Michael Ngusa
JF-Expert Member
- Aug 4, 2014
- 1,637
- 463
Baada ya kuona PM zimenoga kwa maongezi murua ya kistaarabu hasa na watu wenye reputation zao hum JF, nimeamua kutokuwa napost utumbo tena ili kumantain relationship. Hasa ukizingatia wanaopewa papuchi humu ni wale wanaocomment kistaraabu nakuunga mkono hoja bila kupinga!