Lenie
JF-Expert Member
- Aug 3, 2012
- 17,221
- 50,170
😂😂 Sio wote, wengine mnashineKwahyo tumepauka![]()
😂😂 Sio wote, wengine mnashineKwahyo tumepauka![]()
So unataka ambaye ana pesa halafu hana hofu ya shetani au nimekuelewa vibaya?!Kiukweli siwapendi wanaume wenye pesa awana utu kabisa wamejaa kiburi sana usaliti ,dharau Awana mapenzi ya dhati kabisa kwakuwa wanajiona wanauwezo wa kupata mwanamke yoyote wamtakaye wamekuwa wakibadilisha wanawake kama nguo unakuta mwanaume mmoja ana wanawake kama wote wamekuwa chanzo cha kueneza magonjwa. Wanajiona dunia ni yakwao kwakuwa wanaweza fanya chochote kwa kutumia pesa zao
Wanatumia mapungufu ya wanawake kupenda pesa ndo maan wanawatumia watakavyo. Wanawake pigeni kazi ukiwa na kipato chako ilo gari alilokuwa nalo utakuwa nalo nyumba sijui nn vyote vinatafutwa ukitafuta na kumtegemea mungu kwa Imani anakupa na unapata mwanaume wake mstaarabu mwenye hofu ya mungu
Heri kuwa na mwanaume masikini mwenye hofu ya mungu kuliko kuwa na mwanaume tajiri mweny hofu ya shetani anakuwa kama Bata maji Kila shimo la maji lazima atumbukize miguu alafu awaridhiki
Sio wote, wengine mnashine
Doooh Umeandika Rubbish brother.Kauli ya meanaume mcha Mungu ni mfu.
Mapenzi sio dini wala ibada.
Mapenzi ni mahaba toka moyoni.
Unapotaka mcha Mungu ni dalili ya kuogopa kutendwa so unataka likondoo lililozubaa
Sikulaumu hujanielewa hata kidogoDoooh Umeandika Rubbish brother.
Kumcha Mungu hakumfanyi mwanaume kuwa likondoo lililozubaaa.
Ila Kama unaamini...hivyo well and good.its your choice to believe in whatever.
Ok...Sikulaumu hujanielewa hata kidogo
Upumbavu wa wanawake wengi, na hapa lazima niseme tena ni wapumbavu.Mwanaume akiwa masikini huwa anaonekana mcha Mungu, subiri zimtembelee utaona kila rangi.
Pili masikini ni muongo kwani hujifanya mpole na mnyenyekevu kumbe mazingira humfanya awe hivyo.
Bora mara mia mwenye pesa na aliyezizoea utaigundua rangi yake halisi.
NB:
Wengi wanaangalia vitu vya kijinga sanaUpumbavu wa wanawake wengi, na hapa lazima niseme tena ni wapumbavu.
Hawatumii akili zao kutambua mwanaume sahihi ni yupi, wengi wanasubiri kuchaguliwa tu kama mafungu ya nyanya.
Kumuelewa mwanamke anataka nn ni kazi sana. Ukiwa hauna pesa, pisi kali unazila kwa macho. Pesa ndiyo nguvu za kiume. Ukiwa na pesa wanawake hawakubabaishi. Unagonga yytePole ya nn
naona umeamua kunisimangaSio wote lakini, wapo wanaume wenye pesa na wana mapenzi ya dhati + wanaheshimu wanawake wao.
Kuna wanaume wamepaukaa ila kwa kiburi na dharau hawajambo, so hizo ni tabia tu za mtu binafsi, haihusiani na hela
😄😄 Amna bana, wewe dolari unazo mbona half hunaga majigambo wala dharaunaona umeamua kunisimanga