukazama ndani chumbani bila kuuliza tukawataiti yeye na yule Demu jamaa mwenyewe alikuwa soft soft mweupe yank mayaimayai Toto la mama furani hivi ,,,,sasa mijamaa niliyo endanayo ikambananisha imfumue malinda Mimi nikachukua Simu ya Demu wangu na yayule njemba nikatoka kwenyetukio jamaa wakafumua malinda KUMBE TUMECHEZEWA MCHEZO NA YULE NJEMBA TULIYE MFUMANIA NI SHOGA ni lenyewe ndiyo lili tengeneza mchongo likinitaharifu kuwa Demu wangu anachepuka niliyajua hayo kwenye Simu niliyo chukua na Kwa waliomfumua malinda walikuja wanalalamika kuwa wamefumua bwabwa
Hahaha haha dunia imeisha,kwahiyo jamaa aliona njemba kumtongoza mtaani hawataki akaamua ajipangie fumanizi
 
Jamaa alikua anatembea na mke wa mtu. Mume wake akamuwekea mtego siku moja lakini akashtukia mchezo akahama chumba alichokuwa na mke wa jamaa.

Sema sijajua alinusurika vipi kuliwa jicho maana hamna sehemu kaongelea alinusurika vipi kuliwa jicho zaidi ya kusema alinusurika kufumaniwa live
Aaah nashukuru saaaana kwa kwi,atleast nimepata kidogo yaliyomo
 
Mimi kuwekewa nguvu na mtu sitaki kama sio mume wangu. Atakaekuja kuwa na nguvu na mimi ni mume tu hawa wengine watimize wajibu wajitulize. Mambo ya mtu kujifanya anataka kuniown hali mi sio mkewe sientertain kabisa
hiyo sasa ni kwa upande wako ... nachelea kusema wenye Ke wenye mtazamo wako ni wachache mnoo !.... but sidhani kama atatokea mwanaume anayetaka kukunyanyua kiuchumi huku mkiwa in love then uka kataa ... yaani anataka kukufungulia kampuni au kukupa mtaji mkubwa wa baishara let say ml 40 then ukakataa.. ijapo kuwa anakuwa bado hajakuoa "...

na kitendo cha kumkubalia " yakupasa utambue kuwa anawekeza nguvu zake kwako ikitokea akaja kubaini kuwa kuna mtu anaye msaidia kukutafuna aisee sidhani kama atamuacha salama
 
Katika hali ya kawaida binadamu tunapitia vipindi vingi sana.ngoja niingie moja kwa moja kwenye mada

Hiyo siku siiwezi kusahau, ni miaka 4 imepita, ilikuwa ni dem ambaye nilisoma naye tangu primary na sekondari tukiwa darasa moja, na mahusiano yetu yalianza tukiwa kidato cha kwanza, demu alinisaidia sana kuepukana na kile chama pendwa cha Chaputa mpaka namaliza sekondari,ijapokuwa nilikuwa na show nyingine za nje lakini huyu hatukuwahi kuachana mpaka tunamaliza

Tulikuja kupotezana mara baada ya kumaliza sekondari, kila mtu aliendelea na masomo na mimi baada ya kumaliza elimu ya chuo nikapangiwa kwenye mkoa mmoja, baada ya miaka 5 nikahamia mkoa ambao ndipo tukaja kukutana, na yeye akaniambia ana familia 2 na ni mwajiriwa wa idara fulani kwenye local government. Ikabidi tuachiane contacts ili baadae tuwasiliane, katika kuendelea kuwasiliana akaniambia mume wake ni mtumishi wa jeshi la wananchi kikosi cha huduma.

Katika kuendelea kuchati binti alionyesha nia ya nguvu ya kutaka kupasha kiporo ,kitu ambacho sikuwa tayari mwanzoni. Lakini siku zilivyokuwa zinaenda nikashawishika kula mzigo,na tukawa tunafanya hivyo. Sasa kuna siku moja aliwahi niambia mume wake ameonyesha hisia ya kwamba mali yake inaibiwa, nikaanza kuwa na hofu kumbe alikuwa ametuwekea mtego, na mimi bila kujua.

