Sitongozwi, nini tatizo?

Ni pm

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sema mtaa ulipo nije nikufanyie tathmini. Bado umri unarusu so usiwe na hofu wapo wakutosha

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Itafika mahali utasema sifa ya mwanaume unayemtaka awe anavaa suruali basi
 
Last night I had a dream of you... Then I woke up screaming
 

🙂🙂🙂🙂🙂🙂
 
Kila tabia uliyonayo ifanye iwe kiasi.
Anything too much......
 
Je una tabia hizi....?

1. Sehemu kubwa ya Mavazi yako imetawaliwa na Suruali (jeans).

2. Kifua chako kimebebwa na Maziwa makubwa.

3. Unapo kuwa na kampani ya Mwa/wanaume 30% ya mazungumzo yako unachanganya na lugha ya Kingereza.

4. Vipi muonekano wako maeneo ya Usoni pamoja na Kichwani, je..? wewe ni Mpenzi wa Makeups (Mapoda mengi pamoja na Rangi za Midomoni) au ni shabiki wa Manywele (Rasta) bandia...!?

Uzuri na vigezo vya kutongozwa, wanaume pia tuna machaguo yetu...

Kama unajiamini, ebu tupia picha yako tuijadili, maana nimekushangaa kidogo, kujifananisha na Lulu...!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Njoo PM mtu muafaka umempata, mapenzi moto moto!
 
huyu mwanamke ni mjuaji sana,hakika atakufa na bikira yake!
 
Ni pm nikupe siri mrembo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…