karv
JF-Expert Member
- Dec 26, 2019
- 1,799
- 3,221
Habari wana JF naomba tuwe makini na hili
Hapa home kuna ng'ombe kama 25 hivi sasa siku moja ng'ombe mmoja akaumwa kwa siku kama mbili hivi
Tunajitahidi kumpa dawa kwa kadri ya uwezo wetu lakini kwa bahati mbaya akafa
Lakini wakati anaumwa tukawaita kabila jamii ya wafugaji (wamasai) waje kutusaidia baadhi ya dawa ili apone
Baada ya yule ng'ombe kufa zIkamjulisha yule mmasai kwamba yule ng'ombe amekufa na tukaenda kumtupa porini
Kutokana na maelezo ya dawa ng'ombe yule nyama yake iliwe siku 14 baada ya kudungwa sindano
Kisanga kikaanza yule mmasai bwana akapiga simu anauliza mara kumi kumi kama yule ng'ombe ni kweli hatumtaki na tushamtupa
Baada ya kumjibu akatuma vijana wawili wakatuambia tuwapeleke wakamchune kwan kuna mtu anataka ile nyama kwa laki 2 ng'ombe wote
Tukawapeleka wakachuna wakauza na hela ya soda elfu 50 wakaileta home wenyewe wameenda kuiuza kwenye baa moja maarufu sana ambayo watu wengi huenda kunywa supu hapo na nyama choma
Enyi wafanyabiashara wenzangu tuwe na huruma na maisha ya watu pesa zinaisha ila uhai wa mtu ukienda haurudi