Mambo ya kuhepuka Mwaka 2024

Mwl Mwakujonga

JF-Expert Member
Jun 29, 2023
286
582
Utangulizi
Mwaka 2023 kulikuwa na Mambo mengi ambayo yalitokea na mengine yalinivunja Moyo na kuna mahali nilifika kidogo kidogo Imani ndani yangu ilianza kuondoka juu ya uaminifu wa Mungu

Ile kwamba Mungu ajakupa kile ambacho umemwomba miaka Mingi usijaribu kupunguza heahima ya Mungu moyoni mwako

Wakati napambana na Moyo wangu na neno la Mungu moyoni mwangu kuliingia kitu na Mungu alisema na Mimi juu ya uweza na ukuu wake na kile ambacho ninacho kiombea

Ni kweli umeomba miaka Mingi Kwa ajili ya kazi umetafuta kazi kila sehemu lakini haukupata , umeomba Kwa ajili ya kupata mume au mke Kwa miaka Mingi lakini haujafanikiwa Ile Kwamba haujafanikiwa haimaanishi kwamba Mungu hajaskia au haimaanishi kwamba uweza wa Mungu umepungua

Wakati mwingine mazingira yanaweza kutengeneza mazingira ya kuona uhaminifu wa Mungu umepungua, nikweli umeskia maneno mengi wakati mwingine umeona kweli umri unakwenda na hakuna mwanaume aliyetaka kukuoa au hakuna mke wakuoa na unaskia maneno kutoka kila Kona juu yako na Moyo wako umevunjika na kukata Tamaa

Usifanye kosa Hili , kudharau ukuu wa Mungu

Unamaanisha nini mwalimu, kudharau ukuu wa Mungu hauko kwenye maneno unaweza kua unamsifia Mungu na ukiomba hata mwenyewe unajiskia kweli Mungu anapata heshima

Cheki moyoni mwako kuna nini ? Unaweza kumsifu Mungu usiku na mchana lakini moyoni mwako ? Unaskia mbona kama Mungu ananipenda mbona ili hajajibu ?

Mbona Mungu alisema nitapata watoto lakini miaka inakwenda hata Tu mimba ilyoharibika hakuna! Mbona mbona zinakuwa nyingi na kidogo kidogo Imani yako juu ya ukuu wa Mungu inapotea

Sitasahau Mungu aliposema Nami , niombe toba juu ya mawazo yangu na ili aweze kunisaidia Kwa kile nilichokiombea

Nilipo omba rehema Kwa Mungu ndipo aliponifundisha juu ya Imani, unaweza kusema unampenda Mungu lakini hauna Imani juu ya ukuu wa Mungu

Kukosa Imani juu ya Mungu ni kudharau ukuu wa uweza wa Mungu ,Kwa sababu Imani ndiyo inakupa kile ambacho unakiombea ?.

Kwanini umeomba juu ya kupata mume au mke ? Ulishawai kusoma habari za Yule mke wa musa anayeitwa sipora ? Kasoma ndio utajua ukuu na uweza wa Mungu

Mungu aliponifundisha juu ya huyu Dada Spora nilimshangaa Sana Mungu,? Yule dada alikuwa sio muisraeli alikuwa mtoto WA kuhani wa Mungu mwingine lakini alipata Neema ya kuolewa na Musa katika mazingira ambayo kama sio mkono WA Mungu asingeolewa na Musa, Mungu alimtoa Musa Ikulu ya Pharao kwenda midiani nchi ya Afrika kwenda kumuoa Spora ? Haikuwa kitu rahisi Kwa Yule dada

Kuna habari nyingine ni ya Ruthu Yule mke wa Naom habari hii ukisoma Yule dada alikuwa na nafasi ya kurudi nyumbani kwao na kuendelea na Maisha yake ,lakini akaamua kumfuata mama mkwe wake wakati hakuwa na tumaini la kupata mume Kwa mama mkwe mjane ambaya Hana watoto , lakini Mungu alimpatia Boaz ambaye alimzaa Baba yake na Mfalme Daudi

Haijrishi kuna tabia ambayo umeiombea Kwa miaka Mingi lakini haikuachi weka Imani juu ya ukuu wa Mungu umewai kusoma habari za Rahabu Yule kahaba wa Yeriko, huyu Dada habari yake ni ya kushangaza Sana Mungu aliamua kuharibu nchi ya yeriko na kuharibu kila kitu Kwa ajili ya kumtoa Rahabu kwenye ukahaba ! Umewai kujiuliza kile ambacho unakiombea Mungu anakusaidia Kwa kiwango ambacho Yuko tayari kuharibu taifa Zima Kwa ajili yako? Ni upendo ulioje?

Mwisho hatakama Mungu ajakujubu kama ulivyo omba usijaribu kudharau ukuu wa Mungu juu yako

Wana WA Israeli hawakuridhi nchi ya ahadi Kwa sababu ya kudharau ukuu wa Mungu , usijekukosana na Mungu.

Sio kwamba Mungu amenipa kile ninacho omba Ila Imani yangu kwake imerudi haijarisha kitachukua miaka mingapi heshima ya Mungu ndani yangu itabakia kama maandiko yaliyo , hakuna neno gumu Kwa Mungu, wala hakuna hasiloliweza hata kama la kwangu hajalifanya , ninachojua katika kila Jambo kuna nyakati , naamini Muda wa Bwana ukifika nitapata majibu yangu .

Heri ya Mwaka 2024
 
Sijasoma mada. Nimesoma heading tu na kusikitika kwa nini mtu kilaza anakuwa mwalimu? KuHEpuka? Kweli? Huyu mtu anakabidhiwa kabisa mtoto akamfundishe hajui wapi atumie E na wapi atumie HE?
 
Huyu atakuwa mwalimu mwenye asili/anayeishi Arusha na maeneo jirani yake wengi wao hawajui matumizi ya "h" ni tatizo sana kuwaelewa.
Pia anaweza kuwa mwalimu wa UPE.
 
Back
Top Bottom