Sitongozwi, nini tatizo?

Mkishaanzasha kuitafuta 30, jeuri yenu kwisha.
Nawasubiri na wenzio humu, soon utaanza kuwashauri wenzako wanaume sio kitu na sio lazma kuolewa.
 
Mkuu umeeleza vizuri sanaa ila hapo chini umeharibu kiaina
 
Tatizo lako una Kishuzi wakati watu tunapenda Mijishuzi.
 
MIAKA 23 ,UKO DESPERATE NA UNASEMA UNAJIAMINI?
ah anyways!wacha wakutongoze.
 
Lol.... hutaki wa mitandaoni lakini umepost mtandaoni....hahaha no wonder......

Sent from my Siemens kidole juu using JamiiForum mobile app.
 
ahahahh
dada kwani wakwenye mitandao wanatokea sayari ya pluto!?
si wamo humuhumu duniani na wenyewe

Sent using Jamii Forums mobile app
aaaahhhh, alisahau kama watu ni wale walio hum ndo wapo mtaan, maofisin, fb, wasap, na mitandao yote ya kijamii. pia wengine n marafiki zake kabisa wa karbu. ila bint unaonyesha ni selective sana.
 
Uwezi olewa na mtu usiemfam kwa karne hii. kama we maisha yako ya kimtandao utapata mtandaoni, na si kwel km hutongozwi. unatongozwa ila unatakaa et sitaki wa mitandaoni...,,!!!!!
mahusiano ni njia ya kufikia ndoa ukiona hapa sipo anaacha unatafuta mwingine.sasa utaazeeka
 
Try to watch your attitude! Katika haya maisha, attitude ni kitu cha muhimu sana. Na kwa mwanamke kuwa over-confident ni tatizo pia hasa kwenye mapenzi na mahusiano. Haitajalisha ni mzuri kiasi gani lakini ukiwa na attitude mbaya kuanzia kwenye kauli, body language na hata tabia kiujumla basi utafanya wanaume ambao wapo serious na relationships washindwe kufunguka kwako. Nimesoma baadhi ya reply zako kwenye baadhi ya comment za wadau lakini nikakutana na F words za kutosha. Punguza ujuaji sana na kujiona superior!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…