Mpaka leo naendelea kuamini ule mtego lazima mwanamke alinisaliti kwa sababu mwanamke mara zote tulipokuwa tunakutana yeye ndiye alikuwa anatangulia gest na ananipa taarifa njoo chumba namba fulani.

Sasa siku hiyo nimefika eneo la tukio nikashtuka kukutana sura ambazo nilizitilia shaka lakini nikapotezea, nikapitia receiption nikasabahi nikaingia ndani, nilipofika room nikamkuta mama amesaula amelala, machale yakanicheza nikatoka nje nikamwambia mhudumu atubadilishie chumba akanipa funguo nyingine nikaenda room nikamwambia mama hiki chumba kina hewa nzito tuhame akawa anagoma,nikamzoa kwa nguvu tukahamia chumba cha mwishoni kabisa.lakini nikaona utofauti fulani kama vile mama hakulidhika, halafu story zikawa nyingi wakati mimi nataka tuanze game yeye anasema subiri tuongee kwanza. Kitu ambacho kilisaidia ni mara tu tulipohamia chumba kile simu zote yake na yangu zilikuwa mezani.mara nikasikia sauti za wanaume wakimlazimisha mhudumu afungua kile chumba tukichohama, huku mhudumu akigoma kwamba hawezi kwani wao sio wateja, baada ya kumtisha mhudumu akawapa sharti kama mnayemtaka hayupo msinisumbue tena, mhudumu akawafungulia na chumba kilikuwa hakina mtu, sasa wakawa wanamlazimisha afungue na vingine mhudumu akakataa na bahati nzuri wageni 2 waliokuwa vyumba vya pembeni wakatoka wakawaambie wale wakaka 4 wawe wastaarabu , kama vipi waende polisi ndio waje wafungue vyumba vingine na sio wao.jamaa wakagoma kwa kuona kwamba wakienda polis lengo lao halitatimia . Kipindi hicho chote tumekaa tu kitandani na binti ananiambia mume wangu huyo, shauri yako, halafu anaomba kutoka,akawa kama amepagawa flani hivi.nikamwambia marafuku ,nikamlaza kitandani nikamlalia juu ili kuhakikisha hata akipiga kelele hazisikiki.wakati huo simu yake nimeshazima mdaa.baadae wakaondoka kwa maelezo ya mhudumu kwamba hao watu wanao watafuta ni kweli walifika ila hawakukaa wameondoka walisema hawajaridhika na mazingira. Jamaa wakasepa, baada kama ya nusu robo saa mhudumu akaja kuniambia wameondoka tunaweza kuondoka. Wakati nafungua mlango ili niondoke akawa ananivuta mkono akijidai anataka gemu kwa maelezo anajua kwamba hiyo ndiyo mwisho wetu. Nikagoma nikaondoka nikamwacha yeye akijiandaa kuondoka, wakati natoka nikapita mlango wa nyuma nikaenda dirishani nikamwambia ampigie simu mshua wake amwambie tena chumba alichokuwepo.

Mpaka leo sitasahu hilo tukio, ijapokuwa mpaka kesho bado tunamawasiliano na huwa namuuliza kwa nini alifanya vile huwa ananiambia kwamba alibanwa sana na ili asalimishe ndoa yake ilibidi lazima afanye hivyo, lakini alimhakikishia kwamba hatanidhuru ndio maana akakubali kula njama.

