Sitanii ni kweli NAMPENDA SANA HUYU DADA

Sitanii ni kweli NAMPENDA SANA HUYU DADA



Ukiweka jambo hadharani maana'ke ni kuwa unataka watu wachangia kwa kila angle na uelewa. Ndio hivi.

Na usikute hivi tunavyochangia huenda tukampa faraja manake atajiona hayupo peke yake, hata wengine nao wa mataifa mengine wamepitia huko huko
BAK fanya vitu vyako
 
Last edited by a moderator:
naomba ni hitimishe kwa kusema kwamba Nakupenda sana sana my heart brother, na huwez kuamini ninavyojiskia kwa kupata assurance kwamba kuna mtu ambaye hatujawah kuonana lkn ananipenda lol! nakupenda sana sana.

Tichaaaa, hapo ndipo nnapokupendea , hujui kukasirika na hukosi jibu kwa mwenye hitaji, una busara zilizopitiliza , hop hata Billie ameliona hili, endelea kuiltetea ndoa yako mwalimu nasi tuzidi kujifunza kuepuka hizi challenge
 
ahahahahhahahhahahahhahahhahahah
chezeya habar ya mfonzo!
mambo ya kuelezea mfededdo wazi wazi pata ona bado!
ahahahahahahha
kungwi lang8u silipatii picha linavong'ata kucha!
uuuuwih!
hebu cacico nipatie dompo nishushie hii habari ya shosti yetu wa ukweli kutongoza wazi wazi hivi!
BTW nimemisije hili neno kutongozwa!
ahahahahahahhahahha kweli leo ni tarehe 31/12/.
 
Last edited by a moderator:
ahahahahhahahhahahahhahahhahahah
chezeya habar ya mfonzo!
mambo ya kuelezea mfededdo wazi wazi pata ona bado!
ahahahahahahha
kungwi lang8u silipatii picha linavong'ata kucha!
uuuuwih!
hebu cacico nipatie dompo nishushie hii habari ya shosti yetu wa ukweli kutongozwa wazi wazi hivi!
BTW nimemisije hili neno kutongozwa!
ahahahahahahhahahha kweli leo ni tarehe 31/12/.
 
Last edited by a moderator:
dah!!!!!!! nimejikuta nashindwa kuandika nikabaki namwaga ma like tu hapa.

My dearest Billie, first of all asante sana sana kwa kunipenda. Napenda sana kupendwa, kama ambavyo pia mm hua napenda kuwapenda wenzangu. So far humu jamvini nimejaza ndugu tu utaskia swt brother, mara swt sister mara kaka wa moyoni mara rafiki yangu wa moyoni lol! basi kila mmoja humu jamvini ni ndugu yangu hata wale ambao watu wanawaogopa kama mzabzab ama Mwanamalundi Bazazi Mwana Mtoka Pabaya kwa maneno yao lakin mimi nawependa zaid kama my good brother ever.

Nikija kwako my dearest, as nijulikanavyo, real am married to a very happy family ever. Wanao nijua zaid kama Kaizer Asprin, Superman, Jiwe Linaloishi fidel 180 Ruttashobolwa Mtambuzi Watu 8 KakaKiiza na mashosti wangu wa ukweli kama cacico, snowhite, Paloma, Zion Daughter, amu, Madame B hawa wanaweza kukuthibitishia hili.

Kma nilivyowah kukwambia kwamba lets you be my good brother basi nakuomba tu iwe hivyo, na ndio maana huwa nakuitaga ""kaka yangu wa moyoni"" ( hili neno nalo gumu)..........lol! manake ndicho cheo cha mwisho ambacho mm naweza kumpa mtu nimpendaye sana. zaid ya hapo utaingia kwenye chumba cha siri sehem ya kwanza ambako kwangu mm kumefungwa kabisa.

naomba ni hitimishe kwa kusema kwamba Nakupenda sana sana my heart brother, na huwez kuamini ninavyojiskia kwa kupata assurance kwamba kuna mtu ambaye hatujawah kuonana lkn ananipenda lol! nakupenda sana sana.

CC BADILI TABIA lara 1, Ciello, Evelyn salt, Suprise
Majibu yako hayatoshelezi.Mwenzio anaomba angalau akuone.Mbona hapo hupazungumzii? Jowahi!
 
habari nzuri hii, kwamba ukishindwa PM njoo huku jamvini tukusaidie 2013 ni balaaaa
 
ahahahahhahahhahahahhahahhahahahchezeya habar ya mfonzo!mambo ya kuelezea mfededdo wazi wazi pata ona bado!ahahahahahahhakungwi lang8u silipatii picha linavong'ata kucha!uuuuwih!hebu cacico nipatie dompo nishushie hii habari ya shosti yetu wa ukweli kutongozwa wazi wazi hivi!BTW nimemisije hili neno kutongozwa!ahahahahahahhahahha kweli leo ni tarehe 31/12/.
mutu unamisi kutongozwa? haa snowhite hii naijua leo
 
Last edited by a moderator:
mutu unamisi kutongozwa? haa snowhite hii naijua leo
na we mpana ka pazia la sinema lol!
nimesema nalimisije hili neno kutongozwa Franky lol!
mbona wanikalia kooni hivo mwana wa mwenzio!
btw ulitaka unitongoze?ahahahhahahahhahahhahahahha huu mwka mpka uishe huu mboni tutaona mengi!
HAPPY NEWE YEAR mwaya!uumalize mwaka kwa amani tele na familia yako na wapendwa wako!
BARIKIWA dear!
 
Last edited by a moderator:
na we mpana ka pazia la sinema lol!
nimesema nalimisije hili neno kutongozwa Franky lol!
mbona wanikalia kooni hivo mwana wa mwenzio!
btw ulitaka unitongoze?ahahahhahahahhahahhahahahha huu mwka mpka uishe huu mboni tutaona mengi!
HAPPY NEWE YEAR mwaya!uumalize mwaka kwa amani tele na familia yako na wapendwa wako!
BARIKIWA dear!
hahahaha basi sikukuelewa snowhite ,anyway me haya sio maeneo yangu ya kutongozea me kitu mpaka nikione atii ndo kidume najituma...happy new year, enjoy na familia pia, N.B; ukinialika kwa pilau i'll nt hesitate to come, cheers!!
 
Last edited by a moderator:
mwaJ unajua nimekumisije au na mi mpka nikutongoze ndi utanielewa!MISS YU SO MUCH dear! Kaunga mchungaji mwenza mimi miss yu sana mpenzi wangu!MNO!
 
Last edited by a moderator:
Billie hongera kwa kufunguka mwaya!
u speak ur heart!
lakini hala hala kidole na jicho! huyu bibie ukimuona ndo utadata zaidi!bora tu ubaki kujitazamia avatar
ila baba klein ni mkalije sasa!lol!
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom