Sitanii ni kweli NAMPENDA SANA HUYU DADA

my dearest kisukari vp maandaliz ya nw yr??
anyways Billie kaamua kumaliza mwaka lol! nimetetemeka ujue..............

Mwl. gfsonwin, angalia ndugu yangu! Kwani hujui kwamba Billie ni mwenyeji wa Iringa? Najua kwa vile unaishi huko Iringa natumaini unawajua vizuri jamaa wa huko angalia usije sababisha mtu asiuone mwaka 2013! (hahahahaaaa just kidding!)
Kiukweli watu wanaoonyesha ni wazima kichwani wake kwa waume hupendeka katika jamii hata kama hawajawahi kufahamika physically!
I love u all JF members and I wish u all the best in the new coming year, 2013!

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
Last edited by a moderator:
ewe, malalya endo endo, kuleende kwaasha foo!
kwifo mbon kunu ulanin kulaambe mae.

ahahahhahhahhahahhahahhahahahn wifi leo mpka umekumbuka cha machame lau!
aahahahahhahahahha walahi wamekubananisha! Ciello hebu mletee mwalime maji ya kunywa hukoo!unacheka nini!
 
Last edited by a moderator:
baba klein popte ulipo hebu chek mkeo anavokutetea kwa nguvu zote shemlo wangu!
lol!
YU ROCK !shemlo UHAKIKA ASILIMIA MIA 900000000!KITU KINALINDWA MFANO HAKUNA!

unakumbuka kale kamsemo ketu shostito?? kale tunakatumiaga sana dompo zikiwa kumkichwa

""NITAITETEA NDOA NA PENZI LANGU KWA GHARAMA YA BUSARA, HEKIMA, PESA NA KILA KITU KWA MSAADA WA MUNGU??""

Hapa ndo naanza kwa hekima.
 
ahahahhahhahhahahhahahhahahahn wifi leo mpka umekumbuka cha machame lau!
aahahahahhahahahha walahi wamekubananisha! Ciello hebu mletee mwalime maji ya kunywa hukoo!unacheka nini!

jamani hebu shule zifunguliwe naona leo wamemiss lesson plan na scheme btw hivi scheme yako ya last yr iliisha kweli??
 
mwanaume haogopi vita broda!
unamaanisha na pacha wangu nae afunguke ahahhahahahhahahhahah pacha FUNGUKA!FUNGUKA PACHA! haya mambo alisha yakataa Arushaone alisema hapa tulitapikemo tuu lolote la mwaka 2012
oh!
 
Last edited by a moderator:
Mwl. gfsonwin, angalia ndugu yangu! Kwani hujui kwamba Billie ni mwenyeji wa Iringa? Najua kwa vile unaishi huko Iringa natumaini unawajua vizuri jamaa wa huko angalia usije sababisha mtu asiuone mwaka 2013! (hahahahaaaa just kidding!)
Kiukweli watu wanaoonyesha ni wazima kichwani wake kwa waume hupendeka katika jamii hata kama hawajawahi kufahamika physically!
I love u all JF members and I wish u all the best in the new coming year, 2013!

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
love you broda!
 
unakumbuka kale kamsemo ketu shostito?? kale tunakatumiaga sana dompo zikiwa kumkichwa

""NITAITETEA NDOA NA PENZI LANGU KWA GHARAMA YA BUSARA, HEKIMA, PESA NA KILA KITU KWA MSAADA WA MUNGU??""

Hapa ndo naanza kwa hekima.
ahahahahahhahahahhahhahahahhah ndo umekaaplai leo !ayani hpa sina mbavu walahi!duuuh!
haya maonline love haya!lol!
af muke ya mukenya iko wapi!
dompo inahitajika kushushia haya makitu lol!
 
unakumbuka kale kamsemo ketu shostito?? kale tunakatumiaga sana dompo zikiwa kumkichwa

""NITAITETEA NDOA NA PENZI LANGU KWA GHARAMA YA BUSARA, HEKIMA, PESA NA KILA KITU KWA MSAADA WA MUNGU??""

Hapa ndo naanza kwa hekima.

Dada umemtega kwa lipi tena? au mwenzetu posts zako huwa zaambatana na sauti yako
 
Back
Top Bottom