Sitakula tena nyama za baa

karv

JF-Expert Member
Dec 26, 2019
1,798
3,219
Habari wana JF naomba tuwe makini na hili

Hapa home kuna ng'ombe kama 25 hivi sasa siku moja ng'ombe mmoja akaumwa kwa siku kama mbili hivi

Tunajitahidi kumpa dawa kwa kadri ya uwezo wetu lakini kwa bahati mbaya akafa

Lakini wakati anaumwa tukawaita kabila jamii ya wafugaji (wamasai) waje kutusaidia baadhi ya dawa ili apone

Baada ya yule ng'ombe kufa zIkamjulisha yule mmasai kwamba yule ng'ombe amekufa na tukaenda kumtupa porini

Kutokana na maelezo ya dawa ng'ombe yule nyama yake iliwe siku 14 baada ya kudungwa sindano

Kisanga kikaanza yule mmasai bwana akapiga simu anauliza mara kumi kumi kama yule ng'ombe ni kweli hatumtaki na tushamtupa

Baada ya kumjibu akatuma vijana wawili wakatuambia tuwapeleke wakamchune kwan kuna mtu anataka ile nyama kwa laki 2 ng'ombe wote

Tukawapeleka wakachuna wakauza na hela ya soda elfu 50 wakaileta home wenyewe wameenda kuiuza kwenye baa moja maarufu sana ambayo watu wengi huenda kunywa supu hapo na nyama choma

Enyi wafanyabiashara wenzangu tuwe na huruma na maisha ya watu pesa zinaisha ila uhai wa mtu ukienda haurudi
 
Habari wana jf naomba tuwe makini na hili

Hapa home kuna ng'ombe kama 25 hivi sasa siku moja ng'ombe mmoja akaumwa kwa siku kama mbili hivi

Tunajitahidi kumpa dawa kwa kadri ya uwezo wetu lakini kwa bahati mbaya akafa

Lakini wakati anaumwa tukawaita kabila jamii ya wafugaji (wamasai) waje kutusaidia baadhi ya dawa ili apone

Baada ya yule ng'ombe kufa zukamjulisha yule mmasai kwamba yule ng'ombe amekufa na tukaenda kumltupa porini

Kutokana na maelezo ya dawa ng'ombe yule nyama yake iliwe siku 14 baada ya kudungwa sindano

Kisanga kikaanza yule mmasai bwana akapiga simu anauliza mara kumi kumi kama yule ng'ombe ni kweli hatumtaki na tushamtupa

Baada ya kumjibu akatuma vijana wawili wakatuambia tuwapeleke wakamchune kwan kuna mtu anataka ile nyama kwa laki 2 ng'ombe wote

Tukawapeleka wakachuna wakauza na hela ya soda elfu 50 wakaileta home wenyewe wameenda kuiuza kwenye baa moja maarufu sana ambayo watu wengi huenda kunywa supu hapo na nyama choma

Enyi wafanya biashara wenzangu tuwe na huruma na maisha ya watu pesa zinaisha ila uhai wa mtu ukienda haurudi
"Tukawapeleka wakachuna wakauza na hela ya soda elfu 50" Mwisho wa kunukuu.
NDG, ULITEGEMEA FEDHA YA SODA KUWA RECOVERY VIPI?
 
Mkuu usijichoshe Maisha hayapoi kamwe, Usile nyama,Usivute sigara,usibwie unga,usiendeshe mwendo Kasi,tumia condom,vaa barakoa .........and other blahblah....

Lakini jua tu siku yako ikifika huchomoki, Cha msingi ni kuishi kwa shukrani maana hatuijui kesho yetu. Na ukumbuke hakuna kaburi la mjinga.
 
Kwa uelewa wangu ktk nyanja ya ufugaji Mfugo yoyote akifa ni lazima afukiwe, hapo wenye kosa kwakweli ni nyinyi ambao mlipashwa kumfukia vini vyema. Kuna baadhi ya magonjwa ukifukia unamwagia na dawa au unawateketeza kwa moto kabisa, maana baadhi yanawaambukiza wanadamu na nihatatarishi kuyaacha juu maana huleta maambukizi mapya kwa mifugo wazungukao hilo eneo.
 
kwenye mahotel umepeleleza? jikoni hapo kwako wakati dada ama mkeo anakuandalia chakula umeshapeleleza ? ndugu utajipa presha bure, as long as maisha yanakwenda we kula tu cha msingi usidhurike - maana hapo ulipo ushakula vibudu ama nyamafu wengi mno bila kujua.
 
Habari wana JF naomba tuwe makini na hili

Hapa home kuna ng'ombe kama 25 hivi sasa siku moja ng'ombe mmoja akaumwa kwa siku kama mbili hivi

Tunajitahidi kumpa dawa kwa kadri ya uwezo wetu lakini kwa bahati mbaya akafa

Lakini wakati anaumwa tukawaita kabila jamii ya wafugaji (wamasai) waje kutusaidia baadhi ya dawa ili apone

Baada ya yule ng'ombe kufa zIkamjulisha yule mmasai kwamba yule ng'ombe amekufa na tukaenda kumtupa porini

Kutokana na maelezo ya dawa ng'ombe yule nyama yake iliwe siku 14 baada ya kudungwa sindano

Kisanga kikaanza yule mmasai bwana akapiga simu anauliza mara kumi kumi kama yule ng'ombe ni kweli hatumtaki na tushamtupa

Baada ya kumjibu akatuma vijana wawili wakatuambia tuwapeleke wakamchune kwan kuna mtu anataka ile nyama kwa laki 2 ng'ombe wote

Tukawapeleka wakachuna wakauza na hela ya soda elfu 50 wakaileta home wenyewe wameenda kuiuza kwenye baa moja maarufu sana ambayo watu wengi huenda kunywa supu hapo na nyama choma

Enyi wafanyabiashara wenzangu tuwe na huruma na maisha ya watu pesa zinaisha ila uhai wa mtu ukienda haurudi

Vegiterian tuna raha sana
 
Hata wewe unahusika pia na hilo tukio,tena wewe ndio root cause,ulijua kua huyo Ng'ombe kaenda kuuzwa sehemu na ukakubali hiyo hela ya Soda elfu 50,kama ungekua serious ungefanya juu chini na kuireport hiyo Bar kwenye mamlaka husika,

Umechukua elfu 50 na umejua kua huyo Ng'ombe aliyekufa ameuzwa Bar ila hukutoa taarifa,leo hii umesha shiriki kwenye hilo tukio ndio unakuja kujitia unafiki wa kulikemea?
 
Kilimanjaro. Ng'ombe kafa kwa kimeta. Kachinjwa, kachunwa. Mganga wa mifugo feki na mihuri yake katwanga mihuri kibao! Nyama buchani.
Baadaye: Watu wafa na wengine kibao hoiii!! Imetokea juzi.
 
Kwa uelewa wangu ktk nyanja ya ufugaji Mfugo yoyote akifa ni lazima afukiwe, hapo wenye kosa kwakweli ni nyinyi ambao mlipashwa kumfukia vini vyema. Kuna baadhi ya magonjwa ukifukia unamwagia na dawa au unawateketeza kwa moto kabisa, maana baadhi yanawaambukiza wanadamu na nihatatarishi kuyaacha juu maana huleta maambukizi mapya kwa mifugo wazungukao hilo eneo.
Wangefukua tu
 
Similar Discussions

15 Reactions
Reply
Back
Top Bottom