Sitasahau siku nimelala na mke wa mtu

Sitasahau siku nimelala na mke wa mtu

acha kutunga uongo,eti kakutega ukategeka umekua sungura.
 
the story is full of idiocy ,,,,,imagine if she could have come with a bomb would you dare even to stay?????

Acha up.umbavu,mwambie mama ako aandike ambayo haiko full idiocy!kama haikuhusu iache.
 
Sasa subiri mziki wa mwenye mke....lazima naye akunaniliuu
 
acha hizo mi mbona nisha piga wake za wake sio zaidi ya mmoja na sijawahi kuoopa wala hizo design zako.
sifa moja wapo kuu ya mwanaume ni kuwa jasiri

Mimi hiyo kitu ya wake za watu siwezi kuifanya tena,hali niliyokabiliana nayo baada ya kulala na yule mwanamke sitaki tena ijirudie maishani mwangu.
 
na umecheza bila soksi na kila siku ktk matangazo kuhusu ukimwi Redion na ktk ma TV
 
Nikiri kwamba hakuna kitu nilichowahi kufanya kikanikosesha amani kama kulala na mke wa mtu.

Ilikua hivi,huyo mwanamke alikua mpangaji mwenzangu,mme wake alikua yupo huko mikoani,alikua mara kwa mara anatengeneza mazingira ya kuliwa,mara anitanie,hivi na vile nk.

Kufupisha story,alikuja siku moja rum kwangu,akanitega nikategeka,tukalala,baada ya kumlala nafsi yangu ilikosa amani,nikajuta,nikaona dunia nzima imeniona,ilikua usiku nikaona kama ni mchana,nikatamani nikimbie usiku huo,nikafunga mizigo yangu usiku huo huo nihame,nikaona kama dunia nzima imenielemea mimi.

Nikajuta usiku kucha,sikulala,asubuhi sa 11 nikaondoka kutoka nyumbani na kibegi kidogo cha mgongoni nikimbie aibu,nikawa na wasiwasi na mashaka yasioisha,naona kama kila mtu anajua,nikaenda stendi ila sijui naenda wapi,baadae nikaenda kwa rafiki yangu,nikalala mchana kutwa.

Niliposhtuka kama sa 10 jioni nawasha sim nakutana na meseji za yule mwanamke akinisifia sijui najua kufanyaje,kidogo akapiga sim,nikaikata,hofu yangu ikaongezeka mara dufu. Sikurudi nyumbani kama wiki nzima niko kwa rafki yangu.

Nikabadili namba ya sim ili yule mwanamke asinipate,sijui aliitoa wapi tena namba yangu mpya,kunichanganya zaidi akaniambia hajaona siku zake,nikachanganyikiwa,nikataman dunia ipasuke niingie,nikawa na mawazo ya kujinyonga(kumbukumbu haikuja kama nilitumia mpira,kumbe nilitumia)

sitasahau hilo tukio,kwa kweli kulala na mke wa mtu ni vibaya sana,hata Bible imekataza hiyo dhambi. Kati ya dhambi zote nilizowahi kufanya hii ndio ilinikosesha amani,wala sitakuja tena kuirudia.

Na ili mungu aje akusamehe inatakiwa umwambie muhusika(mume)kua ulijamiiana na mkewe wakati yeye hayupo halafu usikilizie matokeo!
 
Usipotubu dhambi itakutafuna na kukukosesha amani. Kulala na mke wa mtu ni ufedhuli mkubwa sana, nipo radhi anione mjinga coz siku hizi ukiwakimbia wanakuita coward.
Yalimkuta Daud akamkimbia Mke wa Mfalme
lakini akaja kumchukua mke wa jemadari wake, kwa vile tu alimuona mabega na mgongo akioga, akawatuma watumishi wake wakati wa vita jemadeari huyo atangulizwe mbele ili afe na kweli alikufa.
Daud akamchukua mke wa mtu akazaa naye mwana (lakini alikufa kutokana na hasira za MUNGU)
Bado Daud akalala naye tena akampata mtoto Sulemani (Mfalme Sulemani)
sasa hofu yako wewe na kaka km ipo wapi?
fungukeni na hapo.
 
Last edited by a moderator:
pole sana kwa hofu iliyokusibu..sema acha uoga pamoja na kua jamaa angejua lazma ungumhudumia usik mzima kala ulivyohudumiwa..ukome ile kitu tamu aisee sema kukutwa timbwili lake balaa hapatoshi
 
Pole sana. Unajua shetani kazi atakayofanya kwako ni kukukumbusha tu hilo tukio ili ukose amani na atafanya hivyo mpaka utakapotubu na kuacha..maandiko yanasema aungamae dhambi zake na kuziacha atasamehewa na wala dhambi zake hazitakumbukwaa!
Cha muhimu kwa sasa lia na Mungu wako kwa toba ya kweli wala hutakumbuka tena..
 
Yalimkuta Daud akamkimbia Mke wa Mfalme
lakini akaja kumchukua mke wa jemadari wake, kwa vile tu alimuona mabega na mgongo akioga, akawatuma watumishi wake wakati wa vita jemadeari huyo atangulizwe mbele ili afe na kweli alikufa.
Daud akamchukua mke wa mtu akazaa naye mwana (lakini alikufa kutokana na hasira za MUNGU)
Bado Daud akalala naye tena akampata mtoto Sulemani (Mfalme Sulemani)
sasa hofu yako wewe na kaka km ipo wapi?
fungukeni na hapo.

Achauongo, kasome upya hiyo wafalme uone unachokise kama ni sahihi mwanzo mwisho
 
Last edited by a moderator:
Achauongo, kasome upya hiyo wafalme uone unachokise kama ni sahihi mwanzo mwisho

Kasome wewe mm nshasoma na kuelewa
Kwani wewe ulielewaje si mfafanulie ajue nani muongo?
 
Alikua anakuja mara moja moja chumbani kwangu kuangalia tamthilia,,siku hiyo kaja na laptop yake tuangalie muvi,alikuja nimpe kampani kuangalia muvi,tumeangalia weeee,

siwezi kumtupia yeye lawama zote,hata mimi nina sehem ya kuwajibika kwa hilo,ni tukio ambalo huwa linaikosesha amani nafsi yangu kila nikikumbuka.......

Mke wa mtu ni sumu, ila sumu waweza ulia panya
 
mzinzi mkubwa yaani unatudanganya na akili timamu tulizo nazo kama wajinga vile.usiku mwema
 
HITLER
Ninayemzungumzia mm ni Daud wa Kitabu cha Samuel wala sio huko cha Wafalme na alizaliwa kitukuu kutoka kwa RUTHU
(Soma Kitabu RUTHU alivyoweza kumuingi Boaz usiku wa manane na kumshika miguu.......Ruthi akamzaa Obedi, naye Obedi akamzaa Daudi) je huyu mlinzi wa mashuke Boaz hakuwa na mke?

ukisoma Kitabu cha 2-Samuel 11;2-4 (ndipo kwenye Mada ya kaka km inayozungumzia alilala na mke wa mtu)
Siku moja wakati wa jioni, Daud aliamka wakati wa jioni akaenda kwenye paa la ikulu. alipokuwa natembea kule juu akamuona mwanamke mmoja akioga, na mwanamke huyo alikuwa mzuri sana, Daudi akatuma mtu kumuuliza mwanamke huyo ni nani? Mtu akamwambia Daud, 'Mwanamke huyo ni Bethsheba bint wa Eliabu na mke wa Uria Mhiti. Basi bethsheba akaja kwa Daud
Naye Daud akalala naye

2 Samueli 15Katika barua hiyo Daud aliandika hivi mweke Uria (mume wa Bathsheba) kwenye mstari wa mbele ..... ili afe (na alikufa)

2 Samueli 24 Halafu Daud akamfariji Bath sheba mkewe akalala naye naye akapata mimba na kujifungua mtoto wa kiume ambaye Daud alimuita Solomoni (mwenyezi Mungu alimuita Yededia)

BIBLEing.com - 2 Samuel 11 (KJV)
And it came to pass in an eveningtide, that David arose from off his bed, and walked upon the roof of the king's house: and from the roof he saw a woman washing herself; and the woman was very beautiful to look upon.
 
Nasikiaga mke wa mtu ni mtamu sana ila ukikamatwa jiandae kutolewa meno kwa plaiz
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom