Sitanii ni kweli NAMPENDA SANA HUYU DADA

Sitanii ni kweli NAMPENDA SANA HUYU DADA

Utadhani umeingia kichwani mwangu G!!!!! Yaani nilikuwa nimefikiria kuuweka wimbo huu lol!

:majani7::majani7::majani7:
 
Ni aje G!? unataka kunipiga za uso? mie ugomvi sitaki kabisa lol!:majani7:

BAK mwaka ujao ni mwaka wa nyoka. Sasa inabidi uuingie ukiwa huna mazagazaga rohoni au sumu yako itakuuwa mwenyewe

:madgrin:
 
Last edited by a moderator:
Utadhani umeingia kichwani mwangu G!!!!! Yaani nilikuwa nimefikiria kuuweka wimbo huu lol!

:majani7::majani7::majani7:

Hahahah huu wimbo kaa katungiwa Billie aeleze yake ya moyoni.

Nilipoona umeuchelewesha ikabidi niurushe hewani bila ya kuchelewa :laugh:

Hey, I just met you
and this is crazy
But is here's my number
so call me maybe

And all the other "girls"
try to chase me
but here's my number
so call me maybe
 
Last edited by a moderator:
Bro chill out huyo inawezekana mke wa mtu kumbe ulishataarifiwa.Mke wa mtu noumer madhara yake wayajua.

Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
 
Hope atajitokeza tu japo umuone kiu yako iishe kwani wana JF ni kama wanafamilia moja japo tunawasiliana through keyboards.

Shua mkuu, watu wafunguke bhana, mwaka 2013 tuanze na mambo mapya, kama ticha kamtosa mshikaji tujue ili mwakani moyo wa mshikaji utafute pahala papya pa kupanga, ila kijana Billie, dont mess with my Preta coz naye atakutosa!!
 
Last edited by a moderator:
Billie uvumilivu umemshinda kaamua kujilipua mzima mzima tena mbele ya kadamnasi ya umma wa JF, inataka moyo sana G lol!

Nilikuwa naangalia alilolifanya Billie tu, kaona ya nini kero wakati raha zipo tele?

Kafunguka moja kwa moja
 
Last edited by a moderator:
Nilikuwa naangalia alilolifanya Billie tu, kaona ya nini kero wakati raha zipo tele?

Kafunguka moja kwa moja

C'on guys, BAK & Gaijin mbona nimesha mweleza atanielewa?? stop running your fingers into his feelings bana.
BTW naona mlianza kukesha toka jana kuusubiria mwaka lol!
 
Last edited by a moderator:
Mkuu Billie, kwanza nakupongeza kwa kumaliza mwaka ukiwa umetoa dukuduku lako, hivyo unaanza mwaka mpya bila kiporo kilichokuwa kinakutesa. Pia Mkuu gfsonwin hongera kwa kupata Kaka akupendae kwa kiasi hicho. Nawatakia kila la heri katika mwaka mpya 2013.
 
asante sana mkuu COPPER.

ila jf bana ni full vituko lol! yaani Billie anavyosaidiwa kutongozewa lol! hadi balaa.
sijawah ona stail hii yaani mshkaji akimpenda dem basi wenze wote wanampa sapoti ili ampate lol!
 
Last edited by a moderator:
Mwe! Jamiiforums idumu milele, hivi kumbe ndo maana panaitwa 'where we dare to talk openly' yaani khaa!!
 
:tape::tape::tape:

C'on guys, BAK & Gaijin mbona nimesha mweleza atanielewa?? stop running your fingers into his feelings bana.
BTW naona mlianza kukesha toka jana kuusubiria mwaka lol!
 
Last edited by a moderator:
C'on guys, BAK & Gaijin mbona nimesha mweleza atanielewa?? stop running your fingers into his feelings bana.
BTW naona mlianza kukesha toka jana kuusubiria mwaka lol!

Ukiweka jambo hadharani maana'ke ni kuwa unataka watu wachangia kwa kila angle na uelewa. Ndio hivi.

Na usikute hivi tunavyochangia huenda tukampa faraja manake atajiona hayupo peke yake, hata wengine nao wa mataifa mengine wamepitia huko huko
BAK fanya vitu vyako
 
Last edited by a moderator:
Gaijin na assume hizi dedication zote zinakuja kwangu sasa naomba tafutie Billie nyimbo nzuri yyte ile ya country umpe askilize this new yr bana.
 
Last edited by a moderator:
Ukiweka jambo hadharani maana'ke ni kuwa unataka watu wachangia kwa kila angle na uelewa. Ndio hivi.

Na usikute hivi tunavyochangia huenda tukampa faraja manake atajiona hayupo peke yake, hata wengine nao wa mataifa mengine wamepitia huko huko
BAK fanya vitu vyako

you can't be serious Gaijin
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom