Sitamani tena kuoa

Sitamani tena kuoa

Endelea tu mkuu,Maana radha ile ile. Tofauti ni kujihakikishia magonjwa tu,kwa madada poa ni 100%
 
Hata nami nimeona kama exageration fulani. Inamaana hiyo ndio shughuli yake pekee afanyayo?!!!!
Kama ni hivyo basi ana muda mwingi sana wa kupoteza.
Okay ingawa sipendi uwe unachangia nyuzi zangu sema tu basi.
 
Hata nami nimeona kama exageration fulani. Inamaana hiyo ndio shughuli yake pekee afanyayo?!!!!
Kama ni hivyo basi ana muda mwingi sana wa kupoteza.
Hata kama ndio shughuli pekee kwa siku bado ni out of reality mkuu

2logM@km
 
Haiingii akilini hata kidogo. Labda aseme aliitumia tu kama namba ya kuonyesha ukubwa wa tatizo ila sio namba halisi.

Ana mashine ya umeme hatumii nguv labda muongo huyu et[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom