Leonard Qamunga
Member
- Aug 6, 2016
- 24
- 14
Wataendelea kuwepo kwaajili ya uwepo wa wanaume kama wewe, ila na ninyi mkiisha sasa na wao watabaki wanafanya nini?
Sikuachiiiiiiii labda nifeachana na mm kabisa
mapenzi yangu mimi na wewe hakuna atakayeweza kutenganisha labda kifoo pekeeachana na mm kabisa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] you made my niteyakimaliza kula mifupa yako yanamalizia kivuli chako
Shunie hao wengine hawakupendi wanataka kukufanya wakuache mimi nina mapenzi ya kweli kwakoachana na mm kabisa
Shunie please mamii njoo imbox nikwambie mimi naniachana na mm kabisa
Siri ya kuwa kama billgates ni ubahiri shuniewe kiboko [emoji28]