Sitakula tena nyama za baa

kwenye mahotel umepeleleza? jikoni hapo kwako wakati dada ama mkeo anakuandalia chakula umeshapeleleza ? ndugu utajipa presha bure, as long as maisha yanakwenda we kula tu cha msingi usidhurike - maana hapo ulipo ushakula vibudu ama nyamafu wengi mno bila kujua.
Me ndio maaana huwa napenda kuandaa chakula changu mwenyewe. I can't trust anyone with my food.

This one time back in a day nilimuona beki tatu anachambua mchicha halafu ghafla akazama puani akaanza kutoa ukoko wa kamasi puani kisha akaendelea kuchambua mboga. Dah aisee ile kitu hadi leo inanitesa sana kichwani kwangu sijaisahau.

Nikimuona muda wa kazi rough rough nakuwa siwezi kula anachopika. Na ndio maana mimi chakula huwa napenda sana kujiandalia most of the times labda nikose muda.

Hata kama mwanamke yupo aisee nikipata tu hiyo hali ya kinyaa naingia mwenyewe jikoni. Sababu ya hofu ya kula uchafu.
 
kwenye mahotel umepeleleza? jikoni hapo kwako wakati dada ama mkeo anakuandalia chakula umeshapeleleza ? ndugu utajipa presha bure, as long as maisha yanakwenda we kula tu cha msingi usidhurike - maana hapo ulipo ushakula vibudu ama nyamafu wengi mno bila kujua.
Aisee, acha kabisa!
Tangu nilipomshuhudia dada mmoja mgahawani akiandaa chapati huku akijichokonoa puani na vidole vyake na kisha kuendelea tena na zoezi la kukanda na kuchoma hizo chapati, sina hamu tena na humu migahawani. Tunakula vingi vichafu mno, vikiwemo vile vya kishirikina. Nilibahatika kuwa na mahusiano na dada fulani wa kitanga kwa muda kidogo na tulipendana tu......kwa maneno yake na viapo juu, aliniambia humu migahawani huwa tunasagiwa mpaka kinyesi kikavu ambacho huchanganywa katika chakula kwa ajili ya kupata wateja zaidi.
 
Habari wana JF naomba tuwe makini na hili

Hapa home kuna ng'ombe kama 25 hivi sasa siku moja ng'ombe mmoja akaumwa kwa siku kama mbili hivi

Tunajitahidi kumpa dawa kwa kadri ya uwezo wetu lakini kwa bahati mbaya akafa

Lakini wakati anaumwa tukawaita kabila jamii ya wafugaji (wamasai) waje kutusaidia baadhi ya dawa ili apone

Baada ya yule ng'ombe kufa zIkamjulisha yule mmasai kwamba yule ng'ombe amekufa na tukaenda kumtupa porini

Kutokana na maelezo ya dawa ng'ombe yule nyama yake iliwe siku 14 baada ya kudungwa sindano

Kisanga kikaanza yule mmasai bwana akapiga simu anauliza mara kumi kumi kama yule ng'ombe ni kweli hatumtaki na tushamtupa

Baada ya kumjibu akatuma vijana wawili wakatuambia tuwapeleke wakamchune kwan kuna mtu anataka ile nyama kwa laki 2 ng'ombe wote

Tukawapeleka wakachuna wakauza na hela ya soda elfu 50 wakaileta home wenyewe wameenda kuiuza kwenye baa moja maarufu sana ambayo watu wengi huenda kunywa supu hapo na nyama choma

Enyi wafanyabiashara wenzangu tuwe na huruma na maisha ya watu pesa zinaisha ila uhai wa mtu ukienda haurudi
Mkuu au ni rombo huko ,maana nasikia kuna watu wamekufa na wengine wapo hospital kwa kuhofia kuwa watakua wamekula nyama ya ng'ombe mwenye kimeta
 
Kwa uelewa wangu ktk nyanja ya ufugaji Mfugo yoyote akifa ni lazima afukiwe, hapo wenye kosa kwakweli ni nyinyi ambao mlipashwa kumfukia vini vyema. Kuna baadhi ya magonjwa ukifukia unamwagia na dawa au unawateketeza kwa moto kabisa, maana baadhi yanawaambukiza wanadamu na nihatatarishi kuyaacha juu maana huleta maambukizi mapya kwa mifugo wazungukao hilo eneo.
Ukifukia masai na wagogo usiku wanafukua na kwenda kuuza.

Kuna machinjio moja nilikuta wale vijana waliopewa kazi ya kufukia nyama, ndani ya shimo wametrga mifuko.
 
Habari wana JF naomba tuwe makini na hili

Hapa home kuna ng'ombe kama 25 hivi sasa siku moja ng'ombe mmoja akaumwa kwa siku kama mbili hivi

Tunajitahidi kumpa dawa kwa kadri ya uwezo wetu lakini kwa bahati mbaya akafa

Lakini wakati anaumwa tukawaita kabila jamii ya wafugaji (wamasai) waje kutusaidia baadhi ya dawa ili apone

Baada ya yule ng'ombe kufa zIkamjulisha yule mmasai kwamba yule ng'ombe amekufa na tukaenda kumtupa porini

Kutokana na maelezo ya dawa ng'ombe yule nyama yake iliwe siku 14 baada ya kudungwa sindano

Kisanga kikaanza yule mmasai bwana akapiga simu anauliza mara kumi kumi kama yule ng'ombe ni kweli hatumtaki na tushamtupa

Baada ya kumjibu akatuma vijana wawili wakatuambia tuwapeleke wakamchune kwan kuna mtu anataka ile nyama kwa laki 2 ng'ombe wote

Tukawapeleka wakachuna wakauza na hela ya soda elfu 50 wakaileta home wenyewe wameenda kuiuza kwenye baa moja maarufu sana ambayo watu wengi huenda kunywa supu hapo na nyama choma

Enyi wafanyabiashara wenzangu tuwe na huruma na maisha ya watu pesa zinaisha ila uhai wa mtu ukienda haurudi
Mmasai na makabila mengi ya wafugaji huwa hawatupi mzoga wa ngombe labda awe na kineta au kafa kwa njaa...yani mimi kula kibudu ni ngumu mana nyama nakagua pia najua sana nyama,ikiwa kibudu hawezi kutundikwa bar nzi watakua kma wote mana harufu yke inavutia nzi
 
Habari wana JF naomba tuwe makini na hili

Hapa home kuna ng'ombe kama 25 hivi sasa siku moja ng'ombe mmoja akaumwa kwa siku kama mbili hivi

Tunajitahidi kumpa dawa kwa kadri ya uwezo wetu lakini kwa bahati mbaya akafa

Lakini wakati anaumwa tukawaita kabila jamii ya wafugaji (wamasai) waje kutusaidia baadhi ya dawa ili apone

Baada ya yule ng'ombe kufa zIkamjulisha yule mmasai kwamba yule ng'ombe amekufa na tukaenda kumtupa porini

Kutokana na maelezo ya dawa ng'ombe yule nyama yake iliwe siku 14 baada ya kudungwa sindano

Kisanga kikaanza yule mmasai bwana akapiga simu anauliza mara kumi kumi kama yule ng'ombe ni kweli hatumtaki na tushamtupa

Baada ya kumjibu akatuma vijana wawili wakatuambia tuwapeleke wakamchune kwan kuna mtu anataka ile nyama kwa laki 2 ng'ombe wote

Tukawapeleka wakachuna wakauza na hela ya soda elfu 50 wakaileta home wenyewe wameenda kuiuza kwenye baa moja maarufu sana ambayo watu wengi huenda kunywa supu hapo na nyama choma

Enyi wafanyabiashara wenzangu tuwe na huruma na maisha ya watu pesa zinaisha ila uhai wa mtu ukienda haurudi
Watu wanachinja kuku walokufa nakutupwa dampo nakuwauza kwny migahawa etc, mbuzi pia vivyo hivyo and the list goes on. Kufanya hivi vitendo ni hulka ya muuzaji tu pekee, life goes on
 
Acha tu kuna wakati kwa mama ntilie unakula nyama haina ladha kabisa.
Au nyama imeviria damu.
Mimi siku hizi namwambia aniwekee mabamia tu na mchuzi wa samaki na maharagee basi
 
Umesoma vizuri lakini
Nimesoma vizuri,hata kama hukuuza,kitendo cha wao kuchukua mzoga na kukupa hela ya soda ni dhahiri ulijua kinachofuata maana walikwambia,ulipaswa utoe taarifa au ungekataa kuwapa na uchome moto huo mzoga.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom