Sitakuja kusahau nilivyozama kwenye penzi zito na binti tuliyejuana kupitia JamiiForums mwaka 2013

Kammiss anatengeneza mazingira warudiane mechi za kirafiki tu maana binti nae yupo humu anasoma
Hebu acha kuongea utadhani unajua kitu anachofikiria mtu kichwani, huyo binti saiz kashaolewa na ana familia yake na mimi kwagu nina familia,,,,kiufupi tunaheshimiana mnoo!!
 
Hebu acha kuongea utadhani unajua kitu anachofikiria mtu kichwani, huyo binti saiz kashaolewa na ana familia yake na mimi kwagu nina familia,,,,kiufupi tunaheshimiana mnoo!!

Unachekesha🤣 Familia zinahusika nini na kupeana mzigo?
 
Uzuri watoto wa kitasha akiwa kwenye committment flani hakengeuki sio kama hawa wamatumbi wenzetu ambaye akikuona una good life ndio anashoboka mwenyewe.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom