ras jeff kapita
JF-Expert Member
- Jan 4, 2015
- 22,728
- 34,860
Kumbuka yy ni raisi...sembuse kujisifia kuwa chairman!!?Kumbe ndio maana Magu anajisifia alishawahi kuwa Chairman.

Prof. Tibaijuka alipokuwa Mkurugenzi Mkuu wa UN Habitat aliipenda Tanzania na kuipa misaada pale ilipobidi.
Nakumbuka mwaka 2010 kulikuwa na Mkutano Mkuu wa UN Habitat kule Vancouver Canada na mimi ni mojawapo niliyepewa upendeleo wa kuhudhuria mkutano huo mkuu wa ulimwengu.
Hata Mhe. Rais Magufuli tulikuwa naye kwenye mkutano huo kama Waziri wa Ardhi na Makazi. Mhe. Magufuli alikuwa Mwenyekiti kwenye mada fulani fulani ambapo na mimi nilikuwepo.
Prof. Tibaijuka binafsi sitakusahau maishani kwa kuniwezesha kuhudhuria mkutano huo mkubwa kule Canada.
Mhe. Rais ninakuomba umfikirie huyu Prof. kwa wadhifa wowote ule utakaomfaa. Watanzania tulioenda Canada alitutendea mema sana.
No.Kumbuka yy ni raisi...sembuse kujisifia kuwa chairman!!?
Hahahahahaaa... umenikumbusha mbali mzee baba... nimecheka kwa sauti...Kumbe ndio maana Magu anajisifia alishawahi kuwa Chairman.
Busara zako zimenikumbusha jamaa yangu flani hivi..!😝😝 ngoja niishie hapo!Naheshimu maoni yako lakini pia namheshimu sana madame
Amini nakwambia kila mtanzania aliyewahi kupata nafasi ya kuitumikia nchi alifanya vizuri sana kwa kutanguliza utaifa
Binafsi nimetumikia taifa langu na ninaendelea kufanya hivyo
Amini tu kwamba sio lazima rais aone hata asipoona Mungu anaona na inatosha sana
Sent using Jamii Forums mobile app
Ujinga kabisa, wadhifa wowote? akitaka awe mkewe je? kwanza nafasi za umma hatupeani kwa ruzuku, unataka kutusahaulisha hela ya mboga na ESCROW? ukome ujinga ujinga aiseeeeee, tunalipa kodi zitumika kwa vijana sio watu aina hii ya wezi; YAANI KOMAAAAAA
Kumbe ndio maana Magu anajisifia alishawahi kuwa Chairman.
Mwache ajifanyie mambo yake nje ya serikali.Prof. Tibaijuka alipokuwa Mkurugenzi Mkuu wa UN Habitat aliipenda Tanzania na kuipa misaada pale ilipobidi.
Nakumbuka mwaka 2010 kulikuwa na Mkutano Mkuu wa UN Habitat kule Vancouver Canada na mimi ni mojawapo niliyepewa upendeleo wa kuhudhuria mkutano huo mkuu wa ulimwengu.
Hata Mhe. Rais Magufuli tulikuwa naye kwenye mkutano huo kama Waziri wa Ardhi na Makazi. Mhe. Magufuli alikuwa Mwenyekiti kwenye mada fulani fulani ambapo na mimi nilikuwepo.
Prof. Tibaijuka binafsi sitakusahau maishani kwa kuniwezesha kuhudhuria mkutano huo mkubwa kule Canada.
Mhe. Rais ninakuomba umfikirie huyu Prof. kwa wadhifa wowote ule utakaomfaa. Watanzania tulioenda Canada alitutendea mema sana.
njaa zako tu, hamna hoja hapoProf. Tibaijuka alipokuwa Mkurugenzi Mkuu wa UN Habitat aliipenda Tanzania na kuipa misaada pale ilipobidi.