Sitongozwi, nini tatizo?

Shost kama hutongozwi...anza kutongoza wewe! Haki sawa kwa sawa
 
kwa uzoefu wangu, na nlivosoma tu ulivojieleza, nahis attitude yako ni tatizo, either unataka kuwa kama mwanaume (feminism) mambo yenu ya kutaka haki sawa sijui independent woman etc, au una sheria nyingi sana kuhusu wewe mwenyewe unavoji handle ka unauza bunduki, so apo lazma tu vijana waku by pass maana wanaona utawasumbua tu.
 
Sasa hapo shida ipo wapi kama utongozwi basi anza wewe kutongoza
 
Sasa km hupendagi wa mitandaoni umelileta humu la nn?
Umri wako bado mdogo kukimbilia majukumu ya ndoa,waza maisha mume mwema mungu alishamuandaa,muda haujafika

Sent using Jamii Forums mobile app
 
and thats it girlie... tatizo lako kubwa ni KUTOKUWA na tatizo thats a problem...
 
Maneno Yako Nayapima Ni Ya Kukata Tamaa May Be Waweza Waza Kwenda Kwa Sangoma Kama Ukiona Muda Unaenda Ambapo Utakua Upo Wrong Mno Kama Unamtegemea Mungu Be Serious Kumtegemea Hata Kama Ukiona Hupat Unachotaka May Be Anakupima Tatizo Letu Tunakaa Mguu Ndan Mguu Nje
 
Wewe unataka mpaka uandikiwe barua yenye kurasa tatu ndio umetongozwa? Siku hizi hata mwanaume akikualika lunch ujue keshakutongoza... Na usawa huu ulivyobana, wanaume wanaogopa kutongoza wanajua majukumu ndio yataanza.
So far 23 bado una room ya kutosha kuringa ringa mpaka ufike 30!
 
siwezi date na wa mitandaoni
Kwaio basi hata ushauri unaopewa wa "mitandaoni" ni utakuwa wa kipuuzi. Kwaio kiukweli haina maana ya kushauriwa. Nenda sehemu ambazo sizo za "mitandaoni".

What goes around always comes around
 
siwezi date na wa mitandaoni
Kwaio basi hata ushauri unaopewa wa "mitandaoni" ni utakuwa wa kipuuzi. Kwaio kiukweli haina maana ya kushauriwa. Nenda sehemu ambazo sizo za "mitandaoni".

What goes around always comes around
 
siwezi date na wa mitandaoni
Kwaio basi hata ushauri unaopewa wa "mitandaoni" ni utakuwa wa kipuuzi. Kwaio kiukweli haina maana ya kushauriwa. Nenda sehemu ambazo sizo za "mitandaoni".

What goes around always comes around
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…