Sitasahau siku nimelala na mke wa mtu

Sitasahau siku nimelala na mke wa mtu

Hii stori yaweza kuwa kweli. Ukiwa na 2 conflicting thoughts moja linasema 'sawa' jingine linasema 'si sawa' kama huna ujasiri wa kukataa lililobaya na kuruhusu adrenaline....unakuwa kama nusu kichaa vile,, na ukishatii hiyo tamaa ya mwili akili ikirudi, majuto yake unaweza kujiua..

Mi nakushauri fanya hivi; kubali umefanya kosa na unastahili adhabu yoyote kulipa gharama ya kosa,, tubu kwa Mungu na muombe askuwajibishe kwa makosa ulofanya,, mwambie mhusika jinsi ulivyouumia, ulivyotubu na kwamba asitishe mawasiliano, akitishia kumwaga ugali tell her go ahead,, ila kama ameshika mimba kweli...hama mkoa,, itakutesa sana,, we are always responsible for wat we do,, no excuses,, our actions defines what we are,, that is what you are kinky,,imeze
 
Kutubu na kuacha ndio kunakompendeza mungu, acha dhambi mara moja mrudie mungu
 
Advocate J avetar yako aisee imenifurahisha sana, ila hatariiii!!!!!!!!
 
Kutokana na story ilivyo inaonekana Wewe ni tototooo...chuchuchuuuu!
 
Nikiri kwamba hakuna kitu nilichowahi kufanya kikanikosesha amani kama kulala na mke wa mtu.

Ilikua hivi,huyo mwanamke alikua mpangaji mwenzangu,mme wake alikua yupo huko mikoani,alikua mara kwa mara anatengeneza mazingira ya kuliwa,mara anitanie,hivi na vile nk.

Kufupisha story,alikuja siku moja rum kwangu,akanitega nikategeka,tukalala,baada ya kumlala nafsi yangu ilikosa amani,nikajuta,nikaona dunia nzima imeniona,ilikua usiku nikaona kama ni mchana,nikatamani nikimbie usiku huo,nikafunga mizigo yangu usiku huo huo nihame,nikaona kama dunia nzima imenielemea mimi.

Nikajuta usiku kucha,sikulala,asubuhi sa 11 nikaondoka kutoka nyumbani na kibegi kidogo cha mgongoni nikimbie aibu,nikawa na wasiwasi na mashaka yasioisha,naona kama kila mtu anajua,nikaenda stendi ila sijui naenda wapi,baadae nikaenda kwa rafiki yangu,nikalala mchana kutwa.

Niliposhtuka kama sa 10 jioni nawasha sim nakutana na meseji za yule mwanamke akinisifia sijui najua kufanyaje,kidogo akapiga sim,nikaikata,hofu yangu ikaongezeka mara dufu. Sikurudi nyumbani kama wiki nzima niko kwa rafki yangu.

Nikabadili namba ya sim ili yule mwanamke asinipate,sijui aliitoa wapi tena namba yangu mpya,kunichanganya zaidi akaniambia hajaona siku zake,nikachanganyikiwa,nikataman dunia ipasuke niingie,nikawa na mawazo ya kujinyonga(kumbukumbu haikuja kama nilitumia mpira,kumbe nilitumia)

sitasahau hilo tukio,kwa kweli kulala na mke wa mtu ni vibaya sana,hata Bible imekataza hiyo dhambi. Kati ya dhambi zote nilizowahi kufanya hii ndio ilinikosesha amani,wala sitakuja tena kuirudia.
Hii ndo toba ya kweli
 
Hii stori yaweza kuwa kweli. Ukiwa na 2 conflicting thoughts moja linasema 'sawa' jingine linasema 'si sawa' kama huna ujasiri wa kukataa lililobaya na kuruhusu adrenaline....unakuwa kama nusu kichaa vile,, na ukishatii hiyo tamaa ya mwili akili ikirudi, majuto yake unaweza kujiua..

Mi nakushauri fanya hivi; kubali umefanya kosa na unastahili adhabu yoyote kulipa gharama ya kosa,, tubu kwa Mungu na muombe askuwajibishe kwa makosa ulofanya,, mwambie mhusika jinsi ulivyouumia, ulivyotubu na kwamba asitishe mawasiliano, akitishia kumwaga ugali tell her go ahead,, ila kama ameshika mimba kweli...hama mkoa,, itakutesa sana,, we are always responsible for wat we do,, no excuses,, our actions defines what we are,, that is what you are kinky,,imeze

Mkuu sikuendelea tena baada ya hilo tukio,ni muda umepita,ni miaka 4 iliyopita ila sijawahi kulisahau hilo tukio. Wala sina mawasiliano nae
 
hii dhambi itatutafuna wengi tuache unafiki wanaume kwa wanawake tunapitia mambo mengi sana hapa duniani.mungu nisamehe kwa dhambi zangu nimefanya mengi ya kukuchukiza sasa nimefungua ukurasa upya amin
 
Kuna nafasi za watunzi wa mashairi, unafaa wewe
 
Kijana kwa uwezo ulionao nakusihi ujiunge na vijana wa Bamaga
 
the story is full of idiocy ,,,,,imagine if she could have come with a bomb would you dare even to stay?????
 
acha hizo mi mbona nisha piga wake za wake sio zaidi ya mmoja na sijawahi kuoopa wala hizo design zako.
sifa moja wapo kuu ya mwanaume ni kuwa jasiri
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom