Sitaki wanaume wenye pesa

Sitaki wanaume wenye pesa

hatari na nusu leo nmepishana na mmoja kwenye dala dala jamaaa kamlipia nauli maana walikuwa ote ki haraka haraka inaonyesha wametoka gest,alivyomlipia nauli mwanaume alikuwa mbele mwanamke siti za nyuma alafu kamlipia nauli then kashuka bila kumuaga dada anaambiwa ushalipiwa nauli anauliza na nani,anaambiwa kishashuka dah maneno aliyokuwa anayatoa dala dala zma kicheko,nkajisemea kishaliwa mtu leo buree
Hebu tucheke wote, tuambie dada alikua analalamika nini
 
Pole kwa maswahibu ila na nyinyi wanawake jaribuni kujirekebisha muwe na hafu ya mungu. Kuliko kua na hofu ya kuomba pexa.
 
Kiukweli siwapendi wanaume wenye pesa awana utu kabisa wamejaa kiburi sana usaliti ,dharau Awana mapenzi ya dhati kabisa kwakuwa wanajiona wanauwezo wa kupata mwanamke yoyote wamtakaye wamekuwa wakibadilisha wanawake kama nguo unakuta mwanaume mmoja ana wanawake kama wote wamekuwa chanzo cha kueneza magonjwa. Wanajiona dunia ni yakwao kwakuwa wanaweza fanya chochote kwa kutumia pesa zao

Wanatumia mapungufu ya wanawake kupenda pesa ndo maan wanawatumia watakavyo. Wanawake pigeni kazi ukiwa na kipato chako ilo gari alilokuwa nalo utakuwa nalo nyumba sijui nn vyote vinatafutwa ukitafuta na kumtegemea mungu kwa Imani anakupa na unapata mwanaume wake mstaarabu mwenye hofu ya mungu

Heri kuwa na mwanaume masikini mwenye hofu ya mungu kuliko kuwa na mwanaume tajiri mweny hofu ya shetani anakuwa kama Bata maji Kila shimo la maji lazima atumbukize miguu alafu awaridhiki
Naona hukusikiliza wosia wa King Majuto.
 
...Eti Jero, jaman msione Watu Wana magari..Kuna muda mtu anakosa hela.ya mafuta...sembuse ya Kuhonga.
LOOOH salale
Mimi nimepaki siku ya nne hii
Nikitaka kutoka nafungua mlango wa nyumbani kwangu afu naipita Kama sioni nafungua Geti Dogo huyoooo naishia naanza kupiga miruzi kusimamisha boda boda

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kiukweli siwapendi wanaume wenye pesa awana utu kabisa wamejaa kiburi sana usaliti ,dharau Awana mapenzi ya dhati kabisa kwakuwa wanajiona wanauwezo wa kupata mwanamke yoyote wamtakaye wamekuwa wakibadilisha wanawake kama nguo unakuta mwanaume mmoja ana wanawake kama wote wamekuwa chanzo cha kueneza magonjwa. Wanajiona dunia ni yakwao kwakuwa wanaweza fanya chochote kwa kutumia pesa zao

Wanatumia mapungufu ya wanawake kupenda pesa ndo maan wanawatumia watakavyo. Wanawake pigeni kazi ukiwa na kipato chako ilo gari alilokuwa nalo utakuwa nalo nyumba sijui nn vyote vinatafutwa ukitafuta na kumtegemea mungu kwa Imani anakupa na unapata mwanaume wake mstaarabu mwenye hofu ya mungu

Heri kuwa na mwanaume masikini mwenye hofu ya mungu kuliko kuwa na mwanaume tajiri mweny hofu ya shetani anakuwa kama Bata maji Kila shimo la maji lazima atumbukize miguu alafu awaridhiki
Teyari kesha tendwa pole sana! Njoo tu kwangu mm masikini wa uchumi wa kati!
 
Hamna uhusiano kati ya kutokuwa na hela na kutokuwa na ukatili ,umalaya, utesaji wa wanawake and all that.

Sasa we jimix at your own risk.
 
Anadhani kuwa na hela automatically..mtu ANAkuwa na Tabia zoote mbaya..alafu wasio na hela wanatabia nzuri..
Poor soul.
 
Kitabu chao hiko hapo
JamiiForums1890069670.jpg
 
hatari na nusu leo nmepishana na mmoja kwenye dala dala jamaaa kamlipia nauli maana walikuwa ote ki haraka haraka inaonyesha wametoka gest,alivyomlipia nauli mwanaume alikuwa mbele mwanamke siti za nyuma alafu kamlipia nauli then kashuka bila kumuaga dada anaambiwa ushalipiwa nauli anauliza na nani,anaambiwa kishashuka dah maneno aliyokuwa anayatoa dala dala zma kicheko,nkajisemea kishaliwa mtu leo buree
Hahahah hao ndio malejendari
 
Back
Top Bottom