Sitaki wanaume wenye pesa

Sitaki wanaume wenye pesa

Sio wote lakini, wapo wanaume wenye pesa na wana mapenzi ya dhati + wanaheshimu wanawake wao.

Kuna wanaume wamepaukaa ila kwa kiburi na dharau hawajambo, so hizo ni tabia tu za mtu binafsi, haihusiani na hela

Sure.

Nashangaa hivi mwenye hela ye ana moyo wa jiwe?, Lol

Mawazo ya watu bwana.

Kama wanaume wanavong'ang'aniza kuwa wanawake wote wanapenda pesa....hivi kweli hakuna mwanamke mwenye moyo wa nyama?? Teh teh
 
Wanaume washenzi wapo na wanawake washenzi wapo pia. Hakuna tofauti humo.
 
Mimi Siwezi hukumu wanaume wote wa Aina Fulani kwa kosa la mmoja au wachache..
Naamini wanaume wazuri na Wema wapo...Tena wengi tu.

Hata nikipata mitihani nasema Alhamdulilah...naendelea kumlilia Allaha Azza wa Jallah.
Karibu kwangu my wangu
 
Sio wote lakini, wapo wanaume wenye pesa na wana mapenzi ya dhati + wanaheshimu wanawake wao.

Kuna wanaume wamepaukaa ila kwa kiburi na dharau hawajambo, so hizo ni tabia tu za mtu binafsi, haihusiani na hela
 
Doooh aiseee, Pole kwa yaliyokukuta.
Kiukweli siwapendi wanaume wenye pesa awana utu kabisa wamejaa kiburi sana usaliti ,dharau Awana mapenzi ya dhati kabisa kwakuwa wanajiona wanauwezo wa kupata mwanamke yoyote wamtakaye wamekuwa wakibadilisha wanawake kama nguo unakuta mwanaume mmoja ana wanawake kama wote wamekuwa chanzo cha kueneza magonjwa. Wanajiona dunia ni yakwao kwakuwa wanaweza fanya chochote kwa kutumia pesa zao

Wanatumia mapungufu ya wanawake kupenda pesa ndo maan wanawatumia watakavyo. Wanawake pigeni kazi ukiwa na kipato chako ilo gari alilokuwa nalo utakuwa nalo nyumba sijui nn vyote vinatafutwa ukitafuta na kumtegemea mungu kwa Imani anakupa na unapata mwanaume wake mstaarabu mwenye hofu ya mungu

Heri kuwa na mwanaume masikini mwenye hofu ya mungu kuliko kuwa na mwanaume tajiri mweny hofu ya shetani anakuwa kama Bata maji Kila shimo la maji lazima atumbukize miguu alafu awaridhiki
Mwanaume akiwa masikini huwa anaonekana mcha Mungu, subiri zimtembelee utaona kila rangi.
Pili masikini ni muongo kwani hujifanya mpole na mnyenyekevu kumbe mazingira humfanya awe hivyo.
Bora mara mia mwenye pesa na aliyezizoea utaigundua rangi yake halisi.

NB:
 
True kabisa.....akipata pesa mwanaume ndo Tabia yake ya kweli hudhihirika
 
Back
Top Bottom