Sitokuja nisahau hii kamwee!

Sitokuja nisahau hii kamwee!

Watu watakuponda na kukukejeli sana, lakini nikiwa kama mwanaume niliyekamilika kihisia wala siwezi kukujaji vibaya, ni kawaida sana kwa sisi wanaume kufanya ulichofanay, probably 70% ya midume iliyocomment humu ndani weshafanyiwa hizo mambo
 
Nakumbuka miaka ya nyuma kuna mwanamke nilimpenda sana ila nadhani haikuwa hivyo kwakwe. .siku moja kanipigia simu kama kawaida yangu nkapokea haraka bila kuchelewa akanambia anashida kama ya tsh 450,000/= hyo hela sikuwa nayo muda huo ila nikamuahidi ntampa baada ya siku mbili kesho yake nkarudi home mafinga (iringa) nkaenda nkacheki shamba la miti ambayo ipo tayari nikauza....

nliporud dsm nkampa 550000 extra ya kiasi alichoomba...alikaa kama wiki hvi bila kuntafuta nkimtumia txt hajibu na simu hapokei nkajisemea moyoni "haina shida " baada ya wiki kupita nkaambiwa mwanamke alimpeleka jamaa mwingine Zanzibar na show nzima kagharimia mwanamke

Haikuwa tabu kumsamehe nkijisemea pesa sio kitu ila nashukuru yeye ni mzima

Siku nyingine akaomba nimsaidie tsh 300,000/= skuwa na swali nilimpa tu hakuntafuta kama siku tatu hivi wakati sio kawaida yake. ..mwisho nkaona uvumilivu utanshinda nkaomba poo maaana nshagharimia saana pengeni ningeweza hata kujaza maduka ya kutosha afu haridhiki

Hivi wanawake wa aina hii kwa hapa dsm wataisha kweli maana ni shiiida kwa usawa huu mtafanya watu turudi kijijini Maana tutafirisika
Wanaishaje wakati wewe upo
 
wanawake wa hivyo hawawezi isha wakikutana na mwanaume kama ww wa kujifanya jack pemba, by the way tangazo lako tumelielewa jiandae na pm kujaa
 
Tangazo hili limekuja love connect, wataalamu tumeshajua jamaa ana maanisha nini.
-kwa kifupi hii ni fursa kwa wanaopenda kuhongwa pesa
 
Ha?
hivi ni wewe kweli shunie, shunie huyu huyu, shunie umeandikiwa hii post.
Poa lakini, fakalava anakuhonga kama shs ngapi
shunie mimi ndio nimeandika, fakalava ananihonga hela yoyte ninayomwambia! halaf supermarket ngoja nikwambie kitu watu wanaojinadi wana hela au wanahonga hamna kitu ni maneno tu ata usafiri haulipiwi.
 
Kama mimi tu, maneno mengi kumbe dume suruali
 
Aisee mangi inamaana ulikuwa unampa bure..!
Mi hata kama ni mpenzi wangu nikikupa hela maana yake nakukopesha
Utanipa tu hela bora tuachane lakini hela yangu unipe
Nilitaka kuachana na mpenzi wangu kisa hela
Alinikopa kumdai ikawa ananizungusha aisee nilimganda
Mpaka akanipa halafu akajidai kunikasirikia na mimi nikanyamaza kimya
Mwisho wa siku kakarudi tena
 
we kiboko
 
Na ubarikiwe sana, endelea kutoa tu.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom