Sitamani tena kuoa

Sitamani tena kuoa

Sorry unasema unalala na machangudoa kumi kwa siku moja? Au sijasoma vizuri. Na eti sababu ni kutengana na mpenzi wako? Unadhani unamkomoa huyo mpenzi wako (ambae nadhani kasha move on na maisha yake wala hajui kama kuna mtu duniani anaitwa Defamation) au unawakomoa hao machangu au unajikomoa mwenyewe?
Uongo kiwango cha lami hata haja ndogo huwezi enda mara hizo kwa siku

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unalala na madada poa kumi kwa siku, unafanya kazi saa ngapi ?

ni bora tu husioe maana utamlaza njaa mtoto wa watu.

Sent from my Priceless H40-D00 using JamiiForums mobile app
 
Unalala na madada poa kumi kwa siku, unafanya kazi saa ngapi ?

ni bora tu husioe maana utamlaza njaa mtoto wa watu.

Sent from my Priceless H40-D00 using JamiiForums mobile app
Zamani kipindi nikiwa chuo Mkuu. Uwe unasoma unaelewa.

Sasa hivi huwa naenda kupasha kimtindo. Mfano mida ya saa nne hivi asubuhi, mchana nikitoka kazini breki ya kwanza ni huko, jioni mida ya saa moja.
 
Zamani kipindi nikiwa chuo Mkuu. Uwe unasoma unaelewa.

Sasa hivi huwa naenda kupasha kimtindo. Mfano mida ya saa nne hivi asubuhi, mchana nikitoka kazini breki ya kwanza ni huko, jioni mida ya saa moja.
Huna starehe nyingine zaidi ya ngono ?

mambo mengine ni kujiendekeza tu

Sent from my Priceless H40-D00 using JamiiForums mobile app
 
Hello ladies and gentlemen.

Natumai mko poa sana humu ndani. Bila kupoteza muda ni kwamba utamu wa madada poa umesababisha sitamani tena hata kuoa wala kuwa na mpenzi katika maisha yangu yote.

Nikiwa chuoni mwaka wa tatu tulitengana na msichana ambae nilimpenda sana. Hivyo tangu hapo nikawa nakunywa pombe kwa sana na kulala na madada poa kumi kwa siku moja. Lengo langu lilikuwa ni kupooza na kutuliza nafsi yangu iliyokuwa imejawa na maumivu makali yasiyopimika.

Nilipenda sana kunywa pombe na madada poa kwa sababu niliona ndiyo suluhisho wa tatizo lililonikumba kwa wakati ule ingawa nilipewa ushauri mwingi sana lakini nilisikiliza moyo wangu unasemaje.

Hii hali ilipelekea performance yangu ya masomo ikawa mbaya sana japo nilipambana hivyo hivyo ili nisidisco katika masomo yangu.

Sababu kubwa iliyonishawishi ni kwamba niliamini kwa asilimia mia moja kuwa pombe ni mwanamke mwaminifu sana kamwe hajui kusaliti mtu. Kwa upande wa madada poa nao ilikuwa hivyo hivyo. Kila kona ya mji wa Dar es salaam ambapo hiyo huduma hutolewa wananviumbe nana isipokuwa tu huko Temeke maana huduma zao siyo nzuri yani hawana viwango.

Ndugu zangu wana MMU natamani sana niache hii tabia ila nashindwa maana naona kisaikolojia limekuwa ni tatizo kubwa sana kwangu. Kila muda nahitaji hata kama nipo kazini nikikumbuka tu lazima nikapate dawa kidogo ndiyo mwili ukae sawa. Nimekuwa addicted sana na hawa viumbe.

Marafiki zangu wakubwa wamekuwa hao wadada ikipita siku mbili sijaenda kuwapa dawa inakuwa ni kero tupu maana muda wote meseji hazikatiki wakiniuliza Niko wapi mbona nimewachunia.

Pia imefikia mpaka kuniamini hata kama siko vizuri( sina pesa) huwa wananikopesha mwisho wa mwezi nawalipa/ nawarejeshea hela yao kulingana na makubaliano yetu.

Nifanyeje ili niachane na hii tabia ndugu zangu?

Karibuni kwa ushauri wenu!
Ok.
 
Back
Top Bottom