Sitongozwi, nini tatizo?

Uko selective sana. Uko ant social sana. Sio kila mtu alie social hafai au sio kila mtu alie kwenye mitandao ya simu hafai. Jaribu kuondoa mawazo yako na uwe neutral then uone kama hutatongozwa mpaka uwakimbie.

Life is like that. Huwezi kutengeneza ka dunia kako peke yako. Lazima u move na dunia inavotaka. Mpaka akina Trump na Bill gates wapo kwenye social media. Ww ni nani uichukie mitandao ya kijamii. Ukiwa hivo kila mtu atakuogopa. Utaonekana sio wa kawaida.

Wanaume wa ukweli tupo. Tunasimamisha mpaka tunakosa wanawake, iweje ww usitongozwe. Hata yesu alikuwa anajichanganya kwenye mikusanyiko ya watu wote na alikuwa anaongea na watu wa kila aina kama vile , watoza ushuru kama akina lazaro, makahaba wa aina mbali mbali, wezi, wafarisayo, vipofu, viwete , vichaa nk nk.

Kwa hiyo jichanganye. Move with the world, usibaki nyuma sana.


Sent using Jamii Forums mobile app
 
If u had potentials usingekuja kulalamika hapa wadau hawakuoni mtaani
prolly God is protecting me from peeps like u,umezalisha ukaacha au nilete file lako,peeps wanaoharibu potentials za byuriful gals
 
sipendagi wa kwenye mitandao mimi
Endelea kuchagua wakati unaitumia hiyo mitandao kutafuta faraja.

Kwanini hukuandika bango ukakaa barabarani ili uwapate wa barabarani.

Wanaume ni wachache adimu na adhimu. Uwe makini utakosa hata wa kukukojoza. Achilia mbali wa kukuoa.

Maana hao wanaume wachache wapo waliooa. Wenye stress. Wasiopenda wanawake. Wasio na nguvu za kiume nk. Hivyo wigo wa mwanamke kumpata ampendaye ni mdogo sana.

Labda nenda kanisani ukakutane na wanaosali kama wewe.

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Jifunze kutoka kwa Alicia Keys

 
Jaribu kuchunguza kauli zako pindi unapozungumza labda ndio kikwazo ambacho wanaume wanakuogopa na hawakutongozi......
 
Ukinata saaana, watu hawatakagi shida ya mawazo,... Wanapambana na hali zao! I know you know mademu wako kibao saaana... Punguza maneno na dharau labda!
 
Wanaoenda huko watakuwa hawajielewi ..MTU hawavutii wanaume mpaka wanapishana nae barabarani bila hata kugeuka ..hivi mwanamke mwenye mvuto hujaona anatongozwa hata kwenye daladala?

Sent using Jamii Forums mobile app
should i disclose you,,,oh naogopa ban, btw napenda sinaga tatizo keep insulting
 
Hawa ndugu zetu sijui tuwaelewe vipi

Sent From Kisana Kiki Iphone
 
prolly God is protecting me from peeps like u,umezalisha ukaacha au nilete file lako,peeps wanaoharibu potentials za byuriful gals

Nitafurahi ukileta file langu....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…