Hawa wanawake tuwaone tu, kama na wewe umewahi kutana na mazingira kama hayo karibu tushare experience ni wapi nilikosea, kwa sababu pamoja na kunusurika bado naendelea na huo mchezo lakini siku hizi nakuwa makini sana.
pupuchi yake tamu?? kwa sababu nasikia mke wa mtu ni mtamu sana
 
Mimi jaman niwe mkwel kabisa, miaka kama mitatu nyuma niliwah kukutana na malaya fulan hv kwenye fiesta huku Tanga. Ni kweli nilimsugua KITANGA mpaka akapagawa. Ila sasa yule bint hakuwa mwenyeji wa Tanga mjini bali yeye alitokea sehemu inaitwa Maramba kwa alikuja tu ajili ya Fiesta. Bas kidume nikawa nina mazoea ya kumfuata huko Maramba nakula mzigo nasepa. Cku 1 nikaenda tena na mwenzangu 1, tulikuwa na pikipiki yy kaniacha nje mie nikazama ndani kujipigia. Mara nikasikia makelele funguaaa funguaaa cjakaa sawa mlango ukavunjwa jamaa 5 wakaingia ndani. Wakaniamuru nivue nguo zangu maana nilishanza kuvaa baada ya kusikia purukushan, wakanilazimisha kulamba koni zao mbele ya yule malaya wa Fiesta dah!! Nikajarib kugoma huku napiga makele ili nipate msaa lakin nilikutana na kipigo cha mbwa khokhoh. Bas tena nikainamishwa nikatiwa mashne ( inauma sana ), ila jamaa mungu anamuona yaan mashine yote ile unamtandika nayo mtt wa watu? Mungu si Athuman jmn,huwez amin walikuja wananeshi fasta jamaa hata hajakojoa ndo ikawa nusura yangu. Ndo nilipogundua kua wanajeshi ni watu wazur na wenye huruma. Ile mibaba ingenitoa roho. Bas nikapelekw polis,nao wakaniletea dactar anipime ili kama nikithibitika jamaa wafunguliwe kesi lkn ikanibid mm na wafirani tushirikiane kumhonga daktari kwa manufaa yetu. Kwangu ni kuficha aibu wakati kwao ni kukwepa kifungo
Pole
 
Ila mkuu hata nyie huwa tuna wafunania tuna wasamehe.
Na nyie wanaume huwa hamna haya unaweza kumkula mke wa jamaa yako au rafiki Bila wasiwasi hivi huwa mnawazaga nini, kweli kumoaneni tu. Anayefanywa hivo na umalaya unaisha kabisa
Wanaume wote hawawezi kuwa sawa kuna wengine kula wake za marafiki zao ni jambo la kawaida na wapo ambao wanaheshimu sana wake au wapenzi wa rafiki zao ila vyovyote vile si sawa kutembea na na mke au mume wa rafiki
 
Ni kweli had kwenda kwa mwingine means hakupendi ya nini kulipiza mtu mwishowe ufungwe miaka 30
Lazima utafute chanzo cha tatizo na kuangalia kama unaweza kulitatua, lakini kumlawiti au kumkodia watu mwanamme mwenzio ni ukatali,
Vipi kama mwanamke ndiyo amemtongoza jamaa
 
N
pupuchi yake tamu?? kwa sababu nasikia mke wa mtu ni mtamu sana
Ni sahihi kwa sababu ya mazingira ,anakuwa na hofu ya mumewe hivyo kusababisha damu kuwa kasi kwa sababu ya mapigo. Ya moyo kuongezeka hivyo kuongeza joto mwilini kunakopelekea kuongezeka kwa utamu
 
Ha ha ha ha
Nahisi na ww ulijipangia fumanizi,mwanaume kamili hawezi kuwa comfortable kuelezea hili tukio,tena kwa msisitizo unadai uliwapa ushirikiano wa kutosha ili wasiende magereza...pls soma hapa chini

