Jamesadolf
Member
- Apr 7, 2014
- 11
- 0
Nadhani umetunga story na kuna vitu umesahau. Kwani ulienda kwa rafikiyo jumla? Nini kilifuata baada ya yeye mke wa mtu kupata namba yako mpya?? Je ulihama hapo au bado hujahama??
Usipotubu dhambi itakutafuna na kukukosesha amani. Kulala na mke wa mtu ni ufedhuli mkubwa sana, nipo radhi anione mjinga coz siku hizi ukiwakimbia wanakuita coward.
Jaman humu huwa tunadanganywa haswaa,haya kitabu kinatoka lini?eti..nikakimbia wiki,siku hajaziona,sina kumbukumbu kama nilitumia mpira,namba mpya akaipata huyo mwanamke,ha ha ha ha haaaaaaaa,mbavu zangu jamani,jf kiboko.
Sijatunga story,nimefupisha story,nia yangu ni kuonyesha ni jinsi gani nilihisi mwenye hatia baada ya kulala na mke wa mtu. Nikiweka story yote yeye anaweza kua ni member humu na atajua ni yeye,lengo langu sio hilo,lengo langu ni kuonyesha jinsi nilivyoteseka nafsini mwangu baada ya kulala na mke wa mtu.
Sasa kama ulitumia condom hiyo mumba ilipatikanaje?
Ndio kitu kinanisumbua hadi sasa,nikikumbuka nakosa amani,mimi mwenyewe naliona kama tukio baya nililowahi kufanya kwenye zinaa kuliko yote,sijui ni kwa nini.
Mke wa mtu anakuja mara moja moja chumbani kwako kuangalia tamthilia? Anakuja umpe kampani muangalie muvi?
Kwa akili yako na yake, nyote kwa pamoja mliona kufanya hivyo ni appropriate?
Nazidi kuwapa pole walioko kwenye ndoa! And I mean it.
Acha kutudanganya eti ulitegwa we huna haya kukaribisha mke wa mwenzio chumbani kwako,we ungetwambia kua we na huyo malaya mwenzio mlidhamiria tungekuelewa mbona?