Sitamuamini tena Rais wangu, kwa hili kaniangusha

swagazetu

JF-Expert Member
Joined
Nov 28, 2013
Posts
4,253
Reaction score
1,475
Makontena mengi kila mmoja anajua yalivyopotea.

Akawapa siku saba wahujumu,wachache wakalipa 10bl ndani ya cku tatu.

Leo kawasamehe!! Kweli!

Nimeumia sana.kodi zetu na mali zetu.yeye alisema hatacheka nao na wala hawakumdhamini kwenye kampeni sasa anatoa msamaha! This may be more than comedy.

Kweli mfumo ndo kila kitu si mtu mmoja.
 
Yaani kawasamehe kivipi mkuu funguka wengine tupo mbali na ma tv
 
Kazi ya kuwasahaulisha na machungu ya uchaguzi naona kama vile imeshakamilika, hata akipoa hamna shida tena.
 
Makontena mengi kila mmoja anajua yalivyopotea.

Akawapa siku saba wahujumu,wachache wakalipa 10bl ndani ya cku tatu.

Leo kawasamehe!! Kweli!

Nimeumia sana.kodi zetu na mali zetu.yeye alisema hatacheka nao na wala hawakumdhamini kwenye kampeni sasa anatoa msamaha! This may be more than comedy.

Kweli mfumo ndo kila kitu si mtu mmoja.

Wewe huelewi uchumi wala siasa. Rais aliwambia wakilipa ndani ya siku 7 hawatashitakiwa. Sasa wale waliolipa 10bn hamna kesi na wako huru. Hivyo wataagiza bidhaa nyingine na tunaendelea kupata kodi.wangefungwa tungekosa mapato na wengine wangelikimbia nchi. Sasa mfumo wa biashara utaimarika kwa walipa kodi wote kufuata sheria na mapato yataongezeka.
 
We pimbi wa Ukiwa raiswako ni Luwasa! Wacha sisi tuliyempigia kura ndo tuongee maana sisi ndo tulimpa ajira
 
Wewe huelewi uchumi wala siasa. Rais aliwambia wakilipa ndani ya siku 7 hawatashitakiwa. Sasa wale waliolipa 10bn hamna kesi na wako huru. Hivyo wataagiza bidhaa nyingine na tunaendelea kupata kodi.wangefungwa tungekosa mapato na wengine wangelikimbia nchi. Sasa mfumo wa biashara utaimarika kwa walipa kodi wote kufuata sheria na mapato yataongezeka.

Hili lina tofaut na wezi wa EPA naona hapa limeongezeka neno UCHUMI tu,mdau labda utusaidiena sheria ya kodi ndo inaelekeza hvyo?
 
Wewe usimwami....lakini mimi namwamini..peleka taarifa Zako za kizushi nyumbani kwako yaan watu wengine wapo duniani kwa ajili ya kuharibu tu...nyau weee
 
Majipu dagaa yote yameisha ni watumishi wa serikali tumewaona jana wakipata dhamana...

Rais wako ameangalia wanyonge walioamrishwa kwa vimemo kupitisha makontena. Walioandika vimemo na waliofanikisha kodi kukwepwa wako mtaani wanakula bata. Mahakama ya Mafisadi aliyosema kumbe ni kwa ajili ya dagaa watumishi wa serikali huku mapapa yenyewe yakichekewa. Kweli CCM ni ile ile, raisi aliyeingia kwa kuiba kura hana dhamira ya kuzuia wizi
 
Back
Top Bottom