Sikuizi kuna mambo mm nilikuwa na Demu wangu nikachezewa mchezo ili na mm nicheze mchezo ilikuwa hivi--- nilianza kutumiwa SMS na MTU nisiye mfahamu kuwa Demu wangu anachepuka na jamaa furani nisiye mjua .nikamwomba anipatie ramani ni niweze kufumania tukio kama ni kweli Demu wangu ni mchepukaji ,jamaa akaniambia yupo tayari kunisaidia tena akaniambia huyo jamaa anapenda sana wake za watu hivyo inafaa nimkomeshe Kwa kumfumua malinda ,basi akanipa ramani yote nikatafuta njemba 3 tukatengeneza mtego kwenye gest mida ya jioni tukamuona jamaa anaingia na Demu wangu gest basi wazee tukazama ndani chumbani bila kuuliza tukawataiti yeye na yule Demu jamaa mwenyewe alikuwa soft soft mweupe yank mayaimayai Toto la mama furani hivi ,,,,sasa mijamaa niliyo endanayo ikambananisha imfumue malinda Mimi nikachukua Simu ya Demu wangu na yayule njemba nikatoka kwenyetukio jamaa wakafumua malinda KUMBE TUMECHEZEWA MCHEZO NA YULE NJEMBA TULIYE MFUMANIA NI SHOGA ni lenyewe ndiyo lili tengeneza mchongo likinitaharifu kuwa Demu wangu anachepuka niliyajua hayo kwenye Simu niliyo chukua na Kwa waliomfumua malinda walikuja wanalalamika kuwa wamefumua bwabwa
 
Huo ni ukatili w
Lazima utafute chanzo cha tatizo na kuangalia kama unaweza kulitatua, lakini kumlawiti au kumkodia watu mwanamme mwenzio ni ukatali,
Vipi kama mwanamke ndiyo amemtongoza jamaa
Huo ni ukatili wa hali juu
 
Nahisi na ww ulijipangia fumanizi,mwanaume kamili hawezi kuwa comfortable kuelezea hili tukio,tena kwa msisitizo unadai uliwapa ushirikiano wa kutosha ili wasiende magereza...pls soma hapa chini

Sikuizi kuna mambo mm nilikuwa na Demu wangu nikachezewa mchezo ili na mm nicheze mchezo ilikuwa hivi--- nilianza kutumiwa SMS na MTU nisiye mfahamu kuwa Demu wangu anachepuka na jamaa furani nisiye mjua .nikamwomba anipatie ramani ni niweze kufumania tukio kama ni kweli Demu wangu ni mchepukaji ,jamaa akaniambia yupo tayari kunisaidia tena akaniambia huyo jamaa anapenda sana wake za watu hivyo inafaa nimkomeshe Kwa kumfumua malinda ,basi akanipa ramani yote nikatafuta njemba 3 tukatengeneza mtego kwenye gest mida ya jioni tukamuona jamaa anaingia na Demu wangu gest basi wazee tukazama ndani chumbani bila kuuliza tukawataiti yeye na yule Demu jamaa mwenyewe alikuwa soft soft mweupe yank mayaimayai Toto la mama furani hivi ,,,,sasa mijamaa niliyo endanayo ikambananisha imfumue malinda Mimi nikachukua Simu ya Demu wangu na yayule njemba nikatoka kwenyetukio jamaa wakafumua malinda KUMBE TUMECHEZEWA MCHEZO NA YULE NJEMBA TULIYE MFUMANIA NI SHOGA ni lenyewe ndiyo lili tengeneza mchongo likinitaharifu kuwa Demu wangu anachepuka niliyajua hayo kwenye Simu niliyo chukua na Kwa waliomfumua malinda walikuja wanalalamika kuwa wamefumua bwabwa
Msome tena huyo mkuu anadai alichezea kipigo cha mmbwa koko, kwa mantiki hiyo alikuwa hana uwezo wa kukaza
 
Kama angekuwa mwanaume hiyo ni grave secret. Ila inaonekana ameupenda mchezo ndio maana anatangazia watu wapande dau
Inaweza ikawa kweli kwakuwa amekiri kulawitiwa humu jf na wala hatumfahamu au labda mnafahamiana mkuu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom