Sitanii ni kweli NAMPENDA SANA HUYU DADA

Sitanii ni kweli NAMPENDA SANA HUYU DADA

mwaya !we acha tu!
nilipo huku sina ujanja wa vipindi vya mwalimu wetu!
naingia jamivini mara moja moja!
nimewamiss mfano hamna lol!

halafu nakuita kwenye darasa la malez ya watoto 2013 uko mmu nenda kwanza kasomeshe huko.
 
huruma gania tena Ciello?? kama kuniona atanaiona tu wala asijali jamani mbona mie ni wa kaiwaida tu?? ila nikwamba ni mzuri lol...................(fagio muhimu).

lakini tayari baba Klein yupo jamani i can't hurt him aisee. he loves me and i love him and on top of that he is such an outstanding person who adores me truly. He knows the meaning of having a wife, he is so caring, and very darling to me no any other man can beat him. aiseee!! uuuh! my swt hrt hubby wherever you are love, i love you honey. am deeply mad about your love.
WAMUWAAAAAAAAAAACHE BABA KLEIN AJILIE MWENYWEWE MIJIRAHA YAKO!aahhahahahahahhahc hezeya mifyonziko ya barafu wewe ahahahahhahahha SITAAAAAAKI MIMI!
 
halafu nakuita kwenye darasa la malez ya watoto 2013 uko mmu nenda kwanza kasomeshe huko.
hizi ni hasira za mtongozo wa waziwazi au?ahahahhaha mwali darasa li wapi hilo!nalipendaje sasa!
 
Usipotee sana bwana; it is less sweet here without you!
Eeh, tuambie na wewe who are your secret admires ili siku wakiGO public tusishtuke sana. LOL
Kaunga at least i trust you, talk to Billie and tell him kwamba am happily married, but akubali tu kuwa kaka wa moyoni.
 
Last edited by a moderator:
Hahahahahah thanx 4the morning laughter lol....memba wapo ndiyo...kwani memba wa CWT hawana haki ya kupendwa?? ticha wacha next yea nihamie mrengo wako aiseee...nimeipenda hii ya watu kufunguka hadharani hivi.....
khaaaaaaaa! halafu CWT inasema ina memba kweli??
 
Hata mie nimekumiss pia my dearest snowhite. Nipo hapa nafurahia kumsoma Billie alivyoamua ku-go public kuhusu anavyompenda gfsonwin. Billie hayupo peke yake, yeye kamzimikia kimapenzi lakini sie wengine tunampenda sana pia gfsonwin kwa mafundisho yake na ushauri anaoutoa bila kubagua.

Btw, kuna madarasa kadhaa ya yule mwalimu wetu nilikuita weee, wala sijakuona nadhani uliamua kukacha vipindi.
nafurah kuskia kwamba watu kama wewe mwaJ wananaipenda. jamani wana jamvi wote nashukuru kwa upendo wenu kwangu na mie nawapendeni sna kwangu mm nyie ni ndugu haswaaaaaaaaaaaaaaaaa wala sio utani aisee.
 
Last edited by a moderator:
Hahahahahahah kumbe mifyonzo ndo imeleta yote haya eeeh!!!!
wamuwaaaaaaaaaaache baba klein ajilie mwenywewe mijiraha yako!aahhahahahahahhahc hezeya mifyonziko ya barafu wewe ahahahahhahahha sitaaaaaaki mimi!
 
Ngoja na mie nikamunzishie uzi... Billie kaanzisha na mie nafuata...
 
Last edited by a moderator:
WAMUWAAAAAAAAAAACHE BABA KLEIN AJILIE MWENYWEWE MIJIRAHA YAKO!aahhahahahahahhahc hezeya mifyonziko ya barafu wewe ahahahahhahahha SITAAAAAAKI MIMI!
jamani wa mwacheeeeeeeeeeee apuamuweeeeeeeeeeeeeeeeeee lol!
 
Nifungikiwe wapi?..chezeya kufunguka
Usimuone Billie hapa kafunguka ukadhani kitu kirahisi...jaribu uone! Suprise alikuwa anajifunza kutunga mashairi nadhani ana mpango wa kutoa single mwakani!


kwani we hujafungukiwa mpka leo pacha !!HAIIIWEZ'KANI!
kuna binti anaitwa Suprise amesema anataka mtu mwenye upendo kama wewe pacha!
sasa mi ndo nipo kwenye mazungumzo akiweka deal mezani nishakamwambia najinywea dompo utalipa nitakapowakutanisha, sawa?
 
Last edited by a moderator:
mfyonzo na vibration lol!

ahahahhahahahhahahhahahahha umeona enh!
chezeya ramani ya vita wewe!
watu wametafakaaari weeee!
wakaona cha kufia nini bana!
e bana jamani enh mi nampenda ile mbya huyu mtoto wa kike!
akicheki na kijicurve cha hapo pichani huuuuuuuuuuuwih! Billie mabhata ushungu yeye!
 
Last edited by a moderator:
dah!!!!!!! nimejikuta nashindwa kuandika nikabaki namwaga ma like tu hapa.

My dearest Billie, first of all asante sana sana kwa kunipenda. Napenda sana kupendwa, kama ambavyo pia mm hua napenda kuwapenda wenzangu. So far humu jamvini nimejaza ndugu tu utaskia swt brother, mara swt sister mara kaka wa moyoni mara rafiki yangu wa moyoni lol! basi kila mmoja humu jamvini ni ndugu yangu hata wale ambao watu wanawaogopa kama mzabzab ama Mwanamalundi Bazazi Mwana Mtoka Pabaya kwa maneno yao lakin mimi nawependa zaid kama my good brother ever.

Nikija kwako my dearest, as nijulikanavyo, real am married to a very happy family ever. Wanao nijua zaid kama Kaizer Asprin, Superman, Jiwe Linaloishi fidel 180 Ruttashobolwa Mtambuzi Watu 8 KakaKiiza na mashosti wangu wa ukweli kama cacico, snowhite, Paloma, Zion Daughter, amu, Madame B hawa wanaweza kukuthibitishia hili.

Kma nilivyowah kukwambia kwamba lets you be my good brother basi nakuomba tu iwe hivyo, na ndio maana huwa nakuitaga ""kaka yangu wa moyoni"" ( hili neno nalo gumu)..........lol! manake ndicho cheo cha mwisho ambacho mm naweza kumpa mtu nimpendaye sana. zaid ya hapo utaingia kwenye chumba cha siri sehem ya kwanza ambako kwangu mm kumefungwa kabisa.

naomba ni hitimishe kwa kusema kwamba Nakupenda sana sana my heart brother, na huwez kuamini ninavyojiskia kwa kupata assurance kwamba kuna mtu ambaye hatujawah kuonana lkn ananipenda lol! nakupenda sana sana.

CC BADILI TABIA lara 1, Ciello, Evelyn salt, Suprise

ha ha haaaaa....sijawahi kuona politics kali namna hii...lol!!
 
Nifungikiwe wapi?..chezeya kufunguka
Usimuone Billie hapa kafunguka ukadhani kitu kirahisi...jaribu uone! Suprise alikuwa anajifunza kutunga mashairi nadhani ana mpango wa kutoa single mwakani!

ARE YU DARE THEM!ahahahhahahhahhaha we wachallenge shaurilo!
ahahahahhahaha ila hadi raha yailahi!loh!mwaka wa serpent huu ,anahissss tu!
ahahhahahha Gaijin nae lol!
 
Last edited by a moderator:
Waoh; so you think gfsonwin hayuko kwa dreamy huzzie wake na wewe ndio her dreamy or right man wake right?

Kwakuwa amekuweka kwenye kundi fulani; stop chocking her (utamscare) but befriend her na huenda mkawa best friend, what do you think?
my swthr Kaunga, am happily married, tena to a man of my choice, a man who knows the true meaning of wife, who cares, loves, console and shares everything with me. he knows his guts as hubby as well as father. he knows that his family needs happiness peace and love. he is at least to me "" SUPER EXCELLENT HUBBY"".
no one can change ma love for him.

jst tell Billie akubali tuwa my heart brother.
 
Last edited by a moderator:
ha ha haaaaa....sijawahi kuona politics kali namna hii...lol!!
sema weye mwaya mwalimu kaijibu kidarasa darasa ka anajibu swali la mwanafunzi wake wa form three aliyeuliza eti mwalimu nielekeze jinsi ya kuhesabu siku!
ah bana ticha enh usituzingue!toa jibu lenye mashiko hapa!NYOOOSHA MSTARI!
 
sema weye mwaya mwalimu kaijibu kidarasa darasa ka anajibu swali la mwanafunzi wake wa form three aliyeuliza eti mwalimu nielekeze jinsi ya kuhesabu siku!
ah bana ticha enh usituzingue!toa jibu lenye mashiko hapa!NYOOOSHA MSTARI!

jibu langu lipo wazi lol! unless kama hamuelewi mistari.
 
my swthr Kaunga, am happily married, tena to a man of my choice, a man who knows the true meaning of wife, who cares, loves, console and shares everything with me. he knows his guts as hubby as well as father. he knows that his family needs happiness peace and love. he is at least to me "" SUPER EXCELLENT HUBBY"".
no one can change ma love for him.

jst tell Billie akubali tuwa my heart brother.
baba klein popte ulipo hebu chek mkeo anavokutetea kwa nguvu zote shemlo wangu!
lol!
YU ROCK !shemlo UHAKIKA ASILIMIA MIA 900000000!KITU KINALINDWA MFANO HAKUNA!
 
Back
Top Bottom