Sitanii ni kweli NAMPENDA SANA HUYU DADA

Sitanii ni kweli NAMPENDA SANA HUYU DADA

anaolewaaaaaaa.........mahariiiiiiiiiiiiiiiii.....ishatolewaaaaaaaaaaaaaaaaaa......dada huyooooooooooo.....anaolewaaaaaaaaaaaaaaaaa......hahahahahahah

nasikia hodi hodi.............................................................tukaenda kanisani japo sio jumapili.....................ahahahhahahha SITAAAAAAKI MIMI!
 
billie vitu adimu kama hivi huwezi kuvikuta vyenyewe ,utakuta siku nyingi vilishawahiwa kwani na wanaume siku zote tupo mawindoni kusaka vitu adimu vya maishani.
idea ya kuonana naye ,sikushauri aseeeeh! itaweza kukucost zaid kisaikolojia ,wewe endelea kumuonea humu humu jamvini.
gfsonwin upo juu
sema wewe kiazi muhogo nina mzizi!
 
asante sana mkuu COPPER.

ila jf bana ni full vituko lol! yaani Billie anavyosaidiwa kutongozewa lol! hadi balaa.
sijawah ona stail hii yaani mshkaji akimpenda dem basi wenze wote wanampa sapoti ili ampate lol!

Mate wala usishangae....Issue ni kuwa kila mmoja alikuwa akitegeshea kuwa nani amfunge paka kengele..Sasa Billie kaamua kujitosa sharti apewe tafu..LOL..
 
Last edited by a moderator:
gfsonwin unaitwa kibarazani........kawachunia mabrazameni alokuwa nao zamani....jogoo mana yake kuku...dada huyoooooooooo.....anaolewaaaaaaaaaaaa........mahariiiiiii......ishatolewaaaaaaaaaaa......
nasikia hodi hodi.............................................................tukaenda kanisani japo sio jumapili.....................ahahahhahahha SITAAAAAAKI MIMI!
 
Last edited by a moderator:
nasikia hodi hodi.............................................................tukaenda kanisani japo sio jumapili.....................ahahahhahahha SITAAAAAAKI MIMI!

hv wajua ripoti inakusubiria kujaza??
 
gfsonwin unaitwa kibarazani........kawachunia mabrazameni alokuwa nao zamani....jogoo mana yake kuku...dada huyoooooooooo.....anaolewaaaaaaaaaaaa........mahariiiiiii......ishatolewaaaaaaaaaaa......
watu8 we kuwa kitokololo sasa!ahahahhahahahah mamduchu tuanzishe bendi!hatufi njaa mjini hapa!
 
Last edited by a moderator:
gfsonwin unaitwa kibarazani........kawachunia mabrazameni alokuwa nao zamani....jogoo mana yake kuku...dada huyoooooooooo.....anaolewaaaaaaaaaaaa........mahariiiiiii......ishatolewaaaaaaaaaaa......

na wewe hivi huna kazi ulizoacha viporo??
basi andaa work plan ya next yr lol!
 
dah!!!!!!! nimejikuta nashindwa kuandika nikabaki namwaga ma like tu hapa.

Basi kila mmoja humu jamvini ni ndugu yangu hata wale ambao watu wanawaogopa kama mzabzab ama Mwanamalundi Bazazi Mwana Mtoka Pabaya kwa maneno yao lakin mimi nawependa zaid kama my good brother ever.

Bazazi ana matatizo mawili makubwa
  1. Ni mwanatanu halisi "NTASEMA QELI DAIMA FITINA QANGU MWIKO".
  2. Kuwa na mrengo wa kushoto (Uchambuzi yakinifu unaosababisha kurudia tatizo la qanza)
Bazazi ni Bazazi!
 
ngoja kwanza nimwite shemeji hivi kwan h/moon ishaisha?? nenda kampe cha mchana lol!

hayupo mwali!
ahahahahhahahhahhah walhi leo hata chooni ningejifungia niweze tu kuchangie huu uzi mpka nione mwisho wake
 
Bazazi ana matatizo mawili makubwa
  1. Ni mwanatanu halisi "NTASEMA QELI DAIMA FITINA QANGU MWIKO".
  2. Kuwa na mrengo wa kushoto (Uchambuzi yakinifu unaosababisha kurudia tatizo la qanza)
Bazazi ni Bazazi!
bora umekuja kaka yangu wa moyoni hebu sema na Billie anielewe?? mwambie wewe nafkiri atakuskia zaidi.
 
Last edited by a moderator:
hayupo mwali!
ahahahahhahahhahhah walhi leo hata chooni ningejifungia niweze tu kuchangie huu uzi mpka nione mwisho wake

nakuja kwako sasa hivi nikifika mbez sekondar nakupigia sm huwez kunipa tabu mie lol!
 
Hivi jamani lizzy yupo humu siku hizi?maana long time sijamtia,machoni lakini lol..
 
gfsonwin ameolewa bado watu wanakuja na mabango ya I love yuu!!!!
kweli mwenye nacho ataongezewa......
 
wewe!!!!!!!!!!!
i don't want to hurt my hubby as well as him(@billie)
kuliko upewe kuonja ni bora usipewe kabisa.

ulichopewa na mungu bureeeee kumnyima mwenzio dhambi.
Vya kuonja vinanoga asikuambie mtu.
Ila nakumbuka siku ile mwananyamal ulivyomtoa baru yule baba kha ukamtishia kumfumua rinda
 
Back
Top Bottom