Sitosahau niliponusurika 'kufumuliwa marinda'

Sitosahau niliponusurika 'kufumuliwa marinda'

Mie nilifumaniwa nikakamatwa na midume mitatu yenye nguvu ikaanza kunipaka mafuta nyuma ile jamaa wa kwanza anamaliza kuvua nguo aanze kunifumua marinda mala ghafla ndoto yangu ikaishia hapo!
Unapata hisia gani unapowaza suala la kupakwa mafuta kwenye "nyuma" yako?
 
Nlikua na biashara na watu flani so sikujua kama ni mchongo au yule dem aliwaita,yani nlivyoona mlango umegongwa kwa fujo mda wa nusu saa nkaona hapa msala.nlifyatua usawa wa miguu yao bila shaka ilimpata mmoja asubuhi nimefungua mlango nimekuta damu kiasi
Kweli hili onyo zuri sana, Ila wakati wakugongewa mlango nadhani roho yako ilikuwa juu
 
Sio mila tu Kuna wanaume wamezidi umalaya had mdogo mtu kah, hyo si zaidi ya pepo. Hafu leo huwa anaona aibu. Wanaume wa ki Africa wakipata hela ni wachafuzi

Mimi ndiyo maana naona bora niwe zangu sina kitu
 
Mkuu pole sana aiseh! Mimi nakumbuka rafik yangu alikuwa anakula denu mmoja dar pasipokujua kua ni mke wa mtu dem alikuwa amepanga nyumba nzima mikocheni ila mumewe alikuwa mzee wa tungi sana inavyonekana. jamaa akawa anaenda hadi kula mzigo nyumbani siku moja jamaa amelala anasikia honi ya gari mwanamke akamwambia mme wangu anarud kafanya suprise akamwambia jamaa ahamie chumba cha watoto jamaa kwa kuwa alikuwa amelewa chakali akagoma kuingia chumba cha watoto akaenda subuleni ili litakalotokea na liwe bahati nzur jamaa alikuwa yupo mtungi sana aliptiliza moja kwa moja chumbani jamaa akatoka taratibu
Mwisho tusipende kunywa pombe sana! Jaman
 
Nlikua na biashara na watu flani so sikujua kama ni mchongo au yule dem aliwaita,yani nlivyoona mlango umegongwa kwa fujo mda wa nusu saa nkaona hapa msala.nlifyatua usawa wa miguu yao bila shaka ilimpata mmoja asubuhi nimefungua mlango nimekuta damu kiasi
Bora ulifanya maamuzi magumu hao watu hawa Kuwa wazuri walikuwa wanakufatilia au walipewa mchongo aisee. Wenye roho nyepesi ingekula kwake
 
Unaweza Kuwa na kitu Ila kila jambo ukakifanya kwa kiasi imagine zee la 60years anahangaika ka kijana aliye balehe badala alee wajukuu

Ndiyo utafouti wetu uo
Kwako unaona si jambo jema mwingine analiangaikia
 
Dah! hii thread imenikumbusha mbali sana! Japo ... dah! niliwindwa kishenzi; jamaa alikuwa najua niko mji mmoja naye kumbe mimi niko mbali kinoma; alipogundua kuwa nina mawasiliano na mwenzake akamlazimisha amweleze ukweli .. mwenzie alipogoma .. ikabidi amnyanganye simu .. akaanza kunitumia sms nzuri tu; kumbe mwenzie mjanja alienda kwa jirani na kuomba simu na kunitaarifu nisijibu SMS yoyote toka kwenye namba yake kwani anayo Mr. wake. Ok nikakubali...
Akajichanganya mwaume akaniuliza anikute wapi ... nikamwambia aje Mango Garden (kipindi kile ni kiwanja kweli). Jamaa kambeba mke wake kwa gari eti waende wote Mango Garden ... walipofika akatuma SMS "mbona sikuoni"? Nikampa pole nikamwambia mi niko zangu Butihama hotel Shy!
Kesho yake alikuja kunambia (My sweety) kuwa nilichokifanya ni kizuri sana! Hadi leo jamaa huwa ananitumia sms kunilaumu; namwambia mi chinga huwa namuuzia mkeo nguo!
 
