Sitaki tena wanawake kutoka Tanga.

Sitaki tena wanawake kutoka Tanga.

Kabisaaa. Kwenye upishi kama nazi yauzwa 2000 basi tutanunua ilimradi tu pishi liwe shatashata. 😂😂😂😂

Tanga raha jamaani.
Tanga raha jamani....asikwambie mtu.
Kwanza wanawake wote twajua upishi,
Tukiwa jikoni hatulembi, hapa sima ya bada na sangara wa nazi, pale wali wa nazi wenye hiriki na uturi kidogo, kule pembeni ngogwe na bamia chukuchuku, pembeni kuna sharubati ya embe mixer makakara.....kitandani sasa....kama kitanda chako cha jani la mvuje, waweza hamishia godoro chini.

Au sio mwanakwetu.
 
Umemalizaaaaa gusa unaseeee
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kwahiyo unataka kusemwa unatongozwa

Hivi mdada unaanzaje jamani kwenda pm ya mwanaume na kujitongozesha hujui mtu anafananaje woiii kila mtu na kipaji chake
Hahahaaa[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]

Muulize dada hebu!! Afu huwa inatumwa picha kwanza pm
 
Eti twatumia. Unakuta wewe ni Lisukuma la MISUNGWI linaiga matamshi ya Kitanga. Bro tangaza lafudhi yenu kama ni msukuma wa NYEGE Sema tunatumiaga.
Ni hayo tu tuacheni na Dar yetu.
Nipo zangu mkoani Tanga hapa kikazi, na ni wiki ya pili. Katika kuzunguka zunguka nikakutana na mtoto mashallah, mtoto jojo, mtoto chura, mtoto ina mpaka machoni.
Tukaanza mazoea kidogo kidogo, mpaka tuka exchange mawasiliano. basi nikampanga tukutane somewhere. Siku ya siku akasema anakuja basi nikalipia chumba lodge moja hivi karibu na stendi ya basi za mkoani.
Nikampokea, moja kwa moja mpaka room, kufika tu tukaanza mambo mambo, mtoto akalegea, kazi ikaanza ya to and flo motion, mtoto kiuno kama feni na sauti tamu. Raundi ya kwanza ikaisha mtoto bado anahitaji, nikajikaza raundi ya pili mtoto bado, raundi ya tatu mtoto bado anahitaji. Ikabidi nimtoroke kwa kisingizio cha kufata helmet nyingine, na kuanzia hapo sikumtafuta tena, mapenzi siyo vita wadada. Muwe mnatuonea huruma basi, twatumia damu.
 
Ya kwangu mm shunie shunie nani ashike simu yangu apost jf Mr wangu hajui kama mm member niliyetukuka wa jf nikitoka hapa mpaka app ya jf na unstall

Wewe sisi wake za watu tuache tu
😂😂😂 Sitaki mieee.

💃💃💃💃 🎵🎵najiona mimi 🎵🎵🎵 naimba tu dada mwimbo wa Joh Makini. 🤣🤣🤣
 
[emoji23][emoji23][emoji23] Sitaki mieee.

[emoji126][emoji126][emoji126][emoji126] [emoji444][emoji444]najiona mimi [emoji444][emoji444][emoji444] naimba tu dada mwimbo wa Joh Makini. [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Dada acha uchochezi ..
 
[emoji23][emoji23][emoji23] Sitaki mieee.

[emoji126][emoji126][emoji126][emoji126] [emoji444][emoji444]najiona mimi [emoji444][emoji444][emoji444] naimba tu dada mwimbo wa Joh Makini. [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Wanawake wa ki Tanga
Mtuachie sisi Wanaume wa Tanga

Nyie wanaume wa Dar mkae pembeni
 
Back
Top Bottom