Sitamani tena kuoa

Sitamani tena kuoa

Kapime ukimwi ukiona huna njoo tukushauri for nwmaan tunaeza kukushaur kumbe ulipata vvu siku nyingi ko itakuwa hain maan coz ulichokitak umepata maan haiwezekam msomi ka ww kisa umeachan na mpenz ndio ujiingize kweny mambo ya kipumbavu kias hiko

I always dance wisely my young Brother. Na kila baada ya miezi mitatu huwa napima Niko poa. Kukuaminishia hilo badae tukutane sinza mori hapa.
 
mwe!
maisha haya!
huyu nae kuna mamake amekaa huko anahesabu kuwa nna watoto watano,mmoja yupo chuo kikuu!
Haujasoma Uzi vizuri. Hiyo tabia nilianza nikiwa chuo. Sasa hivi Nina maisha yangu. Hivyo nawatafuna nitakavyo. Maana siku hizi huwa mnajiuza kwa style tofauti.

1. Wakujiuza kimya kimya.
2. Wale wa kwenda field( kujipanga na kuuza k)
3. Wale wanatumia sana madalali- hii ipo kwenye makundi ya WhatsApp sana, badoo etc.
4. Wanaojiuza kwa kupiga virungu vya hapa na pale.

Wote hao huwa nawakula sana.

Wanawake mmekuwa cheap kama nini.hamjui kuthamini miili yenu.
 
10/ day...?

Chai ya rangi hii mkuu!

brain is the beautiful part of the body.
 
Haujasoma Uzi vizuri. Hiyo tabia nilianza nikiwa chuo. Sasa hivi Nina maisha yangu. Hivyo nawatafuna nitakavyo. Maana siku hizi huwa mnajiuza kwa style tofauti.

1. Wakujiuza kimya kimya.
2. Wale wa kwenda field( kujipanga na kuuza k)
3. Wale wanatumia sana madalali- hii ipo kwenye makundi ya WhatsApp sana, badoo etc.
4. Wanaojiuza kwa kupiga virungu vya hapa na pale.

Wote hao huwa nawakula sana.

Wanawake mmekuwa cheap kama nini.hamjui kuthamini miili yenu.
TUFANYE MAHESABU HAYA DOGO!

WEWE UNAKULA KUMI KWA SIKU,
HAO NI MMMOJA MMOJA!
BUT WEWE MMOJA UMEVUA KWA WATU KUMI

sijui nani HAPO HATHAMINI MWILI WAKE!
ila na mi nimekosa kazi!
KUKAA NAJIBU MTU WA AINA YAKO!
dah!
ALL THE BEST aseee!
 
Kama sio chai hii sijui.... Umenikumbusha kupiga madada poa kwa mkopo. Niliwahi kuisikia mahari kumbe Ni kweli.

Vijana wengi wa chuo huangukia kwa madada poa baada ya kutendwa na waenz wao.

Kuna watu mnaroho ngumu.

Nenda kwa kiongozi wako wa kiroho kisha mueleze haya yote uliyoeleza hapa.
Ndio dawa pekee ila chunguu sana kuna kufukuzwa, Kuonywa, Kuombewa rehema(toba) na kuapishwa usirudie tena

Sent using Jamii Forums mobile app
 
TUFANYE MAHESABU HAYA DOGO!

WEWE UNAKULA KUMI KWA SIKU,
HAO NI MMMOJA MMOJA!
BUT WEWE MMOJA UMEVUA KWA WATU KUMI

sijui nani HAPO HATHAMINI MWILI WAKE!
ila na mi nimekosa kazi!
KUKAA NAJIBU MTU WA AINA YAKO!
dah!
ALL THE BEST aseee!
Tuachane na hayo..snowhite
 
Back
Top Bottom