Ntiliabhose
Member
- Dec 31, 2012
- 78
- 38
Jamani ndo natia mguu umu mara ya kwanza ila nimechekaje! Mbavu zangu miee!
hahahahah maji ataita mma leo........
muke ya mukenka iko kwa kikuyu inakula new yr.ahahahahahhahahahhahhahahahhah ndo umekaaplai leo !ayani hpa sina mbavu walahi!duuuh!
haya maonline love haya!lol!
af muke ya mukenya iko wapi!
dompo inahitajika kushushia haya makitu lol!
Dada umemtega kwa lipi tena? au mwenzetu posts zako huwa zaambatana na sauti yako
Jamani ndo natia mguu umu mara ya kwanza ila nimechekaje! Mbavu zangu miee!
Mwl. gfsonwin, angalia ndugu yangu! Kwani hujui kwamba Billie ni mwenyeji wa Iringa? Najua kwa vile unaishi huko Iringa natumaini unawajua vizuri jamaa wa huko angalia usije sababisha mtu asiuone mwaka 2013! (hahahahaaaa just kidding!)
Kiukweli watu wanaoonyesha ni wazima kichwani wake kwa waume hupendeka katika jamii hata kama hawajawahi kufahamika physically!
I love u all JF members and I wish u all the best in the new coming year, 2013!
Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
Hujambo wewe mtani, na bado wewe sasa kupendwa hadharani we ngoja tu
asante sana kaka kwa upendo wako.Mwl. gfsonwin, angalia ndugu yangu! Kwani hujui kwamba Billie ni mwenyeji wa Iringa? Najua kwa vile unaishi huko Iringa natumaini unawajua vizuri jamaa wa huko angalia usije sababisha mtu asiuone mwaka 2013! (hahahahaaaa just kidding!)
Kiukweli watu wanaoonyesha ni wazima kichwani wake kwa waume hupendeka katika jamii hata kama hawajawahi kufahamika physically!
I love u all JF members and I wish u all the best in the new coming year, 2013!
Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
sijambo mtani....mie siwezi pendwa hivi kwani mie mrengo wa kushoto lol...hahahahah
sijambo mtani....mie siwezi pendwa hivi kwani mie mrengo wa kushoto lol...hahahahah