Sitokuja nisahau hii kamwee!

Shunie changamkia fursa, jamaa anamwaga pesa huyo na wala hajali..hutaki kuhongwa ww
Bro cjawahi kufikiria kutongoza mwanamke kwenye mitandao na sitokuja kufanya hivo
Shunie changamkia fursa, jamaa anamwaga pesa huyo na wala hajali..hutaki kuhongwa ww
Bro cjawahi kufikiria kutongoza mwanamke kwenye mitandao na sitokuja kufanya hivo
 
shunie mimi ndio nimeandika, fakalava ananihonga hela yoyte ninayomwambia! halaf supermarket ngoja nikwambie kitu watu wanaojinadi wana hela au wanahonga hamna kitu ni maneno tu ata usafiri haulipiwi.
Shunie sijaandika hii kitu ili ntafute mwanamke la hasha ila nmeandika kitu kilichontokea sijaongeza chumvi zaid zaidi nimepunguza .......mwisho cjawahi kuamini kama kwenye mitandao kuna wanawake
 
Broo sijaandika post kutafuta mwanamke kwenye mitandao ila nimeandika ishu ilontokea....siwezi na sitokuja kutafuta mwanamke kwenye mtandao
Mfano ikitokea demu kakupenda yeye mwenyewe kutoka na thread zako nzuri na post zako halafu akahitaji ukutane nae, utachukua hatua gani mkuu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom