Sitoisahau siku hii.!!! Soo embarrassed

Watu wengine huchangiaji wenu wa hii thread unaniacha hoi Kama sio kunishangaza, it's like school girls/ boys!!
 
Kwa hiyo rangi ikiwa mbaya yenyewe inaendelea kuwa nzuri? Acha hizo wewe.
Kwa mwanamke kumuona uchi mwanaume ambae hana feelings nae actually inakera na kutia kinyaa.
say who? mwanamke anafeeling na mwanaume yeyote yule provided anayo anachotaka mwanamke e.g chakula,malazi,show off,
 
Babu weee kwani zote ni nyeusi...halafu sababu si kuwa ni nyeusi ndo imenikera No....ni sababu sijavutiwa nae...ukiplus na rangi...ukiplus pale c mazingira halali...hata ingekua nyeupe ningeponda cz hana adabu
 
Hahahah hujawahi kuona bidhaa ikiwa sokoni, kizuri chajiuza kibaya chajitembeza.....sasa jamaa wa watu hajui kutongoza but silaha anayo
 
Hahahah hujawahi kuona bidhaa ikiwa sokoni, kizuri chajiuza kibaya chajitembeza.....sasa jamaa wa watu hajui kutongoza but silaha anayo

Hahahaha. ..c angemwaga sera
 
sasa kilichokushtua ni nini? Ina maana na wewe pia uliipenda hio kitu only that mazingira hayakuruhusu. Hahahaaa sio tabia njema kutamani waume wa wenzio
Babu weee kwani zote ni nyeusi...halafu sababu si kuwa ni nyeusi ndo imenikera No....ni sababu sijavutiwa nae...ukiplus na rangi...ukiplus pale c mazingira halali...hata ingekua nyeupe ningeponda cz hana adabu
 
Mpwa wangu tofali the way ulivyokuwa umemchukulia from the begining ni wazi kuwa usingempa hata sekunde aseme neno lake to cut the story short akaamua atoe silaha yake ya mwisho akuonyeshe maana tangu umeingia kwenye gari umeangalia nje tuuuu as if na yeye humuoni, hahahaaaaaa just kidding bhana. Pole sana Mpwa, ntakutumia dawa ya kupunguza uzuri jamani
Hahahaha. ..c angemwaga sera
 
Last edited by a moderator:
sasa kilichokushtua ni nini? Ina maana na wewe pia uliipenda hio kitu only that mazingira hayakuruhusu. Hahahaaa sio tabia njema kutamani waume wa wenzio

Mmhhh sijafikia huko..my HUBBY anatosha
 
Yaani wewe lazma dunia inakuonea. Nanihii ya kwake, aiweke wazi na still ujisikie vibaya wewe! Ama ulimtamani?

Wanted to write the same...nahisi ni wale wadada ambao wapo emotional sana
 
Duh mkuu tofali (kwanza nlizaniaga we wa kiume mbe!) pole!

Please tell me kuna siku nyingine ambayo hutaisahau yenye mwisho mzuri.

Nangojea uhadithie hiyo..usisahau kuniita!!!
 
Last edited by a moderator:
Aisee,kumbe hayo mambo yapo kweli? Najisikia vibaya kwa mwanaume mwenzangu kuwa low kiasi hicho.
 
ntakuwa wa mwisho kuamini hii story..anyway nakumbuka mwaka jana hata cantalasia alikuja na hadithi kama hii
 
Aisee,kumbe hayo mambo yapo kweli? Najisikia vibaya kwa mwanaume mwenzangu kuwa low kiasi hicho.

Yeah_mimi sio tu najisikia vibaya..najickia aibu kubwa sana kama kuna mwanaume anafanya kweli hayo mambo...pitful so to speak
 
Unaweza kupigana na mwanaume. .au unamrushia vitu

tetetee kwani wanaume wana nini sio wote wenye msuli wa kupigana after all kupigana kwahitaji mbinu na wepesi. hata hivyo ukiamua kuingia vitani kila unachoweza kutumia kumshinda adui tumia iwe frying pan, pasi,kumkaba koo, teke kichwa, mtwangio, CD ni silaha nzuri ila inaweza kuua ukiweza kuitumia vizuri na kwa mbinu, kwa kufundishana adabu usitumie CD Kisu sindano uzi nk.

tusiwaogope hawa watu kwanza siku hizi hawana nguvu wako legelege tu kama walivyokuwa wanatuona sisi zamani. chipsi soseji soda soda mikate imewafanya wewe mdebwedo tu. ukikomaa hata ngumi kwa ngumi uaweza mtoa out cha muhimu ni kujiamini tu. kibao cha uso nawe unampa ngumi ya pua.
 
C nilikuwa mimi,niliutamani mzigo nikaona niupigie nyeto,xa itabidi nikuendee kwa babu ning'oe jumla.utamuu
 
alifanya mapenzi na ww kwa kutumia bluetooth technonology, baada ya kuona kitu yake ime-connect na ya kwako
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…