Mkuu ongea ukweli
Katika hali ya kawaida binadamu tunapitia vipindi vingi sana.ngoja niingie moja kwa moja kwenye mada

Hiyo siku siiwezi kusahau, ni miaka 4 imepita, ilikuwa ni dem ambaye nilisoma naye tangu primary na sekondari tukiwa darasa moja, na mahusiano yetu yalianza tukiwa kidato cha kwanza, demu alinisaidia sana kuepukana na kile chama pendwa cha Chaputa mpaka namaliza sekondari,ijapokuwa nilikuwa na show nyingine za nje lakini huyu hatukuwahi kuachana mpaka tunamaliza

Tulikuja kupotezana mara baada ya kumaliza sekondari, kila mtu aliendelea na masomo na mimi baada ya kumaliza elimu ya chuo nikapangiwa kwenye mkoa mmoja, baada ya miaka 5 nikahamia mkoa ambao ndipo tukaja kukutana, na yeye akaniambia ana familia 2 na ni mwajiriwa wa idara fulani kwenye local government. Ikabidi tuachiane contacts ili baadae tuwasiliane, katika kuendelea kuwasiliana akaniambia mume wake ni mtumishi wa jeshi la wananchi kikosi cha huduma.

Katika kuendelea kuchati binti alionyesha nia ya nguvu ya kutaka kupasha kiporo ,kitu ambacho sikuwa tayari mwanzoni. Lakini siku zilivyokuwa zinaenda nikashawishika kula mzigo,na tukawa tunafanya hivyo. Sasa kuna siku moja aliwahi niambia mume wake ameonyesha hisia ya kwamba mali yake inaibiwa, nikaanza kuwa na hofu kumbe alikuwa ametuwekea mtego, na mimi bila kujua.

Mpaka leo naendelea kuamini ule mtego lazima mwanamke alinisaliti kwa sababu mwanamke mara zote tulipokuwa tunakutana yeye ndiye alikuwa anatangulia gest na ananipa taarifa njoo chumba namba fulani.

Sasa siku hiyo nimefika eneo la tukio nikashtuka kukutana sura ambazo nilizitilia shaka lakini nikapotezea, nikapitia receiption nikasabahi nikaingia ndani, nilipofika room nikamkuta mama amesaula amelala, machale yakanicheza nikatoka nje nikamwambia mhudumu atubadilishie chumba akanipa funguo nyingine nikaenda room nikamwambia mama hiki chumba kina hewa nzito tuhame akawa anagoma,nikamzoa kwa nguvu tukahamia chumba cha mwishoni kabisa.lakini nikaona utofauti fulani kama vile mama hakulidhika, halafu story zikawa nyingi wakati mimi nataka tuanze game yeye anasema subiri tuongee kwanza. Kitu ambacho kilisaidia ni mara tu tulipohamia chumba kile simu zote yake na yangu zilikuwa mezani.mara nikasikia sauti za wanaume wakimlazimisha mhudumu afungua kile chumba tukichohama, huku mhudumu akigoma kwamba hawezi kwani wao sio wateja, baada ya kumtisha mhudumu akawapa sharti kama mnayemtaka hayupo msinisumbue tena, mhudumu akawafungulia na chumba kilikuwa hakina mtu, sasa wakawa wanamlazimisha afungue na vingine mhudumu akakataa na bahati nzuri wageni 2 waliokuwa vyumba vya pembeni wakatoka wakawaambie wale wakaka 4 wawe wastaarabu , kama vipi waende polisi ndio waje wafungue vyumba vingine na sio wao.jamaa wakagoma kwa kuona kwamba wakienda polis lengo lao halitatimia . Kipindi hicho chote tumekaa tu kitandani na binti ananiambia mume wangu huyo, shauri yako, halafu anaomba kutoka,akawa kama amepagawa flani hivi.nikamwambia marafuku ,nikamlaza kitandani nikamlalia juu ili kuhakikisha hata akipiga kelele hazisikiki.wakati huo simu yake nimeshazima mdaa.baadae wakaondoka kwa maelezo ya mhudumu kwamba hao watu wanao watafuta ni kweli walifika ila hawakukaa wameondoka walisema hawajaridhika na mazingira. Jamaa wakasepa, baada kama ya nusu robo saa mhudumu akaja kuniambia wameondoka tunaweza kuondoka. Wakati nafungua mlango ili niondoke akawa ananivuta mkono akijidai anataka gemu kwa maelezo anajua kwamba hiyo ndiyo mwisho wetu. Nikagoma nikaondoka nikamwacha yeye akijiandaa kuondoka, wakati natoka nikapita mlango wa nyuma nikaenda dirishani nikamwambia ampigie simu mshua wake amwambie tena chumba alichokuwepo.

