Inshallah/ameenDaaah. Haya bana ila kikubwa uzima kwa kuwa tunao basi tumshukuru Mwenyezi Mungu.
Inshallah/ameenDaaah. Haya bana ila kikubwa uzima kwa kuwa tunao basi tumshukuru Mwenyezi Mungu.
Lazima tuje.Hahahaaa...
Nilijua mtakuja tuu kwenye huu uzi .[emoji28][emoji28]
Naona umepuuzia nilichokuambiaga?
Umeona eeeeEwaaaaaa. Hapo Dada umemaliza kila kitu.
Kwenye red Nakazia.
Dada nakuona unawauwa.Lazima tuje.
Tanga moja hiyooooo.....hakuna kulala.
Watu twawekewa sindano tuikatikie.
Asa nitashindwa vipi kuikatikia yenye ncha kama yako?
Warereeeeeeeeeee......!!!!!!
Hahaaaa sipati picha majibu yaliyo kujiaHehehe kuna siku siku niliulizwa mbona umechukua pakt moja?
HahhahahahNdio nimepita sasa Dada. Japo nimechekaa.
Mie nakazia na tu kumwambia Karibu sana Tanga kwetu. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mbona umefunga pm sasa? [emoji41]Lazima tuje.
Tanga moja hiyooooo.....hakuna kulala.
Watu twawekewa sindano tuikatikie.
Asa nitashindwa vipi kuikatikia yenye ncha kama yako?
Warereeeeeeeeeee......!!!!!!
Binamu watu wa bala wanalia lia tuHahaaa. Tupo Kaka.
ukhuty, beingsingle na Da Madame B wote Tanga moja hiyo. [emoji23][emoji23][emoji23]
Mzima lakini Kaka?
Hahahaa! Mzigua naye kaja? [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Kipi tena dear?
Kabisaaa. Kwenye upishi kama nazi yauzwa 2000 basi tutanunua ilimradi tu pishi liwe shatashata. 😂😂😂😂Umeona eeee
Watoto wa TA...twadamshi mjini kwa makonda.
Ila hatuachi asili yetu popote tulipo
AheeMambeza yakwe
Pm ukafanye nnMbona umefunga pm sasa? [emoji41]
Yupo kanisani
Umesahau unakuwa mseto wa nazi daahKuna chakula chao kimoja kinaitwa mseto ni mchanganyiko wa choroko na mchele aisee ni noma
Hahahaaa. Wanakutana na shughuli nzito Binamu wakati wenyewe wamezowea kusoma magazeti. Teh teh teh. 🙈🙈🙈🙈🙈Binamu watu wa bala wanalia lia tu
Hahahaaaa. Na kweli Dada.Hahhahahah
Tena hatajutia
Kabisaaa binamuHahahaaa. Wanakutana na shughuli nzito Binamu wakati wenyewe wamezowea kusoma magazeti. Teh teh teh. [emoji85][emoji85][emoji85][emoji85][emoji85]
Mama D za kuamka?Pm ukafanye nn