Mpaka leo sitasahu hilo tukio, ijapokuwa mpaka kesho bado tunamawasiliano na huwa namuuliza kwa nini alifanya vile huwa ananiambia kwamba alibanwa sana na ili asalimishe ndoa yake ilibidi lazima afanye hivyo, lakini alimhakikishia kwamba hatanidhuru ndio maana akakubali kula njama.

Hawa wanawake tuwaone tu, wakiamua kukugeuka wanageuka mara moja tu wakibanwa .kama na wewe umewahi kutana na mazingira kama hayo karibu tushare experience ni wapi nilikosea, kwa sababu pamoja na kunusurika bado naendelea na huo mchezo lakini siku hizi nakuwa makini sana.
 
wanawake wakibanwa na waume zao ni wapuuzi sana!narudia tena ni wajinga sana! ni wabinafsi sana..yaani ni washenzi mno!
 
Mimi jaman niwe mkwel kabisa, miaka kama mitatu nyuma niliwah kukutana na malaya fulan hv kwenye fiesta huku Tanga. Ni kweli nilimsugua KITANGA mpaka akapagawa. Ila sasa yule bint hakuwa mwenyeji wa Tanga mjini bali yeye alitokea sehemu inaitwa Maramba kwa alikuja tu ajili ya Fiesta. Bas kidume nikawa nina mazoea ya kumfuata huko Maramba nakula mzigo nasepa. Cku 1 nikaenda tena na mwenzangu 1, tulikuwa na pikipiki yy kaniacha nje mie nikazama ndani kujipigia. Mara nikasikia makelele funguaaa funguaaa cjakaa sawa mlango ukavunjwa jamaa 5 wakaingia ndani. Wakaniamuru nivue nguo zangu maana nilishanza kuvaa baada ya kusikia purukushan, wakanilazimisha kulamba koni zao mbele ya yule malaya wa Fiesta dah!! Nikajarib kugoma huku napiga makele ili nipate msaa lakin nilikutana na kipigo cha mbwa khokhoh. Bas tena nikainamishwa nikatiwa mashne ( inauma sana ), ila jamaa mungu anamuona yaan mashine yote ile unamtandika nayo mtt wa watu? Mungu si Athuman jmn,huwez amin walikuja wananeshi fasta jamaa hata hajakojoa ndo ikawa nusura yangu. Ndo nilipogundua kua wanajeshi ni watu wazur na wenye huruma. Ile mibaba ingenitoa roho. Bas nikapelekw polis,nao wakaniletea dactar anipime ili kama nikithibitika jamaa wafunguliwe kesi lkn ikanibid mm na wafirani tushirikiane kumhonga daktari kwa manufaa yetu. Kwangu ni kuficha aibu wakati kwao ni kukwepa kifungo

Inaonekana ulifurahia sana.. na viuno ulikata ? alikuweka staili gani pole sana
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom